Mara yangu ya mwisho kupiga kura ilikuwa mwaka 2019, wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mwaka 2020 sikupiga. Haukuwa na mvuto kwangu.
Mwaka huu naona changamoto ya mwaka 2020 inaninyemelea. Huenda nisipige kura.
Na, kwa kuwa kupiga kura ni haki yangu, naamini na kutokupiga nako pia ni...