Maisha yanapokuwa magumu, kila mmoja huwa na maoni yake. Unaweza ukawa unapitia changamoto za biashara, mahusiano, kazi, au hata hali ya kifedha. Wakati mwingine unaweza ukahitaji msaada wa fedha ukakosa, ukahitaji mtu akuombee ukakosa, lakini ukakuta watu wengi wako tayari kukushauri.
Na hilo...