kusaidia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Hasunga aahidi kuleta magari mawili kusaidia misiba akichaguliwa jimbo la Vwawa

    MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Vwawa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Japhet Hasunga, amesema akichaguliwa ataendelea kutoa huduma ya gari la kusafirisha miili ya marehemu wanaofariki dunia ndani ya jimbo lake ili kuwapunguzia gharama wafiwa. Aidha Hasunga amesema akichaguliwa tena ataongeza...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe na 'Tyson' kawekwa na mtu kusaidia kiti? Kweli hapo hakuna Chama kuna genge la watu.

    Yule mdunguaji, ambaye anawadungua Kunguru na Makinda yao akiwa kusikojulikana, jana amempopoa 'Tyson' kuwa eti kwenye kazi yake ya kusaidia kubeba kiti, alipigiwa chapuo na mtu mumoja ambaye hata hivyo Mdunguaji hakumtaja kwa jina. Kama ilivyo ada, tangu mdunguaji aanze kuwapopoa Kunguru...
  3. JamiiForums Tanzania Hawara pamoja na kusaidia ndoa zetu kusimama, mjipange na hukumu nzito siku ya mwisho

    RIP MWAMBA.BR WILLY CONT RIP POPOTE ULIPO Ulikuwa kaka mwema Mume mwema kwa familia yako Lakini pesa ilipochanganya ukaanza kuchanganya madesa wa mahawar Ukujua wengine wana maroho ya mauti hatimae ukaishia kuchomeka na hawara yako kwenye gari.... Ni mwaka 2019 ma best nrda alikuwa ameanza...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kwa vyombo vya habari Tanzania kusaidia kuuwa demokrasia!!!

    Ni ujinga kwa vyombo vya habari Tanzania kusaidia kuuwa demokrasia!!!. Hawajui kwamba wakimaliza demokrasia hata wenyewe watafungiwa!!!! ni kutokuangalia mbali!!!. Yaani wenyewe wanaficha habari zote hasi kwa serikali
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanahitaji kuwa na Malcom X na Steven Biko wao ili kusaidia siasa za ki Mandela na ki Martin Luther

    Siasa za CHADEMA kwa miaka ya karibuni zimekuwa siasa za ki Mandela Mandela na Ki Martin Luther King(Ukipigwa shavu la kulia geuza na la kushoto). Hakuna Steven Biko na Malcom X tena (Jino kwa Jino) huko katikati ndio maana uonevu unazidi kila siku. Miaka ya nyuma akina Lema walijitahidi kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania TASAF: Rais Samia apeleka TZS27bn Tanga kusaidia masikini na wasiojiweza pesa hii sio mkopo wala deni hawatalazimika kuirejesha hapo baadae

    Rais Samia katika Mpango wake wa Kunusuru Kaya Maskini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) ameendelea kutekeleza kwa mafanikio makubwa katika Mkoa wa Tanga. Hadi kufikia Machi 2024/2025, mpango huu ulikuwa ukitekelezwa katika vijiji | mitaa 1,039 kutoka awali ya vijiji | mitaa 656...
  7. JamiiForums Tanzania Mradi wa BBT ulikuwa umelenga kuwatajirisha wanasiasa na sio kusaidia vijana

    Bashe nilijua wewe Kwakuwa Una asili ya kisomali, basi ungehakikisha unawainua vijana Ila mmeishia kuwapotezea muda vijana na kujipigia hela inasikitisha sana Mkuu.
  8. JamiiForums Tanzania Rostam: Warejesheni Wataalamu Walioko Nje Kusaidia Taifa

    Rostam: Warejesheni Wataalamu Walioko Nje Kusaidia Taifa
  9. JamiiForums Tanzania Njia pekee inayoweza kusaidia Simba

    Kwa wale wanasimba. Msimu wa 24/25 kuna mambo yametokea ambayo wanasimba wamedhurumiwa kwa nguvu. 1. Simba waligoma kucheza mchezo wowote hadi wahuni waliosababisha vurugu kuelekea mechi ya March 8 washughulikiwe. Kinyume chake Simba waliendelea kucheza mechi, mashabiki na wanachama...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom na Stanbic wametoa miche ya miti na vifaa kusaidia Singida

    ●Ni kupitia Msafara wa waendesha baiskeli wa Twende Butiama Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania, Chiha Nchimbi (kulia) na Mkuu wa Mtandao wa Matawi wa Benki ya Stanbic Tanzania, Geofrey Mwijage (kushoto), wakikabidhi miche 100 ya miti kwa Mkuu wa Divisheni ya Awali na Msingi wa Manispaa...
  11. JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya zazindua mkutano wa kusaidia ujenzi wa Ukraine

    Viongozi wa Ulaya wamezindua Alhamisi mjini Rome, mkutano wa kila mwaka wa kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa Ukraine baada ya vita, wakitarajia kukusanya dola bilioni 12. Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky waliufungua mkutano huo kwa kuwatolewa wito...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania kama hawa wananipa moyo wa kubaki Tanzania kusaidia maendeleo

    Habari wakuu Hizi hoja makini katika video hapo chini, zimenipa moyo wa kuendela kubaki Tanzania. Tupate wananchi wengi namna hii katika kuishauri serikali Muongeaji anaonekana kutoa maoni hayo katika kipindi cha TBC. Watanzania wenye maono na hekima wapo wengi, wasikilizwe. Muda si muda...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musukuma: Wakuu wa Wilaya wanaotaka ubunge, Bungeni hakuna hela

    "Umesema kuhusu wakuu wa mikoa, wakurugenzi, Makatibu Wakuu. Nimeona watu wengi wameacha kazi hadi Makatibu wakuu. Nataka kuwaambia na sema uwazi. Ubunge sio kama watu wanavyotafakari. Watu wanasema ukiwa Mbunge kuna hela za bure utapata. "Itakuwa tajiri mshahara ni mkubwa. Sijaona hizo hela...
  14. JamiiForums Tanzania Simu yako imepotea au imeibiwa? Usihangaike! Tunaweza kusaidia!

    📱 SIMU YAKO IMEPOTEA au IMEIBIWA? USIHANGAIKE! TUNAWEZA KUSAIDIA! 🔍 Kama umepoteza simu yako kwa bahati mbaya, usiogope wala usikate tamaa – sisi tupo kwa ajili yako! Tunatoa huduma maalum ya ufuatiliaji wa simu zilizopotea, kwa kutumia taarifa chache tu kutoka kwako: 🟡 Email na password...
  15. JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo vijana wanaoikemea serikali ya Samia na kusaidia watanzana wengi baada ya kukimbilia uhamishoni nje ya nchi

    1. Edgar Mwakabela au SATIVA 2. Msabaha 3. Hilda Newton (Alikimbilia uhamishoni baada ya kunusurika siku ya kesi ya Lissu) 4. Titto Magoti 5. Maria Sarungi Ongeza wengine
  16. JamiiForums Tanzania Mafusho, vito na vitakasa vingine: Ni zana ya kusaidia, si tiba ya kamili

    Katika ulimwengu wa kiroho, watu wengi hujikuta wakivutiwa na matumizi ya mafusho (udi, ubani karafuu mdalasini na aina mbali mbali za mafusho kulingana na nyota yako), vito , na vitakasa mbalimbali vya kiroho kama maji ya kutakasa, chumvi, n.k. Hivi vyote vina nafasi yake. Ni kama mafuta...
  17. JamiiForums Tanzania Matumizi ya GPS Cheap iliyopachikwa ndani ya mwili kusaidia kupatikana unapotekwa na watu wasiojulikana kufuatia kuongezeka matukio ya kutekana

    Ili kurahisisha kupatikana kwako ukiwa HAI au MWILI wako ukiwa umekufa au kuuwawa KURAHISISHA KUPATIKANA kwako kwa haraka pindi inapotokea kutekwa/kupotea katika mazingira mbalimbali mfano AJALI mtu amezama ndani ya maji baharini kufuatia ajali ya boti,n.k. ndege kutopoteza uelekeo na kupotelea...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama hakuna muda wa kuifanyia Tume ya Uchaguzi marekebisho UN yaweza kusaidia

    Kama hakuna muda wa kuifanyia Tue ya uchaguzi marekebisho, UN yaweza kusaidia: Utaratibu wa kufuata ili UN kuunda tume huru ya kusimamia uchaguzi katika nchi yenye kufanya uchaguzi kama sio huru na wa haki? Utangulizi: Umoja wa Mataifa (UN) hauna mamlaka ya moja kwa moja kuingilia uchaguzi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Zelensky anazidi kuzivuta nchi za Ulaya ziingie vitani na Urusi kwa uchokozi wake huku nchi za kiarabu zikijficha kusaidia ndugu zao wanaodhulumiwa

    Dunia kwa sasa ina vita viwili mashuhuri zaidi na ambavyo havifanani kabisa. Kwanza ni vita vya Ukraine ambavyo raisi Zelensky ambaye baada ya kuvimbiwa utajiri akakubali kazi ya kuichokoza Urusu kwa faida ya nchi za NATO. Vya pili ni vita vya Gaza ambavyo wapalestina wakiongozwa na Hamas...
  20. JamiiForums Tanzania Si kila mtu wa kusaidia, si kila mtu wa kukopesha

    Inaweza kuonekana kwa baadhi yetu kuwa ni imani za kufukirika na mambo ya kijinga yasiyo na maana kabisa, lakini haya mambo yapo na kuna watu yamewaathiri kwa kiwango kikubwa Si kila aombaye msaada ni mhitaji kweli na si kila mtu wako wa karibu hasa baadhi ya ndugu na marafiki waombao misaada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…