kuongoza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sababu gani zinapelekea wanaume wa mikoa ya bara kuongoza mauaji ya visa vya mapenzi.

    Kesi nyingi za mauaji ya wapenzi au wake ni wanaume wa bara wakifanya mauaji. Tatizo ni nini ? Kuna namna fulani vijana wa Pwani wanalelewa kikike ( ki feminine) zaidi kuliko vijana wa bara, hii utaiona katika namna wanavyohusiana kilaini laini na wepesi na mama, dada, shangazi zao na hata...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Alex Malasusa VC wa Tumaini University Makumira Prof. Faustine Mahaki ameshashindwa kuongoza, mnasubiri nini kitokee? Subirini kesi ya mabilioni

    Tumeshaandika mmeshupaza shingo, mmejaa kiburi na dharau, wahadhiri na wafanyakazi hawana mishahara rangia mwezi wa 7 na hakuna dalili ya kulipwa, tunaambiwa VC ametumia pesa kwa mambo.mengine na tunaambiwa we umehusika. Viongozi wa dini mmekuwa wahuni, makatili, tunajua hii serikali mmeiweka...
  3. JamiiForums Tanzania 🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

    Hello wana great thinkers 🧠 Blue Monday ✍️ Je, tunapaswa kuamini intuition yetu ya ndani bila kutumia reasoning? Yaani ile umekaa tu pap... ukapata sauti au msukumo wa ndani unaokuambia usifanye jambo fulani halafu ukaamua kuitii bila kwanza kufikiria kwa kina na kuchambua sababu? Umewahi...
  4. JamiiForums Tanzania Kuongoza watu uliowazidi umri

    Wakuu situation imenikuta kua nimekuwa kiongozi wa watu ambao ni watu wenye umri kunizidi. Yani katika watu 10 mimi nimechaguliwa kuwaongoza na ndio mdogo wa wote. Mimi niko early 30s ila kwenye team kuna wenye 50+ Niishije na hao ma legend ambao wako mda mrefu kazini. Ku act hii position...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marais Wastaafu Wazuiwa Kuongoza Vyama: High Court Yaweka Mipaka ya Ushawishi Baada ya State House

    Mahakama Kuu imeunga mkono sheria inayozuia Rais mstaafu kushikilia nafasi rasmi ya uongozi katika chama cha kisiasa zaidi ya miezi sita baada ya kuondoka madarakani. Justice Lawrence Mugambi alitupilia mbali kesi iliyokuwa inapinga Section 6 ya Presidential Retirement Benefits Act, akisema...
  6. JamiiForums Tanzania Eda ni nini? Je, Rais Samia kuendelea kuongoza akiwa eda?

    Kifo cha Hafidh Ameir, mume wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kimeibua maswali kuhusu kipindi ambacho mwanamke Mwislamu huingia baada ya kufiwa na mume wake. Kipindi hicho kinachojulikana kama eda kina masharti gani, huchukua muda gani na kinatofautianaje na maombolezo ya kawaida? Soma...
  7. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Ilifanya Uchaguzi Wa Mwenyekiti Chama Kikapasuka na Kusambaratika . Halafu Utaona Wanabetua Midomo wanasema Wanaweza Kuongoza Nchi.

    Ndugu zangu Watanzania, Uimara ,Ushupavu na Umadhubuti Wa Chama cha Siasa na kilicho tayari kuongoza Na kushika Dola ni Pamoja na ukomavu wake wa kuhimili mikiki mikiki ya ndani ya chama . Ni Pamoja na kuweza kujiongoza chenyewe kama Taasisi ,Ni Pamoja na Kuweza kutatua migogoro yake bila shida...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa mfano akiamua kuongoza Hadi achoke yeye kama M7, anaweza sana tu

    Kwa hapa tulipofikia, akiamua aongoze mpaka achoke yeye ni kitu ambacho anaweza na chepesi sana kwake, hakuna kitu kitakachomzuia. Kuna jamaa alitoa Uzi asubuhi anasema mtanganyika ni mpumbavu na sio wa kuonea huruma, ukipata nafasi mpasue tuu hata kama Kuna ulazima wa kumuua wewe Fanya hivyo...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Muswada wa mfano (Model Bill) wa sheria ya kuongoza mchakato wa maridhiano

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) tumeandaa Rasimu ya Muswada wa Mfano (Model Bill) wa Sheria ya kuongoza Mchakato wa Maridhiano nchini.Lengo la Muswada huu wa Mfano ni kushawishi Serikali na wadau wote kuona umuhimu wa kuwa na Sheria itakayoongoza Mchakato wa Maridhioano...
  10. JamiiForums Tanzania Shida ya Simba ni Mangungu kutumia busara zake badala ya Katiba ya Simba kuongoza timu.

    Mangungu inaivuruga Simba, anatumia busara kuongoza badala ya kuongoza kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Tabia hii inampatia shida na lawama dhidi ya upande wa mwekezaji na chawa wake. Mangungu anachelewesha ukamilishaji wa mchakato wa mabadiliko Simba, hafai.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anaweza Kuongoza Taifa Kwa Mafanikio Makubwa Hata Bila Katiba

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaweza Kuongoza Taifa letu kwa mafanikio Makubwa kabisa hata bila uwepo wa Katiba ama sheria yoyote ile . Napenda kuwaambieni ya kuwa Hata uwe na katiba nzuri kiasi...
  12. JamiiForums Tanzania Unafikiri nani ana afadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura

    Unafikiri nani anaafadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura. Watakaoshika nafasi Tatu za juu. Itahesabika wanaushawishi hasa katika mtandao wa JF. Kwa wale wa CHADEMA na vyama vingine nanyi mnaweza kuchagua kama nilivyosema mwenye afadhali kadiri ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kijana wa kidato cha pili Kenya apigwa mpaka kufa kwenye ugomvi wa kuongoza maombi.

    Ugomvi wa vijana wawili nani aongoze sala au swala katika shule ya Sekondari ya Thika umepelekea kijana Mohamed wa jamii ya Wasomali kufariki baada ya kupigwa na mwenzake vibaya sana.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Jacinta Ngobese-Zuma: Kutoka kuwa mtangazaji wa radio hadi kuongoza "March and March"

    Hali sio shwari kwa wahamiaji nchini Afrika Kusini hasa wale wanaotoka mataifa ya Afrika. Maelfu ya wananchi kutoka Nigeria, Ghana, Malawi, Zimbabwe na Zambia na nyinginezo, wanatakiwa waondoke nchini humo kabla ya Juni 30, 2026. Siku hiyo yamepangwa maandamano makubwa ya kuwafukuza wahamiaji...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Australia yamteua Mwanamke kuongoza Jeshi kwa Mara ya kwanza katika Historia ya taifa hilo

    Australia imetangaza kuwa kwa mara ya kwanza katika historia yake, mwanamke ataongoza jeshi la nchi hiyo, ikiwa ni sehemu ya mabadiliko ya uongozi ndani ya vikosi vya ulinzi. Luteni Jenerali Susan Coyle, ambaye kwa sasa ni mkuu wa uwezo wa pamoja wa kijeshi, anatarajiwa kuwa mkuu wa jeshi la...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Msaliti wa ndani na mhafidhina anayeungwa mkono na Marekani ameshaidhinishwa anasubiri kukabidhiwa madaraka kuongoza serikali

    Wadau hizo ni tetesi kwa mujibu wa vyanzo kadhaa tuvute subira tuone hatima. Mhusika ni mhafidhina mkubwa aliyeamua kubadili gia angani baada ya kuona fursa Mchakato umesalia mdogo kabla ya hitimisho ambalo ni kumkabidhi serikali.
  17. JamiiForums Tanzania Jana nimeangalia marudio ya hotuba ya Trump katika bunge la US. Nimegundua uongozi ni karama, uongozi ni zali kwa wengi ila kuongoza ni born-gift

    Hapa tunazugumzia bilionea alietengeneza empire yake kwa kuwa master wa man-magement, corporate na negotiations. Mwamba wa miaka 79, kasimama lisaa limoja na nusu, bila makaratasi bila maneno ya siasa bali akiwa na confidence na facts za mambo aliyoyafanya. Mwamba amesimama muda wote...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Tumeshindwaje kuongoza njia za Mwendokasi

    1. Nimekuja kwenye jiji lenu inanishangaza sana ndani ya njia ya mwendokasi kuna pikipiki, kuna magari ya watu binafsi balaa nashangaaa polisi wanashindana na raia kuzuia watu sasa ina maana gana ya kuwa na sheria ? ADVICE 1. itungwe sheria ndogo tu ukipita tu chombo kitaifishwe, na ikitokea...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi Samia una roho ya aina gani we mama

    Wewe Samia na wenzako hebu kuweni na utu. Huu ushetani wenu umefikia kiwango cha A+ Hebu kuweni na roho ya ubinadamu hata kidogo tu. Sisi Watanzania tuliwakosea nini mpaka mnatumia ubabe kutuongoza? Kwa nini hautaki kukiri kuwa ulikosea? Kwa nini hutaki kujiuzulu na huku Watanzania hatukutaki...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongoza mazishi ya Mtei na sio Serikali kama ilivyofahamika awali

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara, John Heche, amewasili nyumbani kwa marehemu Mzee Edwin Mtei kuongoza mazishi ya mwanzilishi wa chama hicho. Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Samweli Welwel, amesema ratiba ya maandalizi kuelekea maziko ya Mzee Mtei...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…