kupindua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stuxnet

    Kwenye Kupindua Nchi, Ukishindwa Mara ya Kwanza, Ndiyo Mwisho, Usirudie

    Katika sayansi ya siasa na usalama, jaribio la kupindua serikali ni kamari ya hatari zaidi ambayo kikundi cha watu kinaweza kuicheza. Kanuni isiyo rasmi ya mchezo huu inasema: "Kama unataka kupiga mfalme, hakikisha unamuua." Ukishindwa mara ya kwanza, milango ya mafanikio hufungwa kabisa, na...
  2. Genius Man

    PostGE2025 watu wamejisimika madarakani kinyume cha sheria eti wanaita maandamano ni vurugu wakati wameuwa na kupindua nchi waache wajitoe akili

    watu wamejisimika madarakani kinyume cha sheria eti wanaita maandamano ni vurugu wakati wameuwa na kupindua nchi waache wajitoe akili. Sisi tutawazibua masikio na kuwafukuza au kuwakamata D9
  3. Genius Man

    Wananchi wana mamlaka ya kupindua na kumuwajibisha kiongozi yeyote fisadi na mwizi

    Wananchi wana mamlaka ya kupindua na kumuwajibisha kiongozi yoyote fisadi na mwizi. kumpindua mwizi na fisadi sio kosa. Hakuna mwenye nguvu kuliko wananchi, taifa linaweza kuwepo bila rais lakini haliwezi kuwepo bila wananchi, kwamba wananchi ndio wanaunda rais mtu akijichagua yeye mwenyewe...
  4. A

    Jelly Silaa amaliza ubunge 2025 kwa maumivu, aswekwa ndani akidaiwa kutaka kupindua matokeo.

    Miongoni mwa mawaziri wote wa Baraza la Mawaziri la 2020-2025, Jerry William Silaa peke yake ndiye waziri aliyeanguka ubunge hivyo kupoteza sifa ya kuteueliwa kuwa waziri tena kwenye baraza lijalo. Jerry Silaa aligombea ubunge 2025-2030 kwenye Jimbo la Ukonga, Ilala jijini Dar es Salaam kupitia...
  5. D

    Nyerere(1960): Hakuna uwezekano wa Jeshi la Tanganyika kuasi na kupindua serikali

    Hayo maneno alipata kuyatamka Mwalimu Nyerere (mwaka 1960), siku chache kabla hajaapishwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika wakati huo. Lakini miaka michache mbele(1964), jeshi likaasi. Tukio baya kabisa katika maisha ya kisiasa ya Mzee huyu tunayempenda sana. Ni vizuri kwa viongozi wa nyakati...
  6. Carlos The Jackal

    Hofu ya Wajumbe kupindua Meza ya Genge la Samia, imewafanya Waitishe Mkutano mitandaoni ili kurekebisha Katiba Imfae Samia na Genge lake !

    Hofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar. Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni ! Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja. Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe...
  7. I

    Jeshi la Burkina Faso lasema lilizuia njama 'kuu' ya mapinduzi

    Jeshi la Burkina Faso lasema lilizuia njama 'kuu' ya mapinduzi. Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imesema ilitibua "njama kubwa" ya kumpindua kiongozi wa kijeshi Kapteni Ibrahim Traoré, huku jeshi likidai kuwa wapangaji hao walikuwa na makao yao katika nchi jirani ya Ivory Coast. Waziri wa...
  8. H

    Kwanini wanajeshi wakipindua nchi ndani ya Afrika wanaitwa"madikiteta" kabla ya kupindua wanaitwa"walinzi"wa nchi na watiifu?

    Huu ni ujinga kama wanajeshi ndiyo walinzi wa viongozi wa kisiasa na mipaka ya nchi muda wote ndani ya Afrika na wanaaminiwa kwanini wasiachiwe nchi za Kiafrika waziongoze kijeshi? Wanasiasa ni mzigo na gharama hivyo wanajeshi eakichukua nchi za Afrika baadhi ya wanasiasa wataondoka wenyewe
  9. Mapenzi ya Mungu

    Watanzania wana ya moyoni kasoro kupindua nchi

    Wapo bora wapindue mdomo by kabudi https://www.instagram.com/tbc_online/reel/DEX4vBeOkZy/
  10. Brain Kingdom

    Baada ya Matukio ya CCM ya Samia Kupindua meza za political trajectories huko Dodoma wengine Yunafunga kamdomo ka Siasa

    Wakwanza mimi kunyoosha mikono SSH kapiga pasi ndefu sana, kapiga butua kali sana, kusema ukweli umepigwa mwingi wa ali ya juu, We have been caught up by surprise haieleziki hasira na kicheko vyote kuchukua kaweka waaah, taamu taaamu hahaaa hasira zenye kicheko ndio hii amazing SSH for...
  11. Waufukweni

    LGE2024 Polisi wamkamata na kumuweka Lock up Steven Membe, Mwanachama wa CHADEMA, nyumbani kwao Rondo

    Wakuu Yericko Nyerere ameandika; Jeshi la Polisi limemkamata Kamanda wetu Mwanachama wa Chadema Mhe. Steven Kamilius Membe nyumbani kwao Rondo na kumuweka Lock up ya Kituo kikubwa cha Polisi Lindi Mjini. Bado hakuna uwazi wa makosa wanayomshikilia nayo. Tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu...
  12. Mtu wa Majira na Nyakati

    Nasikia mashekh na wachungaji wamemiminika Kwenye lile jengo jeupe ili kupindua karma na Albadir

    Wazee wa Tanga hata msingefanya lolote Ila karma ingeshughulika nao hao watu . Mwaka 2021 yule bwana aliyekuwa anataka kumuua Tundu lissu alipokea Malipo yake
  13. BARD AI

    DR Congo: Serikali yasema waliojaribu kupindua Serikali ni Wakongo na raia wa Marekani

    DR-CONGO: Serikali imesema jaribio la Mapinduzi lililozimwa mwishoni mwa Wiki iliyopita liliongozwa na Christian Malanga, Mwanasiasa mwenye uraia wa Congo lakini makazi yake yapo Nchini Marekani akiwa na kundi la Wanajeshi walioasi. Msemaji wa Jeshi la DRC amesema takriban Watu 50 akiwemo Mtoto...
  14. Brain Kingdom

    Mkataa kuoa ubora wa mwanamke ni Piston Zake (4S): Mwanamke wa kupindua mtazamo ni umri wa 22-25 zaidi ya hapo Piston hazifai

    Shalom, Kwenye injini ya gari ubora wa Piston ndio injini yenyewe. Maisha ni ladha, raha na utamu nao utamu ni pamoja na kuusikilizia. Sasa Mkataa kuoa kama kuna namna ya kupindua mtazamo basi oa mwanamke mwenye Piston zote 4 (4S) wa umri wa miaka 22-25 juu ya hapo wanaobaki wote ni mabibi...
  15. G

    Haijaisha mpaka iishe, Simba tunaenda kupindua meza Misri, Tunaweweza!

    Waarabu hawatishi kama tunavyowafikiria. Kwa namna ya uchezaji tulionaa simba tumeweza kuwapress sana hawa waarabu na hata possesion ilikuwa upande wetu, shots on target za simba ni 7 wao ni 1 tu, total shots za simba zinakaribia 20. Tumewakosa kosa sana haya makosa yakirekebishwa tunaweza...
  16. BARD AI

    Nape Nnauye: Dkt. Slaa, Mdude na Wakili Mwabukusi wamekamatwa kwa kauli za Kutaka Serikali Ipinduliwe

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amesema hayo kupitia chapisho aliloandika kupitia Mtandao wa X (Twitter). Nape amesema "Moja ya kauli za hivi majuzi zaidi kutoka kwa shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu limeamua kupotosha ukweli kwa nia mbaya kwa kudai...
  17. S

    Yanga anakwenda kutwaa kombe ugenini kwa kupindua meza kama alivyofanya Tunisia

    Hiki ndio kinakwenda kutokea huko ugenini tarehe 03/06/2023. Yanga ushindi ni popote ugenini au nyumbani. Waarabu hawataamini kama ilivyotokea kwa wale Waarabu wa Tunisia. Goli moja walilopata Yanga ndio itakuwa chachu kwa Yanga na ndio litawapa nguvu ya kupambana tofauti na kama wangefungwa...
  18. J

    Mchambuzi Oscar Oscar atabiri Yanga kupindua matokeo Sudan kwa kufanya hivi

    Mchambuzi Oscar Oscar ametoa mtazamo wake kuhusu marudiano ya Yanga na Al Hilal.
  19. K

    Sitasahau nilivyonusurika kuuliwa kinyama na baba yangu mzazi

    Nakumbuka mwaka 2001 enzi hizo bado niko shule ya msingi katika mji mmoja hapa Tanzania baba yangu ambae alikuwa ni mfanyabiashara wa toka enzi za Nyerere na aliyekuwa kwa kipindi hicho akiitwa tajiri alitembelewa na mganga mmoja wa kienyeji kutoka mahali pasipojulikana Alimpokea na kumchukulia...
  20. Frumence M Kyauke

    Mjue Eugene Maganga mhusika wa njama za kuipindua Serikali ya Rais Julius Nyerere Januari 9, 1982

    MJUE EUGENE MAGANGA MHUSIKA WA NJAMA ZA KUIPINDUA SERIKALI YA RAIS JULIUS NYERERE Jan 9, 1982. "Tunajutia tu kushindwa mapinduzi, lakini hatujutii kupanga mapinduzi" -Capt. Eugene Maganga. JAN 9, 1982 Palitokea jaribio la kuipindua serikali ya Rais Julius Kambarage Nyerere, rais wa kwanza wa...
Back
Top Bottom