Ukraine imerejesha nyumbani miili mingine 1,200 iliyokabidhiwa na Urusi, hatua mpya katika makubaliano yaliyofikiwa wakati wa mazungumzo ya hivi majuzi kati ya pande zinazozozana mjini Istanbul, taaasisi ya serikali ya Ukraine inayohusika na suala hilo
Ukraine imepokea miili mingine 1,200...