Nimejiuliza ni kwa nini REDET - A University of Dar es Salaam centre for Research and Education for Democracy in Tanzania, haifanyi utafiti (survey on opinion polls) kama ilivyofanya mwaka 2020 Tanzania ilipokaribia uchaguzi mkuu. This time, nafikiri REDET wanapaswa kufanya utafiti wa kisayansi...
Matokeo ya awali katika kata 14, matokeo yanaonyesha Isaya Mngulumi anaongoza kwenye kata zote kati ya kata 22 za Wajumbe waliopiga kura siku ya Leo.
Ikumbukwe kuwa Isaya Mngulumi alishika nafasi ya pili akitanguliwa na Hayati Ndugai. Hapa ni kata ya Kibaigwa
Baadhi ya wananchi Jimbo la Mbarali Mkoa wa Mbeya wametishia kutokushiriki uchaguzi Mkuu Oct ,2025 wakidai kuwa mgombea aliyeshinda kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo hilo sio chaguo la wananchi ni chaguo la chama.
Wananchi wa jimbo hilo wametuma ombi kwa uongozi wa...
Ikitokea mchakato wa uchukuaji fomu za kuwania urais ukarudiwa upya na ndugu Humphrey Polepole akahama chama na kuchukua fomu ya kuwania urais akichuanana mama Samia, kura yako ya urais ungempa nani?
Piga kura ukiwa na akili timamu na bila kushinikizwa na mtu yeyote ili tupate mshindi mapema.
Aliyekuwa kada wa CHADEMA na mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la Biharamulo katika uchaguzi mkuu uliofanyika Octoba, 2020 na baadae kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mnamo tarehe Machi 25, mwaka huu wa 2025 ameteuliwa na kamati kuu kushiriki kinyang'anyiro cha kura ya maoni katika kiti cha...
Pesa ya mwarabu ni ngumu kutoka hasa amapokuwa na wagombea dhaifu anaowaandaa mwenyewe. Kipindi kilichopita tulinemeka wajumbe kwa sababu Dr. Mmasa wa Udom kuwa tishio kwake hasa kwa usomi wake na umaarufu wa baba yake. Japo hatoi pesa inayoweza kushindana na pesa ya Shabiby. Kijana huyu msomi...
Kauli zozote za kishujaa kuhusu muungano ni nakili kutoka kwa waasisi wa mataifa haya mawaili. Huenda labda kwa wakati huo muungano ulikuwa na manufaa lakini sio sasa. Kama nyumba ya zamani inaweza kuvunjwa na kujengwa mpya inayoendana na wakati, basi hata muungano kwa sasa ni jumba la kale...
Rais Samia kama unavyopenda kutumia mtandao wa X kuelezea mambo yanayohusu nchi na Watanzania ikiwemo kutoa taarifa mbalimbali za Serikali yako, nakushauri utumie mtandao huo kupata maoni ya wananchi ni namna gani wameupokea mkataba wa Bandari ambao umekuwa gumzo kuu hapa nchini.
Rais Samia...
Sehemu ya I
Bandiko Duru: Hatima ya Muungano na dalili za kuvunjika mapema tulisema bila kura ya maoni na Katiba ,tuna ahirisha tatizo la Muungano kwa muda.
Kuna 'utatu' wa ''Katiba, Muungano na Kura ya maoni'' . Madai ya katiba ni katika eneo la madaraka ya Rais, kuimarisha taasisi na...
Mbali na kelele zoote hizi za wananchi! Lakini bado bunge lenye idadi ya wabunge 300 hivi, likiwakilisha wananchi zaidi ya 60 milioni limeishinisha kubinafisishwa kwa Bandari zetu zote Tanganyika
umefika wakati sasa, maoni ya wengi yaheshimiwe, hasa kwenye mambo makubwa kabisa yanayomgusa kila...
Ukraine wanaendelea kukomboa miji iliyopigiwa kura za maoni na Warusi.
Hivi yule kamanda wa Urusi tuliyeaminishwa ndiye muuaji namba moja kule Syria, mbona sijaona chochote cha ajabu kwake.
=========
Ukrainian troops say they have taken back the key town of Snihurivka, 50km (30 miles) to the...
Ameyasema hayo leo akitimiza miaka 72.
Rais mstaafu Jakaya Kikwete akihojiwa na clouds Media Group ktk kutimiza kwake miaka 72, amegusia Katiba Mpya.
Amesema ameasisi Mchakato wa Katiba Mpya kwa kuunda tume ya maoni ya Warioba na baadaye Bunge la Katiba.
Rasimu ilipatikana na ikabaki kura ya...
CountCapone
Kabla ya mwaka 1961 hakukuwahi kuwa na nchi inayoitwa Tanzania kwenye ramani
1-1885 Ardhi ya Tanzania haikua na dola moja inayotawala bali jamii nyingi zilizogawanyika
1885-1919 Deutsch-Ostafrika (Afrika Mashariki ya Ujerumani
1919-1960 British East Africa Protectorate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.