kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SI KWELI Video ya ndege ya Brazili muda mchache kabla ya kupata ajali

    Salaam Wakuu, Nimekutana na hii video ikidai ni tukio la kweli kuhusu ajali ya ndege nchini Brazil. Kuna ukweli?
  2. JamiiForums Tanzania Hivi uki disco chuo ukaomba sehemu nyingine unaweza kupata na mkopo pia?

    Habari za mda huu wakuu Hivi ukidisco chuo ukaenda chuo kingine kuna uwezekano wowote wa kuomba mkopo na ukapata???
  3. JamiiForums Tanzania Je, Trump kaanza kupata kiwewe dhidi ya mwanamama Kamala ?

    Kuelekea uchaguzi wa marekani, Donald Trump aanza propaganda za ukomunisti dhidi ya Kamala Harris. Kama unavyojua marekani na ukomunisti ni paka na panya. Je, Trump anatumia kete ya ukomunisti mitandaoni kumuondolea imani Kamala kwa wamarekani ? Au vijembe tu vya kisiasa ?
  4. JamiiForums Tanzania Nani amewahi kupata ndoto usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili?

    Habari wanajukwaa Nimekua napatwa na Hali ya kutopata ndoto usiku wa ijumamosi kuamkia jumapili hii imekaaje wakuu Mwanzoni nilichukulia kawaida ila Hali hii imejitokeza tena usiku wa kuamkia Leo,ila kwa siku nyingine za wiki Hali huwa kawaida uwepo wa ndoto unakuepo. Nawasilisha.
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa: Tumesikitishwa Wanafunzi UDSM kutakiwa kuwa na kadi ya CCM ili wasaidiwe kupata mkopo

    YAH: TAARIFA KWA UMMA. Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DUPSA) tumesikitishwa na kulaani matukio na taarifa zifuatazo. Mosi, Tangazo la Kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi Tawi la Chuo Kikuu Dar es Salaam ndugu Goodluck Evarist la kuwataka wanafunzi ambao...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya michezo ya kubaatisha inalijuwa majukumu yake? Usimamizi wa Serikali kwenye hii bodi ukoje?. Ama ndio mwenye kupata apate mwenye kukosa hakose

    Tume ya Kamari ni chombo cha udhibiti kinachowajibika kwa kusimamia shughuli za kamari na kuhakikisha kuwa zinafanywa kwa haki na salama. Kuhusu wachezaji, majukumu yake muhimu ni pamoja na: Kuhakikisha Haki na Uaminifu: Tume inahakikisha kwamba waendeshaji wa kamari wanakidhi viwango...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hati ya kiwanja ikipotea au kuungua kuna uwezekano wa kupata nyingine original?

    Habari. Miaka michache iliyopita nilipata mkasa wa kuungua nyumba niliyokuwa naishi na moja ya vitu vilivyoungua ni hati ya kiwanja. Je kuna uwezekano wa kuomba nyingine idara ya ardhi? Kwa sasa nimebaki na photocopy tu. Naomba kama kuna mwenye uelewa au aliyewahi kupatwa na mkasa kama wangu...
  8. JamiiForums Tanzania Wakulima kanda ya kaskazini wahofia njaa baada ya kupata mavuno haba

    Wakulima kanda ya kaskazini wahofia njaa baada ya kupata mavuno hafifu kwa kile wanachodai mvua kukata mapema mwaka huu. Baadhi ya wakulima kutoka katika mikoa ya kilimanjaro ,manyara wamesema ni kweli mvua zilikuwa nyingi sana mwaka huu LakinI pia ziliwahi kukata kabla ya mazao Kufikia stage...
  9. JamiiForums Tanzania Huu uzi uwafikie wale matonya wote wanaopambania kupata vocha za bure

    Kama unajijua kuwa huwa unapandwa na pressure unapoona Sandakalawe basi huu uzi unakuhusu kwa asilimia 100. FACT - Ewe Matonya! Usipende vya bure tambua kuwa wenzako hizo vocha wamezitafuta kwa jasho na kufanya kazi. Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Shanghai nchini CHINA 🇨🇳
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nitapata kazi mwezi huu

    Roho mtakatifu amenijulisha kuwa kabla ya kuisha kwa mwezi huu nitapata kazi nzuri katika taasisi nzuri, itakuwa na mshahara na marupurupu mazuri, na nitafanikiwa kimaisha na kiujuzi. Asante Yesu. Napokea kadiri ya imani yangu kwa jina la Yesu.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Trump karudi X, avunja rekodi ya kupata wasikilizaji wengi kwenye space, Kamala alaani ni uchcochezi, Wadukuzi walijaribu kuharibu interview.

    Trump aliwahi kufungiwa kwenye mtandao wa X kipindi ukiwa unaitwa Twitter, Akaanizisha platform yake inayoitwa Truth kwasababu kwa kipindi hicho mtandao wa Twitter ulianza kuegemea zaidi maono ya Democrats, Hivyp watu wengi wenye sera za Republicans walipigwa BAN akiwemo Trump. Baada ya Elon...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata kazi ya upagazi(porters)

    Jinsia: Mwanaume Umri:21 Elimu: kidato cha 6 Mafunzo: JKT kwa mujibu wa sheria 2022
  13. JamiiForums Tanzania Naomba Connection ya kupata Wauzaji wa vioo vya simu kwa jumla kwa bei nzuri

    Wakuu, Kuna chimbo nimelipata pana gape ya vioo vya simu kuanzia viswaswadu hadi Smartphone. Nimejaribu kusaka maduka yanayouza jumla, naona bei zimechangamka sana. Mfano kioo mafundi simu wanavyouza elf 30, madukani nao wananiuzia bei iyo iyo. Tupeane connection nitakapopata kwa bei nzuri...
  14. JamiiForums Tanzania Sandakalawe, mwenye kupata apate....

    Acha kupenda kitonga Mkuu....! HAKUNA KITU HAPA!
  15. JamiiForums Tanzania Kama unajitambua usiende kupata kinywaji baa za mitaani!

    Leo nilikuwa na issue zangu zilizonipelekea kuamka asubuhi sana kwenda kati ya viunga vya Dar kukutana na jamaa yangu. Sasa niliwahi maeneo ya kukutana nikaona wakati namsubiri ebu nikapate vyombo kidogo bar ya karibu. Nikafika bar fulani mandhari inavutia ila nikakuta wamekusanya viti upande...
  16. JamiiForums Tanzania Kupata music scholarship nje ya nchi

    Wakubwa habari Mwenye ujuzi na mambo ya ufadhili aje hapa Mtupeni hzi scholarship za kusoma music nje ya nchi kwasabab mim nimetafta ila sizioni
  17. JamiiForums Tanzania Mliowahi kupata funded scholarship mtupe uzoefu

    Nipo katika mchakato wa kutuma maombi funded scholarship za ujerumani DAAD masters in international health. Hivi mwajiri anaweza kutoa cheti cha utumishi wakati bado unafanya kazi na vilevile Recommendations Letter hasa kwa private?
  18. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kipi bora Iran ifanye ili ipate ushindi na kutoa funzo kwa Israel?

    Marekani ilisema Iran ingeaanza kujibu mauwaji ya Ismael Haniye masaa 72 baada ya tamko la Ayatollah Khamenei kwamba wataipiga Israel moja kwa moja. Kwa kujua Israel ina silaha bora na inasaidiwa na mataifa makubwa ikiwemo Marekani.Kwa namna gani unafikiri Iran itaweza kuingia vitani kuwatetea...
  19. JamiiForums Tanzania Ripoti FAO: 64.8% ya Watu barani Afrika hawana uwepo wa kupata Chakula Bora

    RIPOTI: Shirika la Chakula na Kilimo (FAO) limesema Robo Tatu ya Idadi ya Watu katika Bara la Afrika hawana uhakika wa kupata Lishe Bora Kwa mujibu wa Ripoti ya FAO, Takriban Watu 864 duniani hawana uhakika wa Kupata Chakula Bora ambapo Bara la Asia ni Milion 467, Afrika Milioni 316, Marekani...
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake wanahitaji muda mwingi zaidi wa kupata usingizi kwasababu wanatumia zaidi akili zao kuliko Wanaume.

    Watafiti kutoka kituo cha utafiti wa usingizi cha Chuo Kikuu cha Loughborough Nchini Uingereza wamesema Wanawake wanahitaji muda mwingi zaidi wa kupata usingizi kwasababu wanatumia zaidi akili zao kuliko Wanaume. Profesa Jim Horne kutoka Chuo hicho amenukuliwa akisema “akili za Wanawake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…