kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania DOKEZO Utatuzi wa wizi wa TARURA kupitia kimulikwa ni mgumu, tutaendelea kuumizwa

    Wana JF, Nimekumbwa na tatizo la kumulikwa na watu wa maegesho. Nilienda kulipia nikashangaa deni linaongezeka kucheck majumuisho nikakuta kuna sehemu ambazo nilipita lakini sikusimama wala kiegesha lakini nakuta nadaiwa fedha za maegesho. Kuna sehemu nyingine natajiwa hata sipajui lakini...
  2. JamiiForums Tanzania JWTZ: Litafanyika zoezi la kawaida la Medani Mkoani Lindi na Mtwara kuanzia 19 hadi 29 Oktoba 2022

    Kwa mwenye jicho la tatu kuna kitu hapa Jeshi letu pendwa wanafanya ili kuwapa onyo wale jamaa wanaotaka kuleta dharau, safi sana hii.
  3. JamiiForums Tanzania Nilikuwa nacheki bongo movie kupitia Azam, ni fedheha sana

    Nilikuwa nacheki bongo movie mchana wa leo kupitia azam 😁 dah ni fedheha sana, ni aibu mno, mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa ERTUGRUL na kwa sasa OSMAN, kwakweli waturuki wapo mbali sana, hii historia ya Ottoman inatufundisha mambo mengi sana ambayo huyakuti katika movie zetu za kibongo wala...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Thread niliyoiweka humu JF miaka mitatu iliyopita imeshughulikiwa! Namshukuru Rais Samia, na tuendelee kusema kupitia JF, tunasikilizwa!

    Miaka mitatu iliyopita, niliweka thread humu JF na kuainisha wazi kabisa jinsi serikali ilivyokuwa ikiwanvunjia Watanzania haki zao za binadamu. Leo hii nina furaha sana kuona hili limesikilizwa! Wakati huo tulikuwa chini nya Raisi Magufuli, lakini niliona kuna haja ya kumweleza ukweli kutokana...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi BoT inahusika kutapeli watanzania kupitia hizi pyramid schemes?

    Pyramid scheme iliyovuma kuliko zote ilikuwa DECI. Watu tulifahamu kuwa baada ya ile watu watajifunza na mamlaka zitajifunza na kitu kile hakitakuja tokea tena. Lakini kumbe ni kama DECI ilifungua mlango wa soko la upatu. Zimepita pyramids schemes nyingi sana hapa kati. Kila moja watu wakilia...
  6. JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana connection za kazi kwenye makampuni na kupitia recruitment agency

    Habari wana jamvi. Jiji la daslamu limejaa shughuli nyingi kuanzia viwanda vidogo mpk vikubwa, makampuni, mashirika na hata michongo midogomidogo. Kutokana na uwejezaji huo kwenye sekta mbalimbali kumepelekea kuzaliwa kazi na ajira nyingi. Wanaowinda kazi ni wengi ila siyo wote wanaojua...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ukombozi kupitia masikilizano na CCM ni kupoteza muda

    Kupigania katiba nyingine ni kulenga kuleta mabadiliko kamili ya mfumo wa utawala. Jukumu hili ni gumu na zito kuliko kumfurusha mkoloni mlowezi halisi. Kwa hakika hawakukosea PAC, SA na kauli mbiu yao pendwa: "One settler, one bullet." Maneno matupu yakiwamo ya kuwataka wafanye hili au...
  8. JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa kwa taifa lenye rasimali nyingi kama Tanzania kukomalia tozo za line za simu. Bora serikali ijikite kuchimba dhahabu ili kupata mapato.

    Karibu kila eneo la taifa letu limejaliwa kuwa na madini ya kila namna. Dhahabu ndio inapatikana kwa wingi kila mahala hapa nchini. Kama kuna baadhi ya kampuni za kigeni zina migodi ambayo uwekezaji wake haufiki hata bil 200 na wanachimba na kupata faida na pesa nyingi tu. Kwa nini huyu...
  9. JamiiForums Tanzania Nimeelewa maana ya karma kupitia siasa za Tanzania

    Siasa za Tanzania zinatoa somo zuri sana juu ya karma na namna ya kuwa mtu mwema na wa kufata sheria. James Mbatia Huyu alitumiwa na Magufuli kufanya siasa za hila Mbeya, leo hii yeye kafukuzwa NCCR Mageuzi!
  10. JamiiForums Tanzania Huyu mchungaji anaitwa Mch. Prosper Shao wa KKKT Usharika wa Tumaini -Bariadi anahubiri asubuhi kupitia UPENDO-TV

    Huyu mwamba anahubiri kila asubuhi ananibariki saaana yaani mafunzo yake hata kama sio mfuasi kama mimi ila unajisikia kijifunza jambo flani la maisha nimemfuatilia wiki hii, najisikia kubarikiwa sana. Nimeona niwashirikishe, anaanza sa 12.hadi sa moja kama sijakosea. Muwe na siku njema...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ingilia kati tulipwe fedha za mradi wa Ufugaji samaki kupitia Vizimba-Mwanza

    Mheshimiwa Rais kuna UPIGAJI MKUBWA unaenda kufanyika hapa, tunakuomba uwe mkali kama Hayati Magufuli ili fedha hizi tulipwe sasa. Walikudanganya kwamba tungelipwa kufikia Septemba 15, hadi leo hii ni SARAKASI tu zinaendelea. Mheshimiwa Rais tunakuomba ufike Mwanza na kutoa maelekezo, fedha...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali yaunda timu ya wataalamu kupitia upya sakata la Tozo. Yasema zitarekebishwa ila hazitaondoka

    Hii ndio taarifa ya motomoto.. ======= Serikali imeteua timu ya wataalam kufanyia kazi mkanganyiko wa tozo kwenye miamala ya fedha za simu na benki. Waziri Mwigulu Nchemba akiwa Tarime mkoani Mara kwenye mkutano wa hadhara amesema Serikali itaendelea kutoza tozo hizo lakini itafanya mabadiliko...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna wimbi la biashara ya ukahaba kwenye vyuo vikuu kupitia Instagram

    Wakuu, naamini mmeakuwa na weekend njema, na mmeianza Jumatatu vyema. Back to me it was boring baada ya kukutana na hiki kisanga. For the last six months nimekuwa mtu wa kusafiri safiri kidogo ndani ya hii Tz. Napenda sana kampani hasa maeneo ninayotembelea, hii imenifanya kujuana na watu...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Kwanini mafanikio kupitia elimu yanaonekana kama mvua inyeshayo jangwani?

    Kwa miaka mingi kabla na hata baada ya uhuru, watanzania wengi na hata watu wengine duniani kote, wamekuwa na imani ya kuwa, elimu ndio ufunguo wa maisha. Lakini katika uhalisia wake elimu na mafanikio katika maisha vimekuwa vitu viwili tofauti kabisa. Ni kama mtu aliyeko kusini akiitafuta...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya ku-search kupitia google kwa mtindo huu?

    Habari zenu wataalam Naomba kujua jinsi yakusachi ilikupata taarifa kutoka mtandao mmoja pekee. Mfano: Nataka kusachi neno fulani tuseme "ushonaji". Matokeo nataka yatokee kutoka katika mtandao mmoja pekee. Na sii mchanganyiko mchanganyiko kama ambavyo inatokea mtu akisachi kupitia...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Kuwawezesha wanawake kupitia TEHAMA

    Kutatua mapengo ya kijinsia katika TEHAMA ni muhimu kwa mustakabali endelevu "Kuwawezesha wasichana kuchagua taaluma za TEHAMA sio tu nzuri kwa wasichana na familia zao, inaweza kuwa kichocheo kikuu cha maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika ngazi ya kitaifa." - Brahima Sanou, Mkurugenzi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukosefu wa ajira ni taarifa kwa mamlaka husika kupitia upya mitaala ya elimu inayotumika nchini

    Chakula, malazi na makazi ni mahitaji ambayo kila mwanadamu lazima ayapate kila, ndio maana yamewekwa katika mahitaji ya msingi ya mwanadamu. Kila siku mwanadamu anapambana ili kuhakikisha anakua na uhakika wa nini atakula, nini atavaa na wapi atalala. Kabla ya kufikiria ubora wa mahitaji...
  18. JamiiForums Tanzania SoC02 Unaweza kufanikiwa kupitia biashara ndogo ndogo, nifuatilie

    Salama wapedwa?, nawasalimu, leo nataka kushea na ninyi machache kuhusiana na hizi biashara ndogo-ndogo, ila nitajikita sana katika biashara ya mahindi, naamini usipokata tamaa kusoma kuna maarifa lazima uyapokee mazima-mazima, naomba zima tv yako, radio yako nk, halafu nipe akili yako yote kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Sehemu 10 nyingine ambazo serikali inaweza kuvuna mabilioni ya pesa kupitia tozo ni huku

    1.Vifurushi vya simu(vocha pia) 2. Vifurushi vya televisheni 3. Usafiri wa daladala 4. Pikipiki 5. Bajaji 6. Mafuta ya kupikia 7. Nafaka zote 8. Soda 9. Sigara 10. Pombe zote Mambo yote hayo kila siku yanatumika kama serikali itaweka tozo basi nchi itasonga haraka sana. My. Mwigulu hata...
  20. JamiiForums Tanzania Ya Bamkwe yangalipo: Safari yangu ya gerezani bila kupitia polisi wala mahakamani

    Na; Ahmed Omar UTANGULIZI Kwa takriban miaka kumi hivi tokea kufanyika kwa Mapinduzi ya 1964 palikuwa pakifanywa uhalifu mkubwa hapa Zanzibar kwa jina la Mapinduzi hayo. Moja ya eneo maarufu ambalo lilikuwa limeshtadi kwa mateso na ukaltili ni gereza la Kwa Bamkwe. Huku gerezani Kwa Bmkwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…