Habari wakuu!
Hivi karibuni nimeanza kusikia Kelele kwenye Sikio Langu la Kushoto kama Mdudu au filimbi inalia Kwa Mbali.
Hapo awali nilihisi ni wale wadudu wanaopiga kelele ardhini, lakini nilivyofuatilia nikagundua ni Sikio La Kushoto linafanya hivyo na Wakati Mwingine lile la kulia mara...