Wakuu kwema,
Siku tatu zilizopita mwili wangu ulikuwa umechoka sana Basi nikaamua kwenda kupima ila nilipoenda majibu yakasema sina malaria, ila jana hali iliendelea kuwa tete nikaendelea kubanwa na kifua ambapo uchovu ulinizidi na masikio kuto kusikia vizuri, nilipoona kwenye ishu ya kutosikia...