Rais Donald Trump wa Marekani amesema kwamba ameamuru nyambizi mbili za nyuklia za nchi hiyo zipelekwe kwenye maeneo mawili ya kimkakati kufuatia matamshi aliyoyataja kuwa ya "kijinga na uchochezi" yaliyotolewa na Rais wa zamani wa Urusi, Dmitry Medvedev. Hivi karibuni Medvedev alitishia...