kusambaza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nataka kununua wifi router ya kusambaza intaneti nyumbani lakini itakaa masaa 6 tu. Je, nikiiwekea power bank itakuwa inakaa muda gani?

    Habari zenu wakuu, Nina tatizo la network hapa nyumbani kwangu maeneo ya sebleni kwangu na chumbani kwangu ambako ndiko natumia internet. Sasa kuna sehemu ya nje ni kama kibanda kisicho na umeme, network imejaa 4g huwa inashika vizuri sana, nataka niweke portable wifi router ndogo hizi...
  2. Kampuni ya PUMA imehamua kuachana na kusambaza na kuuza oil za Castrol?

    Mimi ni mtumiaji wa Oil za Castrol kwenye magari ya Ulaya na Japan. Juzi nilikuwa natafuta oil ya Castrol 5W30 Edge Full Synthetic kwenye filling stations za PUMA sikuweza kupata, sana sana walikuwa na oil za Castrol chache ikiwemo 5W40 Edge, nilizozikuta ni PUMA Oil ndizo wamezijaza nadhani ni...
  3. Baada ya kutofikia lengo la 70%, WHO waja na mbinu mpya ya kusambaza chanjo za COVID-19

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa linakuja na mpango mbadala wa kutoa chanjo ya kujikinga na COVID-19 kwa kuamua kuweka kipaumbele katika Nchi au maeneo hatarishi ya watu kuambukizwa Ugonjwa huo. Hatua hiyo imefikiwa baada ya kushindwa kufikia lengo la chanjo kusambaa kwa 70% katika...
  4. Mbaroni kwa kusambaza uzushi Mtandaoni kwamba Rais Magufuli ni Mgonjwa. Kigogo wa Twitter naye anasakwa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni mgonjwa. Pia, Kingai amesema wanamsaka mwanaharakati anayejiita...
  5. Miundombinu tayari kwa shirika la umeme Kenya kusambaza intaneti

    Tunakwenda vizuri. Kenya Power will start offering fixed internet services by June next year in a shift that will put it in competition with telcos and trigger fresh price wars in the battle for the market. The State-owned power utility has been piloting the fixed internet provision to a...
  6. Tetesi: TTCL Kusambaza Internet Bure Majumbani na Maofisini. Bili ni kwa Mwezi

    .
  7. Marekani yakanusha kusambaza "Monkey pox" kupitia maabara za Naijeria

    Marekani imekanusha tuhuma zinazosambaa mitandaoni kuhusu kusambaza virusi vya "Monkey pox" kupitia maabara zake zilizoko nchini Naijeria ubalozi wa mareakani nchini Naojeria umeeleza FUATILIA HAPA US denies spreading Monkeypox through Nigerian labs The United States has denied social media...
  8. G

    Nafasi ya kazi: Kusambaza vinjwaji kwa pikipiki

    Nina duka la jumla nahitaji kijana mjuzi wa kuendesha pikipiki kwa ajili ya kusambaza vinjwaji Eneo: Kimara Njoo p.m tujadili Vigezo vya kazi ni nidhamu na kujua kuendesha pikipiki
  9. Waziri wa Nishati afanye zaidi ya kusambaza umeme kwa wanavijiji

    Kuna vijiji ambayo tangu dunia hii imeumbwa hawajawahi kuona umeme wa TANESCO, Sasa ni mara Yao ya kwanza umeme unafika kwao. Hii Ina maana kuwa pamoja na kupata faida ya umeme lakini watapata pia hasara za kuwa na umeme kama vile kupigwa shoti, kunaswa na umeme, kuunguza nguo kwa pasi na nyumba...
  10. UN: Ni rahisi kusambaza habari potoshi kupitia WhatsApp

    Umoja wa Mataifa (UN) kupitia ukurasa wake wa twitter wameutaja mtandao wa kijamii wa WhatsApp kama njia rahisi ya kusambaza taarifa zisizo sahihi. Wameandika ujumbe kupitia WhatsApp huweza kuonekana kama umetoka kwa mtu wa karibu. Wamesema ni muhimu kuhakiki ujumbe kabla ya kuutuma kwa...
  11. Mkataba wa Wizara ya Nishati na Mawasiliano kusambaza Mkongo wa Taifa kwa nguzo za TANESCO umeishia wapi?

    Juzi jirani na nyumbani ninapoishi nimeona watu wanachimba mashimo kuweka nguzo za miti zile za tanesco. Nikawauliza kwani tanesco bado mnaweka nguzo za miti maana juzi tu nimeona hapo jirani mumereplace nguzo iliyoanguka kwa nguzo ya zege. Jibu lilikua wao sio tanesco ila wanaweka mtandao kwa...
  12. Rais Samia amesahau hili la umeme ni yeye amelileta, tumkumbushe

    Kwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima, yeye ni binadamu anapitiwa. Hili la umeme wa kuunganisha watu wote kwa 27,000 ni yeye amelileta...
  13. Wanaharakati mnachangia mnachangia kusambaza yaliyozuiwa

    UNAPOLETA MADA KWENYE SOCIAL NETWORK UNATEGEMEA PIA WATU WAHOJI AU WATAFUTE WASIKILIZE WAONE KISHA WAJE KUJIBU KWA HOJA . NA KWA NINI KILA CONNECTION WEWE INAKUFIKIA KAMA UNAJUA WANAOSAMBAZA WHY USIWARIPOTI PANAPOHUSIKA ??
  14. Msaada kujua tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa client gani.

    Wakuu habarini, naomba kujuzwa tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa contractor gani. Supply and Installation of 220/33 kV, 2 x 10 MVA substation Extension in Mtera. Tender hii ilitangazwa mwaka 2013 kama sijakosea. Natangauliza shukrani.
  15. U

    Serikali iache kusambaza umeme vijijini, wajikite katika uzalishaji umeme

    Sasa ni wakati wa kuachana na kusambaza umeme vijijini Ili fedha hizo zitumike kujenga vyanzo vya umeme kwani huwezi sambaza kitu ambacho huna. Hii italeta tija, sio kepeleka feza za kuwasha taa na mgao huu
  16. CHADEMA tuishukuru CCM kwa kusambaza umeme vijini

    Ni adui muombee njaa lakini sio kila wakati. Pia mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Tunatakiwa kuwashukuru Ccm kwa kusambaza umeme vijini. Huko nyuma mafuta ya taa yalikuwa yanamwakigia kwenye mboga na ugali usiku wakati akina mama wakitumia koroboi kupika,leo ni umeme tu wa ReA Tuwapongeze...
  17. CCM yashiriki kusambaza tabasamu kwa watoto wenye saratani nchini

    CCM YASHIRIKI KUSAMBAZA TABASAM KWA WATOTO WENYE SARATANI NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Godfrey Chongolo leo tarehe 15 Agosti, 2021 ameshiriki matembezi ya Km 5 yalioandaliwa na Benki ya CRDB yenye lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya kugharamia matibabu kwa watoto...
  18. TANESCO haina tena nguzo za kusambaza umeme majumbani

    Katika Hali isiyo ya kawaida ,Kwa mara ya kwanza tangu awamu ya tano,imetokea Hali isiyo ya kawaida ya kukosekana Kwa nguzo za kuunganisha wateja umeme Tanzania. Hakuna wilaya hata moja nchini insyotoa huduma ya kuwapatia wateja nguzo ili wananchi waweze kupata huduma ya umeme. Kila ukiuliza...
  19. Kuna shida kubwa ya maji Chato. Waziri Kalemani hajali kitu, anachojali ni kusambaza taa za mitaani

    Kama kuna waziri anayepwaa katika uongozi basi ni Dk Kalemani. Maana hana maono ya uongozi. Kiongozi mwenye busara utasambaza taa za mitaani huku wananchi hawana uhakika wa kupata maji? Yapata wiki sasa maji hayatoki mambombani, yakitoka yanatoka usiku kidogo tu. Kama mbunge kwa nini hautatui...
  20. Kwanini tukimbize mbio za Mwenge kipindi hiki cha COVID-19?

    Juzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende. Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani? Kwani kwenye Mwenge kuna nini kiasi hiki?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…