Ibra Line, ambaye ni mtia nia kupitia CCM, anajulikana sana kwenye mitandao ya kijamii akitoa mamilioni ya fedha kama michango katika makanisa na misikiti huko Moshi Mjini.
Hii inakuja wakati ambapo amejaza fomu ya kugombea ubunge katika eneo hilo.
Swali langu kwa wanamoshi ni hili:
Je...
Tunashuhudia Sekretariet ya CCM ikiendelea na uchambuzi wa wagombea Ubunge na Madiwani. Naishauri Sekretariet ifanye kazi hii kwa umaakini mkubwa kwa kuangalia CV ya kila mgombea.
Katika Bunge lililopita baadhi ya Wabunge walidanganya wasifu wao yaani CV na wengine kudiriki kusema kuwa...
Habari za Sabato watu wa Mungu,
Niende kwenye Mada Kwa ufupi Sana,
Nimewaza mengi lakini kubwa huenda Wazee wetu walioasisi hili Taifa letu (Tanganyika) hakuwa JASIRI kama ambavyo tunawasoma kwenye historia.
Kiongozi shupavu haogopi ushindani, kuwajibika na kukubali ukosoaji mfano tangu...
Kila mwaka idadi ya wanafunzi wa kidato cha sita inaongezeka sambamba na ufaulu. Mwaka huu pekee, zaidi ya wanafunzi 125,000 wamepata sifa za kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza (Degree), Kati ya hawa, wanafunzi wanaoweza kujiunga na vyuo kwa mikopo au kwa kujilipia wanakadiriwa kufikia elfu...
wahuni wameogopa kumshindàisha maza na makada wengine,
Ivi hili lina chochote cha kutueleza juu ya uwezo wa maza kwenye Medani husika za uongozi na siasa kiujumla ??
Na je, hii haileti ishara mbaya juu ya sirikali yetu kupigwa copy, kwamba wale wanaopromote uwepo wa maza wana ulaji wao pale...
Nilishindwa kumfuatilia YouTube na Zoom ambazo ndiyo applications alizokuwa ame share. Finally nikampata Facebook. Kulikuwa wasikilizaji 9,000+.
Nimesikiliza hadi aliporuhusu maswali kwenye swali la 3. Kimsingi hakuna kitu kipya alicho ongea kinachoathiri usalama wa Taifa letu.
Ameongea vitu...
Siku hizi msema kweli, muadilifu , mtu wa haki na mtetezi wa wanachi anayepinga udhalimu, ufisadi , rushwa nk, hastaili kuwa mbunge kupitia CCM?
Je, CCM inahitaji watu wapambe , chawa, wasiowajibika kwa wananchi na wenye muonekano kama wasio na akili ndio vipaumbele vya watu wanaostahili...
Uwepo wa informal sector na watumiaji wachache wa bank ni changamoto na tatizo kubwa sana Tanzania., Nikiwa Rais wa Tanzania ntafanya mambo yafuatayo kuondoa informal sector, kuongeza formal sector na kuongeza watumiaji wa bank
SIFA ZA HAO WAFANYAKAZI
Lazima mishahara yao iwe inapitia bank...
Rais wa Marekani Donald Trump amezindua rasmi manukato mapya ya kifahari kwa wanaume na wanawake.
Trump amezindua manukato hayo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social na yamepewa jina la “Trump Fragrances – Victory 45-57.”
Kila chupa iliyo na umbo la sanamu ya Trump akiwa amevaa suti...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA. Amos Makalla, amebainisha kuwa hadi zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu ndani ya CCM limekamilika siku ya jana Julai 2, 2025, jumla ya wanachama 5,475 walichukua fomu za ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Maiko Salali Hosea amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Niseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku,
Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri,
Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka...
Habari Tanzania !
Hivi vyama vya siasa wana haki ya kuanzisha miradi ya kiuchumi - jamii kama chanzo cha mapato kwa lengo la kujiendesha?
Natamani tuwapime kwa Uwekezaji ndani ya vyama vyao ndio sisi wananchi tuwe tunawapima uwezo wao kujiendesha na uwezo wa kiuongozi.
Asante.
Uwekezaji Mkubwa a Kijasusi alouwekeza Israel nchini Irani, ulifikia Hatua ya kudhani Operation ya Kumuua Kiongozi wa Iran, Ayatollah, na kuwaua Wakuu wa MAJESHI nchini Iran haraharaka kungepelekea Taharuki ambayo ingewainua Wairan na kuwafanya waingize Barabaran na kupindua Serikali yao kama...
Katika Uchaguzi, Mgombea anashinda Kwa mambo mawili
Ama Chama chake kinakubalika, au Yeye mwenyewe anakubalika sana Ndani ya Jamii.
Kwa mfano, MTU kama MPINA, LISSU, HECHE Hawa wenyewe hata wahamie ADC wanashinda Asubuhi kweupe ilimradi tu Kuna Uchaguzi wa uhuru na Haki !!.
Watia Nia...
Utangulizi
Kuwa kwa kasi kwa huduma za kifedha za kidijitali nchini Tanzania kumeleta mapinduzi makubwa katika upatikanaji wa mikopo na huduma za malipo kwa mamilioni ya wananchi. Miongoni mwa ubunifu huu ni kuibuka kwa huduma za mkopo wa dharura kupitia simu za mkononi, zinazojulikana kwa...
Hemed Shabani Nkunya, Mfanyabiashara na Mjumbe wa Kamati ya Uchumi na Fedha wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mbweni Mpiji mkoani Dar es Salaam ametia nia ya kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kawe mkoani humo kwa tiketi ya CCM.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona niweke uzi huu uwe maalumu kwa ajili ya matukio yote ya uchukuaji na urejeshaji wa Fomu za Ubunge kupitia CCM Katika Majimbo yote Tanzania Bara.
Hii itasaidia kufahamu nani na nani wamechukua Fomu sehemu Fulani. Lakini pia baadaye kutakuwepo na Uzi wa Majina...
Njia ya kuwa tajiri kwa kutumia Nuru (mwanga wa kiroho) na msaada wa malaika wa mwanga (divine angels) inahusisha kujenga muunganiko wa kina wa kiroho, nidhamu ya kiroho, na mazoea ya kiimani ambayo huamsha nguvu za mbinguni ndani yako na kuvuta baraka za kiroho na kifedha. Hapa chini ni...