Nipo chuo na ninaishi na mshkaji wangu. Huyu jamaa ninayeishi nae, ni mpenzi mkubwa sana wa dagaa. Ila, jamaa hawezi kuzipika.
Kwa wiki ni LAZIMA tuzile angalau mara 1 ila ladha ndio mtihani.
Nilikuwa ninapenda sana kula dagaa ila huyu jamaa ameniharibia kabisa taste yangu.
Kwa wenye ujuzi...