Halmashauri ya Chemba imepokea Shilingi bilioni 2.7 kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa mwaka 2024 na 2025 ili kusaidia ruzuku kwa kaya masikini wilayani humo.
Mratibu wa TASAF wa Halmashauri ya Chemba, Simon Butondo, alieleza kuwa kati ya fedha hizo, Shilingi bilioni 2.1 zilitengwa...