kupunguza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ruzuku ya serikali ya bilioni mia moja kwenye mafuta ni kituko katika kupunguza bei ya mafuta

    Hakika serikali inacheza na akili zetu ni afadhali ingekaa kimya kuliko kutoa matumaini ya unafuu wa maisha ambao haupo. Ni ukweli uliowazi kuwa serikali imehusika kwa kiasi kikubwa kupanda kwa gharama za maisha kwa sababu ingewezekana kabisa serikali kuchukua hatua za kuzuia kupanda kwa bei za...
  2. JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu yameamua kwa makusudi kupunguza kasi ya internet?

    Leo siku ya tatu nina experience low speed ya internet, awali nilidhani nilijua shida ni airtel nayotumia nikaunga voda bado nikapata tatizo lile lile. Nilipouliza na wengine malalamiko ni hayo hayo. Vipi kwako hali ikoje? Kama sote iko hivyo je ni maagizo ya TCRA? Maana juzi niliona...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Lazima tuwe na plan ya kupunguza utegemezi wa mafuta

    Nchi zetu hizi za kiafrika ni kama tumelaaniwa, itafika wakati watu wataona aibu kuzaliwa nchi zetu hazina mipango wala chochote, mipango ni kutazama huduma za jamii basi, Nikirudi kwenye Hoja, tunahitaji kuwa na mpango wa kuondoka katika utegemezi wa mafuta. na hapa ni lazima tuweke mkakati...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Vs Rais kuhusu bei ya mafuta tutapona?

    Wakati Waziri Mkuu anahangaika namna ya Kupunguza bei ya Mafuta Rais anasema Bei ya Mafuta Tanzania ni ndogo kuliko Marekani. Tutapona kweli? Waziri akipunguza rais si atapangua maamuzi? Nini kifanyike?
  5. JamiiForums Tanzania Hatuwezi kutumia stoku ya nchi kupunguza bei ya mafuta?

    SERIKALI HAINA UWEZO WA KUPUNGUZA HIZI BEI ZA MAFUTA? Na Elius Ndabila 0768239284 Nimesoma bei mpya ambazo zinaongeza maumivu mara dufu kwa mtu wa chini. Nimesema zinaongeza maumivu kwa mwananchi wa Chini kwa kuwa natambua wengine wanaotumia sawa sawa kodi za wavuja jasho maumivu hayawafikii...
  6. JamiiForums Tanzania Watu wahoji kwa nini CHADEMA imeanza kupunguza kasi ya kudai Katiba Mpya

    Wananchi mbalimbali wanaotaka katiba mpya wameshtushwa na ubaridi wa ghafla wa chama cha Demokrasia na maendeleo (ChADEMA) katika kudai katiba mpya. Watu hao wanasema walikuwa na tumaini kubwa sana kuwa kupitia pressure ya taasisi hiyo yenye nguvu nchini pamoja na kuunganisha nguvu za wananchi...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujiandaa pale mwenza wako apatapo Mimba Kwa Vijana Masikini; ili Kupunguza Ugumu siku ya kujifungua na uzazi!

    JINSI YA KUJIANDAA PALE MWENZA WAKO ANAPOPATA MIMBA KWA VIJANA MASIKINI ILI KUPUNGUZA HALI NGUMU WAKATI WA KUJIFUNGUA NA UZAZI na MALEZI KWA MIAKA 10 Anaandika, Robert Heriel. Andiko hili lawafaa Sana Vijana wa Aina zote hasahasa Vijana Masikini. Andiko hili halitamuumiza yeyote, hivyo mtu...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini usijengwe ukuta katikati ya barabara za mikoani kupunguza ajali?

    Shida kubwa na chanzo Kikuu cha ajali ndani ya nchi yetu ni Kama zifuatazo; 1. Uchovu wa Madereva wakiwa barabarani. 2. Magari mengi Ni mabovu hasa malori hivyo ni Kama majeneza yanayotembea 3. Ulevi kwa madereva, Tanzania tunajifanya Sheria haziruhusu kuendesha ukiwa tayari umeshakunywa...
  9. JamiiForums Tanzania Tunisia yadhamiria kupunguza uharibifu baada ya meli inayobeba hadi tani 1,000 za mafuta kuzama

    Tunisia itafanya kazi na nchi nyingine ambazo zimejitolea kuisaidia kuzuia uharibifu wa mazingira baada ya meli ya kibiashara iliyokuwa imebeba hadi tani 1,000 za mafuta kuzama katika maji ya Tunisia, wizara ya ulinzi ilisema Jumapili. Meli hiyo ilikuwa ikitoka Equatorial Guinea kuelekea Malta...
  10. JamiiForums Tanzania Standard Chartered kufunza shughuli zake Zimbabwe, kupunguza huduma Tanzania

    BENKI YA STANDARD CHATERED KUFUNGWA ZIMBABWE,INAPUNGUZA HUDUMA TANZANIA. LONDON, Uingereza - Benki kongwe zaidi ya Zimbabwe ya Standard Chartered imefunga shughuli zake nchini Zimbabwe na nchi nyingine sita za Afrika na Mashariki ya Kati kama inataka kuboresha faida kwa kupunguza mwelekeo wake...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haiongelei juu ya matumizi ya gesi yetu kupunguza matumizi ya mafuta?

    Hii gesi yetu kama ingekuwa iko Kenya wakenya wangetengeneza pesa nyingi sana. Wakenya wangekuwa Sasa hivi wanatuuzia gesi ya kupikia majumbani, gesi ya kutumia kwenye magari na viwandani, vifaa vya kuwezesha magari ya aina zote kutumia gesi asilia na kutusambazia vituo vya kujazia gesi kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Hii njia inaweza kufaa kupunguza kuchepuka kwa mwanamke alieolewa

    Hii mbinu itamfanya mwanamke kuogopa kuchepuka kwa kuhisi kuwa ataonekana kuwa mchafu kwa mchepuko wake. Kwa wale wanaume wanaosafiri safiri sana, yaani kuwa na mkeo inakuwa mara chache, sasa fanya hivi:- mwambie asiwe ananyoa. Wewe ndio unatakiwa umnyoe tena kwa kuyapunguza tu usiyamalize...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Hainan: Kijana Mwafrika anafurahia sera ya kupunguza na kusamehe ushuru ya bandari ya biashara huria ya Hainan

    Kingsford na wenzake walikuwa wakijadili mpango wa biashara katika eneo la uvumbuzi na ujasiriamali wa mtandao wa internet la Fuxing City, huko Haikou, mji mkuu wa mkoa wa Hainan. Kijana huyu kutoka Ghana alianzisha kampuni ya biashara ya kimataifa ya Kingsford ya Hainan mjini Haikou, na kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Umoja wa Afrika usisaidie Waafrika kupunguza bei ya Mafuta?

    Wadau nawaza sana juu ya huu mfumko wa bei, hasa bei za Mafuta. Ukizingatia China na India wao wanapambana ili kupunguza gharama za wananchi wao kwa kukataa matakwa ya Nchi za Ulaya juu ya Urusi, je kwanini AU nao wasijipange vivyo hivyo? Wanunue ngano na mafuta kwa mrusi bila kufuata masharti...
  15. JamiiForums Tanzania Tufanye nini ili kupunguza athari ya upandaji wa bei za mafuta? tulaumiane?

    Kuna baadhi ya vitu vinavyotokea ambavyo viko nje ya uwezo wa mtu mmoja au kundi fulani la watu. Kwa mfano, suala la upandaji wa bei ya mafuta katika kipindi hiki cha vita ya Urusi na Ukraine liko nje ya uwezo wa nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania. Kuna watu wanamlaumu Rais, Wengine serikali...
  16. JamiiForums Tanzania Mohammed Shabiby: Namna ya kupunguza bei za mafuta kwa 50% ya bei za sasa

    Shabiby atoa mwarobaini kupanda bei mafuta MBUNGE wa Gairo Mohammed Shabib ameitaka Serikali kuruhusu kampuni binafsi kuagiza mafuta wenyewe bila kutumia uagizaji wa pamoja. Shabiby ametoa ushauri huo leo Jumatano tarehe 6 2022 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Ofisi...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Serikali inayowaza kumnyonya Mtanzania kwa tozo haitawaza kupunguza kodi kwenye bidhaa ili kupunguza mfumuko wa bei

    Serikali ya CCM inayoongozwa na Raisi Samia haiwezi kufikiria cha kufanya angalau kupunguza uchungu anaopitia mwananchi kwa sasa wa kupanda kwa bidhaa karibu zote nchini. Serikali hii inachowaza ni kupata pesa ili wao waendelee kunufaika ndii maana wamelundika tozo na kodi za kila aina, zingine...
  18. JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo: Serikali ipanue barabara ya Dar-Moro-Dodoma ili kupunguza ajali, magari ni mengi kwa sasa

    Serikali imeshauriwa kuboresha na kuipanua barabara ya Dar es Salaam-Morogoro hadi Dodoma ili kupunguza uwezekano wa ajali kutokea kutokana na wingi wa magari yanayotumia njia hiyo kwa sasa. Ushauri huo umetolewa kutokana na wimbi la ajali mfululizo katika barabara hiyo, ikionekana kuwa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) kina mchango gani katika kusaidia kupunguza ajali nchini?

    Nimeangalia hali ya usalama wa abiria katika vyombo usafiri wa umma kwa maana mabasi na wale ambao tunatumia vyombo binafsi na wadau wengine wanaotumia barabara nchini, ni kwamba kumekuwa na wimbi kubwa la ajali katika kipindi hiki kifupi cha Januari hadi March hii 2022. Ukiangalia vyanzo vya...
  20. JamiiForums Tanzania Ukraine: Gavana wa Chernihiv asema Russia haijalegeza mashambulizi licha ya ahadi ya kupunguza mashambulizi

    Gavana, Viacheslav Chaus, alitumia programu ya kutuma ujumbe ya Telegram kukashifu ahadi ya Urusi. "Urusi yaanzisha mashambulizi mapya baada ya ahadi ya amani, Tunaamini ndani yake? Bila shaka sivyo," alisema, akiongeza Urusi ilikuwa imeshambulia Chernihiv "usiku kucha". Siku ya Jumanne, Urusi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…