kusaidia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula aitaka Serikali ya Tanzania itoe maelezo kuhusu tuhuma dhidi yake kupeleka watu kusaidia kupora Zambia!

    Ndugu Watanzania! Nchi yetu imeingia katika dimbwi la matope na kinyesi. Tanzania inatuhumiwa kupeleka watu kwenda kusaidia kupora Uchaguzi wa Zambia kumsadia Hakainde Hichilema anayesadikika kuwa ameshindwa Uchaguzi ili aapishwewa kuwa Rais wa Zambia kwa muhula mwingine. Mgombea wa upinzani...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali yazindua mradi wa Mikopo nafuu ujenzi wa Vituo Vidogo vya Mafuta Vijijini, kusaidia wanaohifadhi mafuta ndani ya nyumba

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa ushirikiano na Benki ya Azania imezindua rasmi mradi mkubwa wa utoaji wa mikopo nafuu kwa wajasiriamali wadogo, utakaofanikisha ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya kuuza mafuta ya petroli na dizeli maeneo ya vijijini. Hatua hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Dar: Marekani Kutoa $3.14 billion kusaidia sekta ya Afya

    Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, yenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.14 kupitia uwekezaji wa pamoja wa nchi hizo mbili. Makubaliano...
  4. JamiiForums Tanzania Its 2026, elon musk anatengeneza kifaa cha kusaidia vipofu kuona meanwhile bongo bado mambo ni haya

    Ukijaribu kusema unaambiwa hata wazungu wana uchawi wao😬 anyway, maisha yaendelee.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Unahonga bil 10 ku support viongozi wabovu. Ili uendeshe ma Rolls Royce. Utayapitisha barabara zipi?

    Hawapeleki hela Road Fund, wanazitafuna kwa kuishi kwa kufuru kwa hela ya serikali. Zinazofika zinajenga kitu cha mwaka mmoja. Usimamizi wa ukarabati hakuna. Uongozi mbovu. Umewapa hela za kampeni ili na wao walinde biashara zako corrupt. Dili zako have to be corrupt kwa saab kwa nn...
  6. JamiiForums Tanzania Hapa kwetu habari za kila siku ni ajali labda na teuzi. Wenzetu ni ubunifu na tafiti za kusaidia dunia

    Je hili mamlaka inaliona au ndio utamaduni wetu.
  7. JamiiForums Tanzania Siasa za kiunaharakati wanazozifanya CHADEMA ni zipi? Ebu tuelezeni tuelewe. Maana wanapinga uovu na ufisadi na wanataka kusaidia taifa lao.

    Kuna kijipointi cha kipuuzi mnakig'ag'ania sana kuwa CHADEMA ni wanaharakati. Harakati hizo ni zipi? Kupinga utekaji, ufusisadi na CHADEMA kutaka Katiba mpya ili tuwe na demokrasia na maendeleo ni unaharaki? Ni wakati wa kuleta mabadiliko.
  8. JamiiForums Tanzania Siasa za picha mitandaoni ni kujifariji na kujidanganya tu, kiukweli hazijawahi kusaidia chama chochote cha siasa kushinda uchaguzi.

    Mfano hapa Tanzania, kuna vyama vya siasa kwa muda mrefu sana, ukiachilia mbali kutumia matusi, vilikua vikijidanganya na kujifariji na picha au video za kutengeneza mitandaoni kuonyesha kwamba eti vina wanachama wengi au wafuasi wengi zaidi na badala yake wakati wa uchaguzi wakaambulia patupu...
  9. JamiiForums Tanzania OllaBridge tool ambayo inaweza kusaidia kuadd AI features kwenye shared hosted website(Unaweza kuazisha chatbot yako binafsi bila risk privacy)

    Habari wana-tech, Leo nataka kuwashirikisha mradi wangu mmoja wa open-source unaitwa OllaBridge. Huu mchongo utawasaidia sana ma-developer wenzangu wanaotumia shared hosting (kama Hostinger, cPanel, n.k.) kutumia nguvu ya AI kwenye websites zao bila kulipia madola ya ChatGPT API wala kuhitaji...
  10. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia kuikopesha Tanzania Shilingi Trilioni 1.4 kusaidia Ajira ni Pigo jingine kwa CHADEMA

    Poleni sana Chadomo Kwa hili pigo na kuendelea kujaza maji kwenye neti. ====== The World Bank has approved $550 million in financing for Tanzania to boost jobs and support vulnerable households. The funding will benefit more than three million people through skills training and social...
  11. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaidhinisha Tsh. Trilioni 1.422 kwa ajili ya Tanzania ili kuimarisha ajira na kusaidia kaya zilizo hatarini

    Benki ya Dunia imejitolea kutoa kiasi cha dola milioni 550 kusaidia jitihada za upatikanaji wa ajira na usaidizi wa kijamii nchini Tanzania. Benki ya Dunia imemidhinisha ufadhili mpya wa dola milioni 550 kwa ajili ya Tanzania, ukilenga kutengeneza fursa za ajira na kusaidia kaya zenye uhitaji...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Kwanini China haiingilii kati kusaidia mataifa mengine yanapovamiwa na nchi za Magharibi?

    Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu China kutoingilia kati pale mataifa ambayo yamekuwa na uhusiano wa karibu na China yanapovamiwa. Wengine wamefikia hatua ya kusema China ni waoga na sio wa kuwaamini. Gumzo lilianza Marekani na washirika wake walipovamia Syria na Iran na sasa...
  13. JamiiForums Tanzania Napata msukumo wa kusaidia wajane

    Husika na kichwa cha habari....hii ni kwa imani na matokeo ya tafiti endelevu yanayoendelea...msaada wa kesi ..msaada wa matibabu...msaada wa masuala ya kija mii n.k. Msaada wa uwazi bila kuonana ana kwa ana, LETE MAONI
  14. JamiiForums Tanzania Mo Dewji kutenga Bil. 25 kusaidia wabunifu wa AI na Fintech

    Bilionea Mohammed ‘Mo’ Dewji , ametangaza kuwa yuko mbioni kuzindua Mfuko wa Ubunifu wenye thamani ya TZS bilioni 25 ili kuchochea mageuzi ya kiteknolojia nchini Tanzania na barani Afrika. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye X Jumatano hii, Dewji ameandika: “Niko mbioni kuzindua Mfuko wa...
  15. JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Ulaya yakataa kuidhinisha fedha za Russia zilizokuwa frozen kwa ajili ya kusaidia Ukraine

    Benki Kuu ya Ulaya ilikataa kuunga mkono malipo ya €140 bilioni kwa Ukraine kutoka kwa mali za Urusi zilizotaifishwa, inaripoti Financial Times ikinukuu vyanzo. Makala inasema kwamba ECB ilihitimisha kwamba pendekezo la EU linakiuka mamlaka yake.
  16. JamiiForums Tanzania Elimu Yetu Inahitaji Kubadilishwa Kimsingi Ili Kusaidia Vijana Wetu

    Wana JF, poleni na majukumu… Nawasalimu wote kwa heshima kubwa. Sasa nimekuja na hoja nzito kuhusu mustakabali wa watoto wetu, ndugu zetu na Taifa kwa ujumla. Tatizo la elimu nchini ni kubwa kuliko tunavyodhani, na tukiliacha litaendelea kutengeneza kizazi kinachohangaika bila sababu. Kwa muda...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Nchi ikishakombolea mkononi mwa wakoloni weusi Kuna Madaktari na Maprofesa wanapaswa kuvuliwa hizo tittle zao akiwemo Kitila Ili kusaidia watoto wetu

    Maprofesa na madaktari ni watu wenye Elimu kubwa baada ya kufanya tafiti mbalimbali. Pili ni watu ambao wanasimamia kile wanachoamini maana wamekifanyia utafiti Tatu ni watu wanaolenga kusaidia jamii Kwa kile wanachoamini na kuifanyia utafiti Maprofesa na madaktari wasiosimamia kile...
  18. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maria Sarungi: Tutawashitaki mitandao ya Simu ikishiriki Tena kwenye kusaidia Serikali uzimaji wa mitandao

    Mwanaharakati wa haki za jamii mitandaoni Maria Sarungi amewaonya wamiliki wa mitandao ya Simu kutokubali kutumika na serikali kuminya haki wananchi kutumia internet maana safari hii kuelekea D9 atawafungulia mashitaka haya yote ameyazungumzia kwenye kipindi chake cha Maria space.
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchaguzi umepita, tujikite kwenye hoja za kusaidia wananchi

    Hakuna mwanasiasa anayesapoti mauaji na wala hatotokea ,wote watakana kuhusika ...it is done! Kamwe usijiingize kwenye vurugu na kamwe usifikiri kutumia nguvu kufanikisha jambo lako unless una nguvu ya ziada. sasa tujenge Taifa na tukutane 2030
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Hasunga aahidi kuleta magari mawili kusaidia misiba akichaguliwa jimbo la Vwawa

    MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Vwawa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Japhet Hasunga, amesema akichaguliwa ataendelea kutoa huduma ya gari la kusafirisha miili ya marehemu wanaofariki dunia ndani ya jimbo lake ili kuwapunguzia gharama wafiwa. Aidha Hasunga amesema akichaguliwa tena ataongeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…