kupumzika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida IGP wa Kenya aomba kupumzika kwa muda

    Je,, ni kweli IGP anaumwa? Au, bado ni vuta nikuvute ya uchaguzi? Na ni nani yuko nyuma ya movie hii? Ni Ruto (mhangaikaji) ama Odinga (mtoto wa mboga 7)?
  2. Waziri Mkuu wa Mali alazimishwa kupumzika

    Waziri Mkuu wa Mali, Choguel Maiga amelazwa katika mapumziko aliyolazimishwa na daktari baada ya kuelezwa kufanya kazi kwa miezi 14 bila kupumzika. Ofisi ya Waziri huyo imesema atarejea katika majukumu yake wiki ijayo, awali taarifa zilisambaa kuwa amelazwa baada ya kuugua kiharusi. Serikali...
  3. Q

    Ni wakati wa Rais Samia kuchukua likizo ya Mapumziko

    Tangu aapishwe sijui kama kapumzika. Leo anazindua Mdahalo wa miaka 100 ya Nyerere....Kibaha. Jana alikuwa anazindua Sensa......Dar. Juzi alikuwa anazindua usafirishaji mama mjamzito.... Juzi alihudhuria kumbukumbu ya Karume....Zanzibar, Juzi alikuwa Zanzibar Anafuturisha.... Majuzi Rais...
  4. Fahamu faida 10 za kupumzika baada ya uchovu wa kazi

    Kutokana na mabadiliko ya mtindo wa maisha, watu wengi hawapati muda wa kutosha wa kupumzika. Mara nyingi mtu anapozidiwa hupunguza zaidi muda wa kupumzika ili akamilishe majukumu yake. Ikiwa unataka kuboresha utendaji wako wa kazi pamoja na afya yako, fahamu faida 10 za kupumzika. 1. Huongeza...
  5. IGP Sirro viatu vimekupwaya mno, omba kupumzika

    Kulikuwa na haja gani ya kusema kuwa Polisi wataanza kukagua shule za dini zaidi ya kuleta taharuki na kuzalisha chuki? Kama Polisi inadhani kuna matatizo huko kwenye shule za dini, je mbinu sahihi haikuwa kuchunguza kimyakimya na kwa siri? Alafu bila aibu anasema eti amejifunza Rwanda! Kitu...
  6. Ndoto ni matokeo ya ubongo kupumzika, hazina maana yeyote zipuuzeni

    Habari wakuu, Kama unaota unakimbizwa na majini, unaota mtoto wako wa kumzaa sio wako, unaota upo darasani mnafundishwa na lecturer ilihali ulishamaliza chuo kitambo na upo kazini tayari, unaota ndugu yako kafariki, unaota umekuwa Raisi wa JMT ili hali hujawahi kuwa hata barozi wa nyumba...
  7. Najua kuna watakaonicheka kuwa mimi ni mzembe lakini muda mwingine inahitajika kupumzika

    Wataalamu mpo? Kwema? Niliwamisi sana. Juzi bana nilitoka out na shemeji yenu mmoja hivi ambae ndio bado hatuna hata week 2, tulitoka weekend tulikunywa vinywaji kiasi baada ya kuchangamka akapendekeza twende kwake nikapumzike kwanza then ndio niende home kwangu kwakua kwake sio mbali na hapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…