kupandishwa cheo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kupata cheo au kupandishwa cheo lazima uwe CCM.Wamethibitisha kuwa vyombo vya dola ni vyao.

    Ili jambo limezungumziwa sana hapa JF. sio vyombo vya dola tu,mpaka makahama,wakurugenzi na kila idara. Wote waliopewa vyeo ni wananchama wa CCM na ndio maana maovu hawana yakalia kimya.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwanzoni akiwa RC niliamini yuko smart ila baada ya kupandishwa cheo na kuanza kufunga wanawake waliomtongoza na sasa hili boko ! 🤯🤯

    Labda kweli cheo kikubwa hakibadilishi akili ya mtu, kinachofanya ni kumfichua anavyofikiri na kufanya maamuzi kwa uhuru. Mwanzoni nilikuwa nikimuona kama mtu smart sana alipokuwa RC Tabora. Hasa namna alivyoshughulikia kesi ya kumkamata tapeli aliyekuwa akiwadhulumu viongozi ilimpa credit...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kwa Uwezo Mkubwa Wa Akili na Ujuvi Wa Sheria Aliouonyesha Wakili Katuga . Napendekeza Afikiriwe Kupandishwa Cheo Zaidi na Kuteuliwa Kuwa Jaji

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Jamaa ni Mwamba kwelikweliiiiiii Ambaye Watu wenye Uwezo Mdogo Aina ya John Heche Hawatakaa Wamsahau Huyu Mwamba . Mwamba Amemgeuza Geuza Heche utafikiri Samaki anayekaangwa kwenye Mafuta ya Moto . Yaani hadi Heche Akaishiwa Nguvu za Kusimama na kuamua kukaa chini...
  4. JamiiForums Tanzania Kupandishwa Cheo kwenye Utumishi wa Umma baada ya kutokutwa na hatia ya Jinai

    Wadau ninaomba kufahamishwa kuwa ni kifungu gani cha sheria katika Sheria ya Utumishi wa Umma ambacho kinatamka kwamba mtumishi wa umma aliyetuhumiwa kwa makosa ya jinai akikutwa hana hatia arejeshwe kazini na apewe stahiki zaje zote ikiwemo na kupandishwa cheo?
  5. JamiiForums Tanzania Kupandishwa Cheo Kazini baada ya kutokutwa na Jinai kwenye Utumishi wa Umma

    Wadau ninaomba kufahamishwa kuwa ni kifungu gani cha sheria katika Sheria ya Utumishi wa Umma ambacho kinatamka kwamba mtumishi wa umma aliyetuhumiwa kwa makosa ya jinai akikutwa hana hatia arejeshwe kazini na apewe stahiki zaje zote ikiwemo na kupandishwa cheo?
  6. JamiiForums Tanzania Kupandishwa cheo jeshini huwa wanazingatia nini?

    Naomba mnisaidie kitu wana jamiii forum hiv moja ya malengo yangu ni kujiunga na Jeshi kuna kitu nataka nifahamu, hiv unapoingia jeshini nini huwa wanazingatia nin ili upande cheo
  7. JamiiForums Tanzania Hongereni wafanyakazi wote wa serikali mlioajiriwa APRIL 1, 2014, Leo mmetimiza miaka 10, (miaka 10 kupandishwa cheo mara moja!) Hongereni!

    Kwanza nimshukuru sana mheshimiwa kwa kupata hii nafasi ya kuposti Leo, Lakini niwapongeze rafiki zangu walioajiriwa mwaka 2014, mwezi wa Nne tar 1, Leo hii wametimiza miaka 10! Lakini cheo walipata mara moja tu! Yaani kauli mbiu ni miaka 10 daraja moja! Miaka 10 daraja moja! Mungu awatie...
  8. JamiiForums Tanzania Kamati ya Usalama Arusha yampongeza SACP Masejo kwa kupandishwa cheo na Rais

    Kamati ya Usalama Mkoa wa Arusha imempongeza Kamanda wa Polisi Mkoani humo kwa kupandishwa Cheo hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Akitoa Pongezi hizo Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu John...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kingai Pekee ndiye aliyeweza kupambana na Mbowe akishia kupandishwa cheo; wengine wote wameishia pabaya

    Mbowe ameweza kupambana na watu wengi wa mfumo chinichini Bila kuonyesha adharani mashinikizo yake. Waliobomoa Mashamba yake huko Hai wote wameondolewa kwenye mfumo, viongozi waandaminizi waliokuwepo wakati ananyanyasika nao wametupwa nje Kwa fedhea. Walioitwa viongozi WA dola waliamini mfumo...
  10. JamiiForums Tanzania Hongera afande unastahili kupandishwa cheo

    Iringa. Licha ya kutengenezwa baada ya kuharibika, Jeshi la Polisi, Kitengo cha Usalama Barabarani, Mkoani Iringa limezuia basi la Kimotco lililokuwa limebeba wanafunzi 62 na walimu saba wa Shule ya Msingi Camaldoli wilayani Mufindi lisiendelee na safari. Jeshi hilo lilimelazimika kulizuia...
  11. JamiiForums Tanzania Kuajiriwa 1991 kupandishwa cheo mara moja tu. Anastaafu kwa uchungu

    Habari! Juzi wakati nimetoka zangu night shift narudi home Chanika nikawapa lift watu 2 . Mmoja nilimwacha Gongolamboto mwingine nikaambatana naye mpaka Chanika Mwisho kwa Ngwale. Tuliongea mengi ila kwa ufupi ni kwamba huyu baba kalitumikia taifa miaka 30 kama polisi, kastaafu mwaka huu kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe, aliatakiwa apandishwe cheo

    Habari wakuu, Kwa Maoni yangu Mimi Kama Mtanzania naona Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe bali aliatakiwa apandishwe cheo na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani au eneo Jingine has a remote areas. Kwa sababu moja Kuu, Jokate ni Mbunifu sana na kwa nafasi take kwanza kama Mtu maarufu mwebye...
  13. JamiiForums Tanzania Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?

    Wanabodi, Wewe kama mwana JF, unapata an added advantage to be the first to know, ambapo leo katika tukio la maboresho ya jeshi la polisi, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ametoa kauli kwa kutumia fasihi, ambapo ameliamuru jeshi la polisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…