kupigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Fainal CCC kupigwa Zanzibar

    Fainali ya CAF CC itapigwa Zanzibar, CAF wameindikia barua TFF & Simba kuwajulisha. CAF haijaridhishwa na pitch ya kwa mkapa hasa wakati wa mvua.
  2. JamiiForums Tanzania Askari wawili wafariki kwa kupigwa na radi Simanjiro

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara Kamishna msaidizi Mwandamizi SACP Ahmed Makarani amethibitisha kufariki kwa Askari wawili wa Kikosi cha usalama barabarani, waliofariki kwa kupigwa na radi wakati wakiendelea na majukumu yao ya udhibiti wa usalama. Tukio hilo limetokea katika Mji Mdogo wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna watu ni watetezi wa wapalestina ila wanafurahi kupigwa Kwa wanachadema!

    Nilikuwa naongea na rafiki yangu yupo Kariakoo kuhusu kupigwa Kwa wanachadema waliokwenda kuhudhuria kesi ya Lissu kwenye mahakama ya Kisutu. Jamaa yangu huyo akaniambia CHADEMA wamejitakia kupigwa. Nilipomwambia wanachofanyiwa CHADEMA ni kama wanachofanyiwa wapalestina na Israel, akachachama...
  4. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mechi ya Yanga dhidi ya Simba kupigwa Mei 10, 2025

  5. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba vs Yanga kupigwa Mei 10, 2025

    JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kubaini kuwa si ya kweli. Tazama hapa ==== Taarifa rasmi
  6. JamiiForums Tanzania Hukumu ya mwenye kunywa pombe au kilevi chochote katika uislamu ni kupigwa viboko 80

    Kwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha...
  7. JamiiForums Tanzania Sitoomba tena kupigwa ban, hii kazi namuachia Laban OG

    Habari wadau. Poleni na majukumu ya kujenga taifa. Moja kwa moja kwenye mada mimi shuka chini niliomba kupigwa ban endapo Simba atafuzu kwenda Nusu Fainali. Dah! MUNGU saidia akafuzu. Sasa Mods wakawa wamesahau kunilamba ban sijui mbeya gani akafukunyua uzi wangu hatimae nikapigwa ban...
  8. JamiiForums Tanzania Mahmoud Khalil, Muongozaji mkuu wa maandamano ya #freepalestine anaelekea kupigwa teke la deportation baada ya mahakama kuidhinisha.

    Safi sana Trump, Sasa arudi nyumbani kwimba tumsaidie kuandamana tukiwa huku.
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema alaani vikali kiongozi wa Chadema taifa kupigwa na mlinzi wa Heche

    Nimesikitishwa na taarifa hii ya Chama ,pamoja na kutolewa kwa kuchelewa sana ,masikitio yangu yanatokana na mambo yafuatayo; 1. Chama hakikuona haja ya kulaani tukio la kiongozi wa wanawake taifa kupigwa na kuumizwa ,kipigo kilichotolewa na Mwanaume,bali kinasema ni taarifa zinazosambazwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tukio la Kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa BAWACHA, Bi. Sigrada Mligo na Kudhoofika kwa Uongozi wa CHADEMA

    Tukio la kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bi. Sigrada Mligo, na mlinzi wa makamu mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, Noel Ilivale, ni tukio linalosikitisha na linastahili kulaaniwa kwa nguvu zote. Tukio hili linavunja kabisa...
  11. JamiiForums Tanzania Wahouthi wataarifiwa wakae mkao wa kupigwa sana

    Majeshi ya Marekani yamewaambia askari wa Israel wasijishughulishe na Magaidi wa Houthi badala yake wao Marekani wako tayari kuwanyoosha magaidi hao. Hayo yamejiri baada ya Wahouthi kuzidi kurusha makombola ya huko Israel pamoja na kwamba hakuna korbola lolote kutoka Yemen limeleta uharibifu...
  12. JamiiForums Tanzania Mali za Zari The Boss Lady hatarini kupigwa mnada. Anashtakiwa na SARS kwa kukwepa kodi ya TSh. Milioni 729

    Mamlaka ya Mapato ya Afrika Kusini (SARS) imechukua hatua za kisheria dhidi ya reality TV star na mfanyabiashara Zarinah Hassan, kwa kukwepa kulipa kodi takriban TSh. milioni 729. Kutokana na deni hilo, mali zake zinadaiwa kuwa hatarini kupigwa mnada ili kufidia deni hilo. Hata hivyo, Zari...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi simiyu afariki kwa kupigwa na mwalimu. waziri wa elimu lifanyien kazi hiili hii shule wanasema ni mara ya tatu mtoto kufariki

    Mwanafunzi MMOJA amefatriki SIMIYU kwa KUPIGWA na MWALIMU kisa kuchelewa kupeleka hmwk Akiongea kwa huzuni mama MZAZI WA marehemu amesema mwanae alienda shule Alipofika ghafla akapigiwa simu na mwl mkuu mtoto amepata shida akamuuliza shida gan akamwomba aje shule mtoto amedondoka Akamwomba...
  14. JamiiForums Tanzania Kariakoo derby kupigwa Saa 1:15 usiku jumamosi, TFF wamezingatia kweli Usalama wa mashabiki?

    Mechi ya watani Simba Vs Yanga itapigwa saa 1:15 usiku kutokana na sababu za mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Mechi ikianza Saa 1:15 maana yake itaisha saa 3:00 usiku Vipi usalama kwa mashabiki watakaojitokeza na ambao wengine huambatana na familia zao, TFF wamezingatia kweli suala la usalama?
  15. JamiiForums Tanzania Natamani zali la kupigwa kula mchana Zanzibar linipate, patachimbika

    Yani natamani na nina hamu sana zali la kupigwa kwa kula hadharani mchana badala ya usiku mwezi huu linipate huko Zenji. Patachimbika maamae huo mkono ntakavyoutembeza. Yani ngumi za uhakika. Chaliifrancisco gTurn hydroxo Malaria 2 Adiosamigo Mpaji Mungu PSL god mshamba_hachekwi min -me Jagina...
  16. JamiiForums Tanzania Netanyahu alistahili kupigwa kofi kabisa na Trump kuliko alivyofokewa Zelensky

    Siasa za nje za Marekani na misimamo yao ni ya kibaguzi na kigeugeu cha hali ya juu.Rais Zelensky hakulijua hilo aliposhawishiwa afanye chokochoko kwenye mpaka wa Urusi. Pamoja na ujinga aliokuwa nao Zelensky lakini kwa kumlinganisha na Benjamin Netanyahu basi yeye ni mtu mwema kidogo...
  17. JamiiForums Tanzania Bomu linaenda kupigwa Mochwari ya CCM Kirumba leo

    Nikiona mwana Simba SC yoyote atashangaa Matokeo ya leo huko Mwanza na Kuumia nayo nitamshangaa mno na pengine hata kumuona hana Akili. 85% ya Viongozi Pamba FC ni Yanga SC tupu+ GSM Yanga SC Kuidhamini + Kocha Minziro mwana Yanga SC kufa Mtu = Ushindi mnono Leo.
  18. JamiiForums Tanzania Polisi inawakamata Waratibu wa LBL lakini Watu wanaendelea kupigwa hela kwenye mfumo huohuo

    Licha ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa tangazo linaloeleza kuwa haihusiki na jambo lolote linalohusu Kampuni inayoitwa Leo Beneath London (LBL) ambayo inavyoonekana kilio chetu ni cha Watu wengi, lakini nimeamua kuandika hapa kwa kuwa najua kuna wenzetu ambao wana msongo wa mawazo...
  19. JamiiForums Tanzania Mzizima Derby (Simba, Azam) yahamishwa uwanja, kupigwa Benjamin Mkapa

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imebadili uwanja na muda wa kuanza kwa mchezo namba 167 wa Ligi Kuu ya NBC baina ya Simba na Azam ambao ulipangwa kufanyika kwenye Uwanja wa KMC Complex, Februari 24,2025 kuanzia saa 10:00 ambapo sasa utafanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa siku hiyohiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…