kupiga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Uingereza yashusha umri wa watu kupiga kura hadi miaka 16

    Vijana wa miaka 16 na 17 wataweza kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao, kufuatia mpango wa serikali wa kushusha umri wa chini wa kupiga kura. Ahadi hiyo ni sehemu ya hatua kadhaa zinazopendekezwa kupitia Muswada mpya wa Uchaguzi (Elections Bill). Mabadiliko mengine yaliyopendekezwa ni pamoja...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yamtupa nje Luhaga Mpina Mbio za Ubunge jimbo la Kisesa

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa anayemaliza muda wake Luhaga Mpina huenda safari yake ya kuwawakilisha wananchi wa Kisesa ikafikia tamati ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka huu baada ya vikao vya mchujo kwa ngazi ya wilaya ya Meatu na mkoa wake wa Simiyu kumtupa nje ya mbio za kuwania kuteuliwa...
  3. JamiiForums Tanzania Naishauri Iran Kama vita vikianza tena waanze kupiga base za Marekani zilizopo karibu naye

    just what I see ni kuwa zinapull back much effort wanatkiwa wagonge target na kuspusha uzuizi mkubwa kutoka Nchi jirani,Iran inapwa kujilinda kama nchi nyengine zinavyojilinda. Hapo middle east Israel kapandikizwa,wakristo mtanisamehe.
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania inavyoweza kupiga Hatua Kiuchumi na kielimu

    So far hapa tulipofika kuna watu wamepambana lakini haiondoi ukweli kuwa bado tupo nyuma. Huu ndio ukweli wa wazi Nimekuwa nikiwaza kwa namna gani tunaweza kupiga hatua mawazo yangu yakanituma kutazama vilabu viwili Simba na Yanga ambavyo vimepiga hatua walau nakutuweka kwenye ramani ya nchi za...
  5. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Iran waanza kuhoji aliko Ayatollah, atoke mafichoni, Israel imeacha kupiga

    Wanashangaa mbona mzee bado amejificha, kulikoni, Israel ilishafanikisha malengo, vinu vya nyuklia vimesambaratishwa.............. Two days after a ceasefire between Israel and Iran came into effect, Iranians are growing concerned over the well-being of Ayatollah Ali Khamenei, The New York...
  6. JamiiForums Tanzania B-2A Stealth Bomber yaruka angani kwa masaa 37 mfulilizo kwenda kupiga vinu vya nyukilia vya Iran

    Huko mashariki ya kati nchi zote zipo kimya zimetulia kabisa wakati kuna mtu anafundishwa adabu.
  7. JamiiForums Tanzania Mechi ya Leo Jumapili, Tarehe 22/06/2025 Kuelekea Kilele Cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya

    Mchezo wa mpira wa miguu – hatua ya fainali unatarajiwa kufanyika kwa shamrashamra kubwa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Makatifu John (St. John’s University), jijini Dodoma. saa tisa Jioni. Tukio hili ni sehemu ya kampeni endelevu ya kuhamasisha jamii, hususan vijana, kuhusu madhara ya...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Kufanya shughuli za kijamii (kwaya, maulid, picha) Daraja la Magufuli lazima uombe kibali

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema watakaohitaji kutumia Daraja la JP Magufuli kwa ajili ya kupiga picha au kurekodi video za muziki watalazimika kuomba kibali Wizara ya Ujenzi kupitia Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza. "Hatutakataza kufanya kazi zozote za kijamii kama vile kupiga picha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wa Israel wasema kwa kitendo cha Iran kupiga kituo chao kikuu cha utafiti, Imeirudisha nyuma Israel miaka kadhaa nyuma kiutafiti

    Baada ya Ballistic missiles za Iran kupiga kituo kikuu cha utafiti cha Weismann na kukisambaratisha. Wanasayansi wa Israel wamesema kuwa sample nyingi sana za utafiti zimeharibiwa, wameweza kunusuru chache ila nyingi sana hawawezi kuzirudisha. Akasema kuwa watahitaji miaka kadhaa ili kuweza...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ya Trump kupiga mnada mamilioni ya ekari za ardhi ya umma kuongeza mapato ya serikali

    Mpango wa serikali ya Trump kuuza zaidi ya ekari milioni 250 za ardhi ya umma iliyopo chini ya uangalizi wa serikali kuu kwa watu binafsi umepingwa vikali na kulaaniwa kila kona na raia wengi wa Marekani wa pande zote za kisiasa. Miongoni mwa ardhi zitakazouzwa zinajumuisha milima, nyika, misitu...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania tunaishia kupiga mikwara mtandaoni tu hahahaha

    Kila siku kwenye page za mange kimambi na sativa ni no Reform no election eti ndio kuandamana hivyo ambapo serikali italeta katiba mpya unajua Kuna vitu vinachekesha sana Bora hata wasiwe wanaandika huo utumbo baada ya kupanga mikakati ya kuingia barabarani Kila siku mikwara ya mtandaoni nasema...
  12. JamiiForums Tanzania Tufahamishane kuhusu hii code ya kupiga pesa Facebook

    nishasanuka!!!! Endeleeni ku’gatekeep!! Now ni kudownload hela tu🔥🔥🔥🔥
  13. JamiiForums Tanzania Sio hekima Kwa mzazi kupiga simu mara Kwa mara Kwa mwanae aliyeoa au kuolewa

    Kuna wazazi viherehere, hasa wamama kupigia mabinti simu za mara Kwa mara, tena kuongelea hadi faragha za wanaenda hao Binti akifikia umri wa kuolewa na kuamua kuolewa, heshimu uamuzi wake huo, kupiga simu asubuhi na jioni kiherehere Kijana amelala na Binti yake aliyemuoa alfajiri anapata...
  14. JamiiForums Tanzania Israel waanza kupiga maeneo ya karibu na makazi ya Ayatollah na Ikulu, ichukuliwe kama onyo watapiga popote

    Ayatollah kama analala kwake, basi amesikia mabomu yaliyopiga maeneo ya jirani...... The Israel Defense Forces carried out several additional waves of airstrikes across Iran early Saturday, concentrating on the capital, Tehran, where explosions were reported near Mehrabad International Airport...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Israel furaha yake ipo kwenye uvumbuzi wa siraha na kupiga adui zake kama mlivyo Watangawizi, furaha yenu ni mikopo na kufungana jela

    Israel, kazi zingine ni kama gelesha tu Ila chaguo lao namba moja, ni tekenorojia hasa ya uvumbuzi wa siraha na uwezo wa kuzitumia Wamewekeza akili mingi kwenye jambo hilo kuliko kingine chote Hii hasa ni kutokana na nchi zinazoizunguka Israel kutoa matamko ya kijinga kuwa eti wataifuta...
  16. JamiiForums Tanzania Israel imekuwa ikiimezea/itamani Iran muda mrefu sana. So whatever inachofanya sasa ilishajiandaa na kupiga hesabu

    Huu ushahidi wa mwezi wa 4 Waziri akisema atakuja ponda ponda kichwa cha nyoka baada ya kumaliza vidagaa vyake.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nyie vyama "uchwara", akina ACT et al kama CCM wanafanya fujo kama leo kwenye mkutano, Je kwenye kupiga kura? Zitahesabiwa? Utatangazwa?

    ACT et al, tazama kilichotokea watu waliotumwana system... CHADEMA TAKE NOTE; Nawaza tu, nawaza tu, nawaza tu....Kitakachofuata ni kumpiga Heche risasi wakasingizia kuwa hawajui nani alipiga risasi maana polisi hawatakuwepo kama ilivyokuwa leo! Erythrocyte Ni kuchukua tahadhali tu!
  18. JamiiForums Tanzania Nampongeza Mange kwa kupiga hela za wasiojitambua ila anawapoteza CHADEMA

    Ni mataahira tu wanaokubali kuwa Mange kaacha kazi yake ovu ya kuharibia watu hadhi zao na kuamua kufanya siasa full time bure. Kimsingi Mange kashajibebea chake na kuwadanganya wehu kuwa anawapigania. Kamwe Mange hawezi taka CCM iondoke madarakani. Ikumbukwe mwaka 2015 alitaka uongozi kupitia...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Gharama za kupiga rangi gari ni kiasi gani na itachukua muda gani ?

    Aina ya Gari ni Toyota Premio Body uya gari ipo fresh kabisa Gari lilikuwa limekaa miaka mitatu bila kutumika, rangi imefubaa. Makadirio ni bei gani, inaweza chukua muda gani, tagadhari, n.k.
  20. JamiiForums Tanzania Hii style ya kupakana rangi vidoleni baada ya kupiga kura tuikatae wanaume wote

    Wakuu hii style ambayo CCM wamebuni ya kupakana rangi vidoleni ilianzishwa na Nani? Ni aibu kubwa Sana kama taifa linaloji nasibu kuwa Lina uchumi wa Kati kuendelea kutumia mbinu ya wakoloni.. Mimi kama mwanaume nakataa hii na siwezi tena kurudia kufanya UJINGA huu wa kupiga kura, nawakumbusha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…