kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kupata music scholarship nje ya nchi

    Wakubwa habari Mwenye ujuzi na mambo ya ufadhili aje hapa Mtupeni hzi scholarship za kusoma music nje ya nchi kwasabab mim nimetafta ila sizioni
  2. JamiiForums Tanzania Mliowahi kupata funded scholarship mtupe uzoefu

    Nipo katika mchakato wa kutuma maombi funded scholarship za ujerumani DAAD masters in international health. Hivi mwajiri anaweza kutoa cheti cha utumishi wakati bado unafanya kazi na vilevile Recommendations Letter hasa kwa private?
  3. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kipi bora Iran ifanye ili ipate ushindi na kutoa funzo kwa Israel?

    Marekani ilisema Iran ingeaanza kujibu mauwaji ya Ismael Haniye masaa 72 baada ya tamko la Ayatollah Khamenei kwamba wataipiga Israel moja kwa moja. Kwa kujua Israel ina silaha bora na inasaidiwa na mataifa makubwa ikiwemo Marekani.Kwa namna gani unafikiri Iran itaweza kuingia vitani kuwatetea...
  4. JamiiForums Tanzania Ripoti FAO: 64.8% ya Watu barani Afrika hawana uwepo wa kupata Chakula Bora

    RIPOTI: Shirika la Chakula na Kilimo (FAO) limesema Robo Tatu ya Idadi ya Watu katika Bara la Afrika hawana uhakika wa kupata Lishe Bora Kwa mujibu wa Ripoti ya FAO, Takriban Watu 864 duniani hawana uhakika wa Kupata Chakula Bora ambapo Bara la Asia ni Milion 467, Afrika Milioni 316, Marekani...
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake wanahitaji muda mwingi zaidi wa kupata usingizi kwasababu wanatumia zaidi akili zao kuliko Wanaume.

    Watafiti kutoka kituo cha utafiti wa usingizi cha Chuo Kikuu cha Loughborough Nchini Uingereza wamesema Wanawake wanahitaji muda mwingi zaidi wa kupata usingizi kwasababu wanatumia zaidi akili zao kuliko Wanaume. Profesa Jim Horne kutoka Chuo hicho amenukuliwa akisema “akili za Wanawake...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna bora ya kupata fremu Kariakoo

    Wasalam wana Jamvi. Naomba kwa wataalam wa Kariakoo mnipe namna bora ya kupata Fremu kariakoo maana Naona madalali ni wengi nisije kupigwa hela yenyewe ya Mkopo hii.
  7. JamiiForums Tanzania Toyota cup, Kumbe Yanga inaweza kuvaa logo nyekundu bila kupata mikosi.

    Kule Afrika Kusini Yanga imecheza na Kaizer Chiefs kombe la TOYOTA na kulazimika kuvaa logo ya TOYOTA kifuani mwa jezi yenye rangi nyekundu. Binafsi nilidhani Yanga inakataa logo za wadhamini zenye rangi nyekundu kwa kuhofia kupata mikosi ya kufungwa kumbe bwana hakuna kitu hicho ni hofu tu...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata vyeti vyangu hususan eneo la Tarime 2024

    Habari wana JamiiForums, naitwa Robi Daphane Ngabiya tafadhali nimepotelewa na vyeti vyangu original vya taauluma kwenye vigari vidogo aina ya probox mnamo tarehe 20 -7-2024 lilikuwa linatoka Tarime mjini kwenda Sirari Cheti cha Form 4, Cheti cha diploma nursing Transcript yake, Cheti cha...
  9. JamiiForums Tanzania Ushuhuda kwa yeyote aliyefanikiwa kupata mme au mke hapa

    Habari Wana Jf Natumai mko salama Nimekaa nikawaza mengi, kwenye jukwaa hili ni wengi waliotoa post za kutafuta mke au mme nikiwemo na mie😊 Lakini Cha kushangaza sijawahi Kuona mirejesho ya members wakifunga ndoa au hata kuja kutoa taarifa za kupata Sasa swali ni je hili jukwaa halisaidii ama...
  10. JamiiForums Tanzania Joe Biden amuunga mkono Kamala Harris kuwania Urais, Marekani kupata Rais wa kwanza mwanamke?

    Hesabu za kisiasa zimechezwa na Rais aliyetakiwa kutetea kiti chake amejiengua na badala yake amemuunga mkono makamu wake, Kamala Harris kuchukua nafasi yake ya kuwania kiti cha Urais kupitia chama cha Democrats! Atatoboa kwenye chama? Atauweza mfupa uliomshinda Hillary Clinton? Pia, soma=>...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mabosi punguzeni unoko duka linavyostawi mauzo, Binafsi ninajua kijana ananiibia kiasi kidogo lakini nimepiga kimya, nikimtoa ni ngumu kupata mbadala

    Kuna vijana unawaweka dukani unaona kabisa uwepo wao ndio unachangamsha biashara kuanzia kutafuta wateja, ku negotiate, kutangaza biashara, kazoeleka na wateja, n.k. yaani wewe kila ukienda kufunga hesabu unakuta daftari la mauzo linameremeta. Sasa kijana kaiba lets say elf 5 au 10 kwenye kila...
  12. JamiiForums Tanzania Mchakato wa kupata Dada wa kazi za ndani unapaswa kuwa vipi ili watoto wawe salama?

    Hili sio suala la kulipuuzia kabisa kwa sababu asilimia kubwa sana linawahusu hata kama sio leo ni kesho.
  13. JamiiForums Tanzania Kamati ya kitaifa Usawa wa Kiuchumi yazipongeza MIF, TAMWA ZNZ kuwezesha Wanawake Kupata Haki zao

    KAMATI ya Kitaifa ya Ushauri kuhusu utekelezaji wa Programu ya Kizazi Chenye Usawa wa kiuchumi (GEF) imezipongeza taasisi zinazowezesha upatikanaji wa haki za wanawake na watoto Zanzibar kwa jitihada zake za kukuza haki na usawa wa kiuchumi kwa makundi yote. Pongezi hizo zimekuja kufuatia ziara...
  14. JamiiForums Tanzania Napenda kupata elimu kama kuna masharti ya kurusha drone za kupiga video Tanzania

    Niliwahi kusikia kuhusu utaratibu wa kurusha drone lazima uwe na kibali.Je hata nikiwa na drone ndogo za kupiga picha na video binafsi natakiwa kuwa na kibali? Naomba elimu kidogo kama si kosa kumiliki na kurusha drone ndogo kwa matunizi binafsi
  15. JamiiForums Tanzania Yanga kupata saini ya Aziz Ki, wamshukuru Mwanadada Hamisa Hassan Mobetto

    Kwa wasio fahamu Msukuma Hamisa Hassan Mobetto, alizaliwa alizaliwa Mwanza, Tanzania, Desemba 10, 1994. Ni mwimbaji, mwigizaji, mfanyabiashara, na mwanamitindo Kumbuka Hamisa ni rafiki Mkubwa wa Aziz Ki japo yanga wanadai ni shemeji yao, mimi sina hizo taarifa. Ninachojua Hamisa ndo alipiga...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kijana, Ushirikina na Uchawi hautakusaidia kupata nafasi ya Uongozi wa Kisiasa

    Zaidi sana utapoteza muda na fedha zako, tena kwa fedheha sana, ukiwa na elimu ya madigrii kadhaa ya kitaaluma wakati mganga hata darasa la saba hajamaliza. Mganga hawezi na wala hana uwezo wa kukupatia uongozi wa wananchi, bali atakutisha tu kwa kukuhimiza kufanya bidii kutafuta kura kwa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuwe wa wazi; Hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kupata walau 20% ya kura zaidi ya CHADEMA

    Wakuu Habarini/salaam/Shalom Ukitazama kwa mwenendo wa siasa zetu ndani ya miaka takribani 10 mpaka sasa,utaona jinsi watu walivyo kuwa na mwamko mdogo sana kuhusu siasa,hii inakuja baada ya kufungiwa kwa harakati za kisiasa chini ya Hayati J.P. Magufuli, Madhara ndo yanaonekana leo🩴 Hali...
  18. JamiiForums Tanzania KWELI Mtu anaweza kupata mzio kutokana na matumizi ya kondomu

    Nimepata kukutana na marafiki zangu kadhaa na wamekuwa wakidai kuwa, wao hawapendi kabsa kutumia kondomu wakiwa kwenye faragha zao, huku wakidai kuwa mafuta au vilainishi vilivyomo ndani ya Kondomu zinawafanya wapate upele pamoja na miwasho. Naomba kuuliza, Je ni kweli matumizi ya Kondomu...
  19. X

    JamiiForums Tanzania China-US TechWar: Pentagon wakiri ni vigumu kuachana na huduma za Huawei kikamili

    Mwaka 2019 serikali ya Marekani chini ya aliyekuwa raisi wakati huo Donald Trump, iliweka sheria ya kutotumia huduma na vifaa vya Huawei katika idara nyeti za usalama wa taifa hilo. Sababu kuu ilikuwa ni kwamba usalama wa taifa hilo ulikuwa hatarini, ikidai kuwa China inaitumia kampuni ya...
  20. JamiiForums Tanzania Marekani yakwama kupata sampuli za Mwezi kutokana na Kifungu cha Wolf

    Hivi karibuni Chombo cha Chang'e No. 6 cha China kilifanikiwa kumaliza kazi yake ya kuchunguza Mwezi na kurejea duniani, na kuleta sampuli ya kwanza duniani ya udongo na mawe kutoka kwenye upande wa mbali wa Mwezi. Baada ya China kutangaza kuwa itashirikiana na jamii ya kimataifa kutafiti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…