kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Kuenea kwa usugu wa vimelea na vimelea sugu vya magonjwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu kupitia matumizi ya mbolea za wanyama katika kilimo

    DIBAJI Katika dunia ya leo ambayo muingiliano wa shughuli za kilimo na maisha ya binadamu vinaongeza utegemeano ongezeko la magonjwa sugu linaongezeka siku hadi siku kutokana na hali kwamba , matumizi ya mbolea kutoka kwa wanyama na biandamu katika kilimo hususani kilimo hai yanaongezeka na...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Namna bora ya kutumia rasilimali watu kuchochea maendeleo kupitia rasilimali zilizopo eneo husika

    UTANGULIZI. Rasilimali ni nyenzo ya muhimu ambayo huleta faida kwa kurahisisha maisha ya mwanadamu kulingana na mahitaji yake. Rasilimali inaweza kuwa ni ya asili au si ya asili kwa mfano vyanzo vya maji, misitu na hata vivutio vya kitalii kama mlima Kilimanjaro ni rasilimali ipatikanayo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mishahara Midogo Serikalini: Serikali iingie makubaliano na taasisi za fedha watumishi wakope kupitia posho na pia sheria ya moja ya tatu itazamwe upy

    Ukweli ni kwamba, kwa miaka mingi mishahara serikalini imekuwa duni na bahati mbaya zaidi, uwezo wa serikali kuongeza mishahara sasa unaonekana kushuka na bila shaka sababu kubwa ni serikali kuwa na miradi mikubwa na ya gharama pasipo kuwa na vyanzo vya uhakika (hawakujipanga). Hivyo, kutokana...
  4. JamiiForums Tanzania Faida niliyopata kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JamiiForums

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wana JF wenzangu, leo ningependa niandike manufaa, au faida niliyopata kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JF. Afu kama kuna mungine au wengine walionufaika na mtandao huu, basi walete...
  5. JamiiForums Tanzania Zipo sababu nyingi sana za kusema hili taifa ni la ovyo, moja wapo ni michakato ya ajira kupitia Sekretarieti ya Ajira

    Taifa la hovyo na mambo yake ni ya hovyo hovyo tu tena yanafanywa na wanaojiita wasomi uchwara! Hivi mnatangaza ajira bila bajeti au shida nini? Sekretariet ya ajira kwanini watu wanaomba kazi inapota hadi miezi mitatu hawajaitwa hata kufanya usahili? nini maana yake sasa? Hili li taasisi...
  6. JamiiForums Tanzania Mbeya Jiji rekebisheni barabara yenu Kabwe-Mwanjelwa kupitia Airport

    Habari wanajukwaa, Nilifika Mbeya jana jioni hivyo nikatafuta Lodge karibu na stand ya nanenane nikalala. Asubuhi nikapanda daladala kuelekea mjini kufata kitu kilichonileta. Nilichoshangaa baada ya kufika Kabwe daladala ikaingia kushoto kupita njia ya Airport kwenda kutokea Mwanjelwa, huko...
  7. JamiiForums Tanzania Kupitia NBC Premier League nchi inatangazika

    Kwa miaka ya ivi karibuni league kuu ya soka ya Tanzania imeongeza hamasa ya kutazamwa na baadhi ya wana habari wa michezo wa kubwa toka nje ya Tanzania. Kwa kipekee kabisa mchango unaofanywa na hawa wafanyabiashara wakubwa kuingia ktk soka na kuweka pesa ktk vilabu ambavyo vina umri mkubwa...
  8. JamiiForums Tanzania Majina ya walioitwa kazini TPA kupitia Utumishi yalishatokaga?

    Pamoja na mtihani wa mchujo kuwa mkali sana TPA kupitia Utumishi wapo waliopenya vipi walishaitwaga kazini
  9. JamiiForums Tanzania Watalaamu wa masuala ya kifedha kupitia kwa mawakala naomba mawazo yenu katika hili

    Wakubwa kwa wadogo natanguliza salamu zangu kwenu nyote . Moja kwa moja niende kwenye mada husika . Ipo hivi hapa ofisi ninayofanyia kazi(sehemu ya biashara) dodoma area d kuna huduma za mawakala wa fedha zinafanyika hususan za simu na za kibenki.sasa leo kuna mtu kutoka singida kapiga simu...
  10. JamiiForums Tanzania Matrillioni ya pesa yanayokusanywa na makampuni ya Bima kupitia mawakala wao ni za serikali au ni za nani?

    Nimepiga hesabu za haraka haraka, na kugundua kwamba makampuni ya Bima hukusanya wastani wa Trilioni 3.5 kila mwaka kama malipo ya bima za aina mbali mbali, na pia malipo kwa ajili ya bima (hasa hasa kwa wahindi wanaochoma moto viwanda vyao kwa makusudi) kwa mwaka huwa hayazidi bilioni 100, na...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa walioagiza bidhaa mwaka huu kutoka nje

    Naomba kujua kwa walio agiza bidhaa ndogo ndogo kutoka nje ya Nchi (Free shipping) Decemba 2021 hadi May 2022 mmezipata? mimi naona sijakuwa na bahati nazo; hata sijajua tatizo liko wapi kwani hapo nyuma sijaona tatizo hili
  12. JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza changamoto ya manunuzi ya umeme kupitia mfumo wa ununuzi wa LUKU

  13. JamiiForums Tanzania Epuka wizi wa taarifa zako binafsi kwenye simu kupitia nyaya za USB

    Salaam Wakuu, Katika kuendelea kukumbushana umuhimu wa kulinda taarifa binafsi, leo nimeona nieleze kwa ufupi suala la wizi wa taarifa binafsi unaofanywa kupitia nyaya za kuchajia simu (USB). Tazama kwenye picha hapa chini: Picha> USB Cables za aina mbalimbali Ni wazi kuwa kutokana na sababu...
  14. JamiiForums Tanzania World Bank wadhihirisha Dawa za wazungu ni fursa inayowatajirisha

    Benki ya dunia kupitia moja ya blogi yao wanakiri kabisa kwamba fursa hii imerahisishwa na uwepo wa biashara ya kimataifa. Uwepo wa soko huria pamoja na mambo mengineyo yanayorahisisha biashara ya kimataifa imekuwa chachu kwa wazungu wanaotengeneza magonjwa (wasiwasi ) na kuyasambaza...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia anaupiga mwingi kupitia Royal Tour hadi Wazungu waamua kuizungumzia Tanzania kwenye games

    Naendelea kuwasalimia kwa jina la Muungano wa Tanzania. Hapo awali nilikuwa nikijua Watanzania pekee ndio tunaoona juhudi hizi za makusudi za mama yetu Samia Saluhu Hasani za kuleta maendeleo kwa njia mbalimbali katika nchi yetu. Jitihada za mama sio tu zinakoshwa na upinzani bali hadi watu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mrejesho kwa huduma mpya za uwakala kwa Benki ya NMB kupitia simu ya mkononi maarufu kama (NMB Pesa Fasta)

    Salaam Naomba kutoa maoni yangu kwa huduma mpya ya uwakala wa NMB maarufu kama NMB pesa fasta Binafsi ninafanya biashara ya uwakala nina miliki mashine ya NMB kwa ofisi moja pia nilifungua biashara nyingine ya uwakala kama sehem ya kuongeza mapato knilifanikiwa kupata pos ya CRDB na nyinginezo...
  17. JamiiForums Tanzania Kupitia Macho Yangu with passion for Love

    Uzi huu ni wa mapenzi wenye mfululizo wa picha za kustaajabisha zinazoakisi upendo kwa njia tofauti tofauti. Pia kutakua na nukuu zinazohusu mapenzi yan maneno matamu yenye upendo wa dhati na yanayogusa moyo na kuvunja moyo. Karibuni
  18. JamiiForums Tanzania Sabaya anaonekana kama mtu anayejuta na aliyejawa kisasi

    Nimemfahamu sabaya mara alipata mamlaka nikawa naona mwonekano wake wa kujiamini akiwa ktk utendaji na mahojiano kwenye vyombo vya habari. Lakini mwonekano wa sasa kwa macho namwona akiwa ktk hali tatu. Anajuta sana, amejifunza maisha halisi ya kitaa na mwonekano mwingine anaonekana mwenye...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Waziri chengerwa awadhihirishia Watanzania kuwa; kero za Wizara ya Utamaduni na Michezo zinaenda kuisha kupitia bajeti yake ya 2022/23

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa leo amewasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 ya zaidi ya shilingi bilioni 35.4 Akiwasilisha bajeti hiyo bungeni jijini Dodoma Waziri Mchengerwa amesema kati ya fedha hizo Shilingi Bilioni 8.2 ni Mishahara...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya Hayati Magufuli kulifumbua macho taifa juu ya mapato ya umma yaliyokuwa yanaibiwa huko nyuma. Sasa yanatafunwa kupitia janja ya kulamba asali

    Ni collusion ya nguvu ambayo imeundwa na mtandao wa wanaCCM waliopo madarakani na wapinzani uchwara. Hii ni baada ya kuona hayati JPM aligundua mianya ya upigaji na akadhibiti ukusanyaji mapato. Kulamba asali ndio mtindo unaotumika sasa kukamua rasilimali za umma. Kwa nini hali inazidi kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…