kupokea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro wamasai wajitokeza kwa wingi kupokea ujumbe wa Rais Samia.

    Wapinzani na wanaharakati walikuwa wakihoji kuwa Rais wetu si msikivu. Hata hivyo, leo Rais Samia amemtuma mwakilishi wake wa ngazi ya juu kabisa kuwasikiliza na kuzungumza na Wamasai wa Ngorongoro. Walimaanisha kwamba Wamasai hawawezi kuzungumza na mtu mwingine zaidi ya Rais, lakini leo...
  2. jangos

    JamiiForums Tanzania Natumia njia Gani kati ya hizi kupokea hela?

    Kuna hela kidogo nimezipata mtandaoni Sasa Kuna hizi njia za ku withdraw kama Kuna anayejua inayosupport apa bongo anipe details 👇
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kutoa na Kupokea

    Kutoa na Kupokea Biblia inasema nini kuhusu kutoa Biblia inatutia moyo kutoa kwa hiari na kwa nia nzuri. Inaonesha kwamba kutoa kwa njia hiyo kunamnufaisha anayepokea na anayetoa pia. (Methali 11:25; Luka 6:38). Yesu mwenyewe alisema hivi: “Kuna furaha zaidi katika kutoa kuliko ilivyo katika...
  4. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania TANESCO kuzindua kituo cha kupokea na kupozea umeme cha Mgodi wa Geita mine

    Hatimaye Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) inaenda kuanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa kutokana na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kukamilisha ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme unaofikishwa mgodini hapo Kituo hicho kilichojengwa kwa gharama ya Sh60.6 bilioni...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ofisi za TRA wanasumbua kusaini au kugonga mihuri kupokea barua

    Habarini, Kumekuwa na tabia ya baadhi ya ofisi za serikali hasa naadhi ua ofisi za TRA kupokea barua na kukataa kugonga mhuri wa received kwenye barua ya pili anayobaki nayo mteja kwaajili ya kumbukumbu zake kwa madai wamekatazwa kufanya hivyo hadi mteja aje na dispatch book. Hivi hii...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba tu Kuuliza je, Mjanja anakubali kupokea Milioni 200 kwa Mwaka ili aweze kuipata Bilioni 1 baada ya Miaka Mitano?

    Siku zote Thamani ya Mjanja anayejitambua kama Rafiki yangu Bila bila haiwezi kuwa ya kupewa Shilingi Milioni 200 kwa mwaka wakati Mjanja mwingine anayejitambua kama GENTAMYCINE Yeye anajijua kabisa kuwa Thamani yake kwa sasa na kwa jinsi alivyo hapa Barani Afrika ni kuanzia Bilioni 3 kwa Mwaka.
  7. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lianze kupokea Taarifa za kupotea kwa watu ndani ya masaa 14 hasa watoto

    Niko mikononi mwa Polisi Maisha yangu bado ni mikosi wote itikieni Afandee…. Wanabodi nianze kusema binafsi sifutahishwi na huu utaratibu wa polisi kusema mtu akipotea hawapokei taarifa chini ya masaa 24 tangu mtu amepotea. Huenda ndani ya masaa hayo jitihada zikafanyika na mtu akaokolewa uhai...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka enzi zile za nchi nzima kukutana uwanjani kupokea na kushangilia ndege mpya, huwa nacheka sana

    Nchi hii tumetoka mbali sana na it is as if tulikuwa washamba nchi nzima mpaka Kenya walikuwa wanatucheka. Nchi imetoka mbali hii. Ingekuwa hata mama kila anachonunua au kujenga anapiga promo zile hii nchi ingekuwa ya masela.
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Hatua za haraka zisipochukuliwa hapo Slovenia kunaweza kutokea jambo kubwa

    Wale wajuzi wa mambo ya intelligence Waanaweza angalia kwa jicho jingine Fuatilua ziara za wakuu wa mihimili na ulinzi wanaopaswa nimejiridhisha pasina Shka kuna uzembe mkubwa kuliko hata wa waliotangulia. Kuna jambo linapangwa Hapo Slovenia mnaweza anza mambo ya Nani ashike kwa muda Britanicca
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini jamii za kiislamu wanapenda sana kupokea kuliko kutoa? Hawaoni kama wanaharibu utu wao?

    Jamii za kiislamu wanapenda misaada sana as if they are always unable bodied. Ukienda Tabora, Ujiji, Zanzibar nk hata huduma za jamii ni duni hata kujenga misikiti tu hawawezi mpaka ajitokeze tajiri mmoja awajengee. Ukienda jamii hizo utakuta maji ya visima ndo yamejaa halafu visima vyenyewe ni...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Tumejiaandaje kupokea wakimbizi toka Kenya?

    1. Yanayoendelea Kenya mmeyasikia/kuyaona kwenye vyombo vya habari. Kimbilio lao Kuu ni Tanzania. Tofauti na Majirani wengine kwao ni Njaa (Ethiopia, Uganda), vita (Somalia, Sudan). 2. Maandamano mapya yametangazwa huko. Na kiukweli naona balaa zito linawasubiri. Tumejipangaje majirani?
  12. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania KUNA DEMU KALA VITU VYANGU HAJIBU SMS WALA KUPOKEA SIMU

    Wakuu bila kupoteza mda naomben maoni yenu hela za muhun haziliwi bure *****.
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Manyara Tayari Kupokea Wanafunzi Kutoka Pande Zote za Nchi

    MANYARA TAYARI KUPOKEA WANAFUNZI KUTOKA PANDE ZOTE ZA NCHI Nimewaelekeza viongozi husika kuzingatia utoaji wa huduma katika sekta hii ya elimu kwa kuzingatia ubora, maadili, taratibu, miongozo na sheria hasa katika shule hii mpya ya wasichana ya Mkoa Manyara. "wazazi wote ambao watoto wenu...
  14. KnucleBreaker

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupokea gari bandarini na kusajili kwa niaba ya mtu mwingine?

    Habari wakuu, Nipo nje ya nchi, nataka niagize gari kutoka japan, kisha nimtume rafiki yangu akanipokelee bandarini ikifika pia anisajilie kwa TIN number yangu. Tutatumia agent kufanya clearance ila malipo nitafanya mimi. Je, kwenye cosignee details wakati wa kununua kwenye website najaza...
  15. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba imeshakana kupokea 20B za Mo. Yeye kuendelea kukaa kimya ni kudhihirisha ulaghai wake

    Tuokoe Muda wakuu. Wajumbe wa Simba upande wa wanachama katika Bodi wameshakana klabu kupokea 20B kutoka kwa anayedaiwa ni mwekezaji aliyenunua 20B. Ikumbukwe hawa wajumbe ndo wawakilishi wa klabu katika bodi ikisemekana wanamiliki ile 51% Kwa lugha nyepesi ninkuwa Simba imeshamkana Mo Dewji...
  16. babajeska

    JamiiForums Tanzania PSSSF Dodoma mama yangu akifa kwa uzembe wa staff wenu hakika jiandaeni kupokea maiti ofisini

    Mimi ni mwanachacha wa mfuko wa psssf namba ya uanachama 110---652 ambaye nilipoteza ajira tangu may 2023, mwaka huu mwezi wa kwanza mama yangu alipata changamoto ya maradhi ya moyo baada ya nyumba yetu kudondoka kutokana na mvua kubwa zilizonyesha ilipelekea akapooza, kwakuwa mimi ni kijana...
  17. greater than

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupokea mkopo wa dollar million 150

    Kuna habari nimeiona mtandaoni,nimeona niilete jukwaani. Shirika la fedha la IMF ,litaikabidhi Tanzania mkopo wa dollar millioni 150 ili kuweza kukabiliana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dollar... Kuanzia tarehe 17 May 2024,mkopo utakuwa tayari ushaanza kupokelewa. Lucas...
  18. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Israel yalalamika Hezbollah kupokea Mitambo ya ulinzi wa Anga (Air defense) kutoka Iran

    Katika hali ya kishangaza sana na kuuchekesha Ulimwengu taifa la mchongo Israeli leo limetoa taarifa kuwa wanamgambo wa Hezbollah kutoka nchi ya Lebanon 🇱🇧 wamepokea mitambo ya ulinzi wa anga kutoka Iran ( hii ni kweli ). Na kuelezea masikitiko yao kuwa dunia ipige kelele kitendo hicho...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Malawi afutiwa kesi ya kupokea Rushwa ya upendeleo wa Tenda za Serikali

    Mahakama ya Malawi imefuta mashtaka ya rushwa dhidi ya Makamu wa Rais Saulos Chilima baada ya mwendesha mashtaka wa serikali kuwasilisha notisi ya kusitisha kesi hiyo. Hakuna sababu zilizotolewa kwa uamuzi huo. Dkt Chilima alikamatwa Novemba 2022 kwa madai kwamba alikubali pesa kwa ajili ya...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kupitia (TAFORI) Ipo Tayari Kupokea Ushauri wa Tafiti za Miti ya Mikaratusi Ili Kupunguza Athari za Mazingira

    Serikali Kupitia (TAFORI) Ipo Tayari Kupokea Ushauri wa Tafiti za Miti ya Mikaratusi Ili Kupunguza Athari za Mazingira "Kuna zaidi ya Species 500 za Miti ya Mikaratusi Duniani, Tanzania kupitia Taasisi ya Utafiti Misitu Nchini (TAFORI) imeruhusu aina 25 za Miti ya Mkaratusi ili kupata fursa...
Back
Top Bottom