Moja kwa moja.
Baada ya tukio la October 7 Hamas kushambulia Israel nilikuwa kinyume na Waislamu wengi wa Jf katika mijadala ya humu tokea siku ya kwanza , na supporters wa Hamas walinipinga wakidai.
1. WaPalestina wanaonewa kila siku kwa miaka mingi tena kwa dhuluma hivyo lazima wapambane...
Kuna kikundi unaweza kusema kina watu wengi ila kinawatu wachache sana ambao ukitaka kujua wanshindwa kurudisha majibu pale ukiwajibu hakuna respond kukuonesha huyu account ni mtumiaji .
Hii inafanywa kwenye mitandao ya kijamii pale watawalawa wachafu utashangaa wakikanusha unaona like nyingi...
Maelfu ya watu wamejitokeza barabarani jijini Brussels, Ubelgiji, wakishiriki katika mgomo wa kitaifa kupinga mageuzi ya serikali na hatua za kupunguza matumizi, ambazo zimepelekea usafiri wa anga na wa umma kusimama
Vyama vikubwa vitatu vya wafanyakazi nchini humo vimeungana kulalamikia sera...
HAUWEZI KUMUABUD Mungu WA KWELI ALAFU UKAOGOPA JAMBO DOGO NA RAHISI LA KUTETEA HAKI AU KUPINGA WAOVU. UTAKUWA HAUMJUI MUNGU WEWE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Mungu haabudiwi na watu waoga. Mtu mwoga atakuwa na sifa nyingine mbaya ya unafiki.
2. Ni rahisi Muuaji na mtekaji au muuza...
Maandamano hayo yalioyotokea katika miji mikubwa ya italia yenye wito wa kuupinga uhusiano wa kifedha, kisiasa na kijeshi kati ya Italia na Israel, na kuhakikisha misaada ya kibinadamu inaingia Gaza bila vizuizi.
*******
Hauitaji kuwa na upande kwenye kukemea maovu moyo wa utu haujafungwa...
Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana.
Je,tuandamane kugomea uchaguzi au tuandamane kudai bima ya afya kwa wote!!
Tujitafakari!
Wakuu kuna mambo nayaona kuelekea Oktoba 29 mwaka huu isiyo ya kawaida kabisa katika nchii tangu kizazi cha uhuru.
Tarehe hii 29 Oktoba imebeba historia nzito sana kwa Taifa la Tanzania,inahusisha mambo makuu matatu ya kuogofya
1.Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani.
2. Kumbukizi ya...
Watu wa Tanzania! Sasa ni wakati wa kuandamana na kutoa sauti yetu kwa nguvu ili kuzuia uchaguzi wa udanganyifu tarehe 29 Oktoba 2025. Hapa kuna hoja kuu zinazothibitisha kuwa tunahitaji kubadilisha hali hii mbaya kabla ya kura kupigwa bila haki. Jitokeze kwa wingi na tuungane pamoja!
1...
Idhaa rasmi za Hamas zinasambaza video inayoonyesha mtu wa Gaza aliyejitoa muhanga akiwa amevikwa sanda ya mazishi akiwahutubia wakazi wa Shati na vitongoji vya Sheikh Radwan:
“Mbona mnaogopa kifo, mbona mnatoka majumbani mwenu, mnawasaidia Mayahudi kuingia maeneo haya, mimi hapa nimejifunika...
SIKU chache baada ya Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma kuifuta kesi ya Kikatiba ya Kupinga uteuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kugombea urais Oktoba 29 2025, mmoja wa makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ameibuka na kutaka kesi hiyo iwe fundisho kwa wana CCM wengine.
Kada huyo wa CCM, Khamis Mgeja...
WANAJESHI/ POLISI NA USALAMA WAFUNDISHWE UJASIRI WA KUPINGA DHULMA NA KUTETEA HAKI NDANI YA NCHI. HUO NDIO UJASIRI WA KWELI NA SIO VINGINEVYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Moja ya sifa kuu za mwanajeshi na askari ni kuwa JASIRI na ili Mwanajeshi aitwe Jasiri lazima awe jasiri wa kupigania...
Watu wengi wanauelewa ambao sio sahihi kuhusu usimp,na ndio maana wanaona kama hawa ma expert wanashawishi wanaume kuwa na roho mbaya kwa wanawake.
Ukweli hauko hivyo,ebu tufahamu kidogo tunamaanisha nini tunapo zungungumzia usimp au simp
Here we go.......
Simp ni mtu (mara nyingi mwanaume)...
Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc
Upande wangu, i dont think so.
ajabu
anaamini
bado
katika
kupinga
mageuzi
majirani
masikini
mganga
mtu
njiani
nyingi
siasa
taifa
topics
ukristo
upinzani
utajiri
vyama
vyama vya siasa
Ni vyema polepole aandamane na familia yake kudai au kupinga hayo anayoeleza wakiuwawa ndiyo tujue kweli ccm wamebadilika na viongozi wake wameamka sasa
Gazeti la Mwafrika mwaka 1958, Oktoba 11 liliandika "WAMEFUKUZWA KATIKA TANU NA MKUTANO MKUU WA MWAKA"
Gazeti hilo liliandika
Mkutano mkuu wa TANU umemfukuza katika chama Sh. Sulemani Takadiri wa Dar es Salaam, ambaye alijaribu kuingiza chuki ya dini katika siasa siku chache zilizopita...
Habari hii iwafikie wote na napenda kutoa angalizo tusije kulaumiana baadae na kutafutiana ubaya
Kama wewe unajijua ni kiongozi wa serikali au ni kiongozi wa kidini au kama wewe ni msanii au mwanamuziki au mtu mwingine yeyote wenye ushawishi katika jamii ambae mpaka sasa haujatumia nafasi yako...