Waziri wa zamani, Lazaro Nyalandu, amewasihi viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Hanang mkoani Manyara kuhakikisha mipango inafanyika ili watu wenye ulemavu na wazee waweze kufika kwenye vituo vya kupiga kura.
Nyalandu ametoa kauli hiyo jana Septemba 16, 2025 katika mkutano wa...