Mwanasheria mmoja alimuuzia kisima cha maji mwalimu. Lakini baada ya kupita siku mbili, mwanasheria yule alirudi kwa Mwalimu aliyemuuzia kisima na kumwambia:
"Ndugu, nimekuuzia kisima; ila siyo maji yaliyomo katika kisima. Hivyo, kama unataka kutumia hayo maji itakupasa kulipia ziada ya pesa"...