Wakuu
Akizungumza alipokuwa katika mahojiano kwenye kipindi cha Medani Kuu na Edwin Odemba alisema:
“Nilishindwa Uchaguzi ndani ya CCM kwenye kura za maoni 2025 katika Jimbo la Butiama kwa kuwa sikutoa Pesa wenzangu walitoa"
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Songea Vijijini mkoani Ruvuma, Juma Nambaila, akitangaza matokeo ya kura za maoni katika Jimbo la Peramiho.Walioongoza ni Victor Mhagama kura 3040.
Getrude Haule kura 2913 na kizito Mhagama kura 943 na baada ya hapo mchakato unaofuata vikao vya ngazi...
Nimeona hii ni mashairi tu yanaendelea kumpendezesha huyu mama Kizimkazi hakuna lolote hapo.
Je Lissu angeshiriki ingekuwaje maana na amini kwa asilimia kubwa watu wangempigia kura hizo za maoni bwan Lissu, na je wangetangaza?
==================
Kituo cha Sera za Kimataifa-Afrika kwa kiingereza...
Michael Kimbaki, Mshindi wa Kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kuwania Ubunge Jimbo la Tarime Mjini, amekubali maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM yaliyompendekeza Ester Matiko kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo hilo.
Hata hivyo, Kimbaki amesema haungi mkono wazo la kuzuia Wabunge...
TUJIULIZE JE,Kuna haja ya wajumbe wa CCM kupiga kura ya MAONI ilhali wakijua ni NEC ndiyo inachagua Wabunge?.Je kufanya hivi siyo kuliuza haki za wajumbe waliopiga kura?.Baada ya Kamati kuu ya CCM yaani NEC kutangaza majina ya wagombea ubunge wa CCM ,Vilio vimesikika maeneo mbalimbali ya...
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini wameandamana kwenye ofisi za Chama hicho kupinga hatua ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa kumuengua mshindi wa kura za maoni katika jimbo hilo Michael Kembaki na kumteua Esther Matiko aliyeshika nafasi ya tatu kuwakilisha chama hicho kwa ngazi...
Kiukweli nasikitika sana kuona kadri miaka inavyoenda Jukwaa hili linazidi kuwapoteza watu ambao ni Great Thinkers na badala yake Jukwaa kwa sasa lmejaa watoto ambao ata kung'amua michezo kama hii wa nashindwa!
Iko hivi,.
CCM wa nachokifanya ni kuwaengua wale watu ambao walipata kura nyingi...
Tulishuhudia kwa Magufuli 2020
Walioshinda kura za maoni hawakuteuliwa, wakaja kuteuliwa mpaka walioshika nafasi ya tano..!!!
Imefika 2025, Samia nae hivyohivyo, Wagombea walioshinda wamekatwa.
Kwa utafiti wangu mdogo ni wabunge 10 ambao walishinda kwenye kura za maoni ila wamechaguliwa...
Kamati Kuu ya CCM iko kwenye mchakato wa kupitia majina na kuwateua wale watakaopeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi ujao.
Binafsi nitashangaa sana kama CCM itamteua mtia nia aliyeongoza kura za maoni Jimbo la Rorya . Huyu mtia nia hakushinda kwa haki.
Lolote linaweza kutokea na yeyote miongoni tuliopigiwa kura za maoni anaweza kupendekezwa na kamati kuu ya ccm taifa na akaidhinishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa, kua ndie atakaepeperusha bendera ya ccm uchaguzi mkuu wa october29,2025.
CCM haina cha kupoteza uchaguzi mkuu huu, na yeyote...
Kinyang'anyiro cha kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kusaka Wagombea Ubunge, uwakilishi na udiwani kilichofanyika nchini kote Agosti 4, 2025, kimefichua hatari kubwa inayokikabili chama hicho kikongwe ambayo kama haitadhibitiwa haraka basi kinaweza kuleta shida.
Uchunguzi...
Ratiba ya uteuzi wa watia nia kwa nafasi ya Ubunge inaanza tarehe 22 Agosti, 2025. Tayari kura za maoni zilikwishapigwa katika Majimbo yote. Kuna habari kuwa Katika Jimbo la Rorya wapiga kura wengi walinunuliwa kwa Rushwa na hivyo mshindi aliyeshika namba moja hakushinda kwa halali.
Ninaiomba...
Hofu imetanda kwa baadhi ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Nyankanga, Wilaya ya Butiama, mkoani Mara, (wajumbe) baada ya uwepo wa fununu za kuenguliwa kwa mtia nia wa nafasi ya udiwani katika Kata hiyo Bw. Emmanuel Musuya, aliyeongoza katika kura za maoni na...
Wanachama wa CCM Kata za Bereko na Kisese, wilayani Kondoa, mkoani Dodoma, wameuomba Uongozi wa CCM Taifa, kurudia kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani na Ubunge wa Jimbo la Kondoa Vijijini, wakidai uchaguzi huo uligubikwa na vitendo vya rushwa ili kutoa fursa kwa wananchi kupata kiongozi bora...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema kuenguliwa kwa waliokuwa wabunge 28 katika katika kura za maoni za CCM akisema yamelenga kuondoa wabunge wanaouliza maswali na kutoa hoja bungeni.
Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Agosti 14 jijini...
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameibuka kidedea katika mchakato wa kura za maoni za kuwania Jimbo la Kigoma Mjini uliofanyika jana Jumanne Agosti 12, 2025.
Katika mchakato huo uliofanyika mkoani Kigoma, Zitto ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya ACT Wazalendo, alipata kura 228...
Babu Tale akipika ugali na mrenda, muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi za chama Mvuha, siku moja baada ya kushinda kura za maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini Mashariki kwa kupata kura 5,318 dhidi ya Omar Tebweta Mgumba aliyepata 1,310.
Ndugu zangu Watanzania,
Nawapendeni Sana Watanzania wenzangu.
Habari ni Kuwa Kura za Maoni zitafanyika upya katika Jimbo la Kongwa Kufuatia kifo cha Hayati Jobu Ndugai aliyekuwa miongoni Mwa wagombea katika Jimbo hilo.
Ambapo pia katika uchaguzi wa kura za Maoni za Awali kabla ya Kifo chake...
According to Gallup's latest poll, several current and former Trump administration officials have also seen plunging favorability ratings, including secretary of state Marco Rubio, and president Trump himself, setting the stage for a whirlwind midterm election next year.
Trump has since tried...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.