kuongoza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ELI COHEN

    Jana nimeangalia marudio ya hotuba ya Trump katika bunge la US. Nimegundua uongozi ni karama, uongozi ni zali kwa wengi ila kuongoza ni born-gift

    Hapa tunazugumzia bilionea alietengeneza empire yake kwa kuwa master wa man-magement, corporate na negotiations. Mwamba wa miaka 79, kasimama lisaa limoja na nusu, bila makaratasi bila maneno ya siasa bali akiwa na confidence na facts za mambo aliyoyafanya. Mwamba amesimama muda wote...
  2. N

    Tumeshindwaje kuongoza njia za Mwendokasi

    1. Nimekuja kwenye jiji lenu inanishangaza sana ndani ya njia ya mwendokasi kuna pikipiki, kuna magari ya watu binafsi balaa nashangaaa polisi wanashindana na raia kuzuia watu sasa ina maana gana ya kuwa na sheria ? ADVICE 1. itungwe sheria ndogo tu ukipita tu chombo kitaifishwe, na ikitokea...
  3. Luca Paguro

    Hivi Samia una roho ya aina gani we mama

    Wewe Samia na wenzako hebu kuweni na utu. Huu ushetani wenu umefikia kiwango cha A+ Hebu kuweni na roho ya ubinadamu hata kidogo tu. Sisi Watanzania tuliwakosea nini mpaka mnatumia ubabe kutuongoza? Kwa nini hautaki kukiri kuwa ulikosea? Kwa nini hutaki kujiuzulu na huku Watanzania hatukutaki...
  4. Q

    CHADEMA kuongoza mazishi ya Mtei na sio Serikali kama ilivyofahamika awali

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara, John Heche, amewasili nyumbani kwa marehemu Mzee Edwin Mtei kuongoza mazishi ya mwanzilishi wa chama hicho. Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Samweli Welwel, amesema ratiba ya maandalizi kuelekea maziko ya Mzee Mtei...
  5. Roving Journalist

    TAKUKURU yakabidhi mashine mbili za watoto waliozaliwa kabla ya muda kwa Hospitali ya Tumbi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetangaza kuwatafuta washtakiwa Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh wanaokabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi ikiwemo kuongoza genge la uhalifu, kughushi, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu pamoja na utakatishaji fedha kupitia shauri...
  6. Q

    PostGE2025 Miezi 6 ni mingi sana kwa Samia kuendelea kuongoza kama hali haitabadilika

    Wananchi wamemkataa live wana hasira sasa anatumia nguvu ya dola kuwatawala na kuwanyamazisha. WanaCCM wenyewe ndani ya chama chake hawamtaki. Nchi wahisani ambazo ni msaada mkubwa kwa miradi na bajeti yetu zinaendelea kutukimbia. Mashirika na jumuiya za kimataifa kama UN, EU, AU, SADC na...
  7. comrade_kipepe

    Ni ngumu sana kuongoza kizazi hichi kwa viongozi waliopitwa na wakati

    Kwanza mnatakiwa kabla hamjafanya chochote kutoa Taarifa kwa umma inabidi mtulie, muichambue kwa makini, vijana wa leo wanajua mambo mengi na wanauwezo mkubwa wa kuchakata mambo. Hii comment hapo chini imenifurahisha sana ikiiilenga shirika la umeme kwa kutoa kanusho.
  8. Q

    Maridhiano ya Chakwera yamefikia wapi, siku 4 alizopewa zinaisha leo

    Dkt. Chakwera alitarajiwa kuwasili nchini Tanzania kwa ziara ya siku nne kuanzia tarehe 18 hadi 21 Novemba, kwa ajili ya kuanzisha majadiliano jumuishi na wadau mbalimbali wa Tanzania. Mwenye taarifa atupatie sisi wadau na wahanga wa maandamano, au walijifungia Royal Hotel Dodoma na kina...
  9. W

    PostGE2025 Je, Dkt. Lazarus Chakwera ni Mjumbe Sahihi kuongoza maridhiano Tanzania baada ya Uchaguzi?

    Hivi kiongozi aliyeshindwa kusimamia mageuzi na uwajibikaji nchini kwake anaweza kweli kuongoza upatanishi nchini Tanzania? Jumuiya ya Madola (Commonwealth) imemteua aliyekuwa Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, kuongoza jitihada za maridhiano nchini Tanzania. Hata hivyo, rekodi yake ya uongozi...
  10. Genius Man

    PostGE2025 Dkt Chakwera anaunga mkono uchaguzi batili uliofanyika, hawezi kuongoza maridhiano ni maigizo

    Dkt Chakwera anaunga mkono uchaguzi batili uliofanyika hawezi kuongoza maridhiano ni maigizo. Kama Samia ameshinda kwa 98% tuunde tume huru turudie uchaguzi sii anakubalika kwa asilimia 98% hatuwezi kufanya maridhiano na mtu anaye unga mkono wizi na mafisadi. #D9
  11. K

    Tulia Ackson hatakiwi tena kuongoza IPU wakati kashindwa Tanzania!

    Tulia Ackson hatakiwi tena kuongoza IPU wakati kashidwa Tanzania! https://www.ipu.org/about-ipu/structure-and-governance/president Tuandike barua atolewe huko na kuacha unafiki
  12. Roving Journalist

    Mussa Azzan Zungu awa Spika wa Bunge la 13. Achaguliwa kwa kura 378 kati ya kura 380 halali

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limefanya uchaguzi wa kumchagua Spika wa Bunge la 13. Kikao hicho kinaendeshwa na Spika wa muda William Lukuvi, akisaidiwa na Katibu wa Bunge Baraka Leonard. Jumla ya Wabunge 383 wanapiga kura. Katika uchaguzi huu tutakumbuka kuwa Spika wa Bunge...
  13. The Father of All

    Hata kama watazima maandamano, je Samuya bado atakuwa na udhu wa kuongoza nchi yetu au aende kwao Zanzibar na kutuachia nchi yetu?

    Kuna haja ya watanzania hasa watanganyika kuanza kutafakari juu ya mstakabali wa taifa letu. Je, tutafanya uzembe tuliache kwenye makucha machafu ya machawa na ida amin mama ili tuumizwe na kuibiwa zaidi? Je, tutafanya nini? Nadhani huu ndiyo wakati muafaka wa kujikomboa na kulikomboa taifa letu...
  14. Lord Denning

    Duniani kote, hakuna Rais aliyewahi kuongoza salama Jeshi lililogawanyika. Na Jeshi ni askari wa chini wenye uchungu na nchi yao na Wananchi

    Kwa wana CCM wote Kwa machawa wote Kwa Bi Samia na familia yake Ujumbe kwenu leo ni huu. Na Jeshi ni askari wa vyeo vya chini. Askari wanaojua na kuelewa vizuri maana ya Kiapo cha Kuwalinda Wananchi na kulifia Taifa.
  15. haszu

    Nchi za Magharib zitageukia kuongoza kimabavu na ubabe, na zimeshaanza

    Umoja na utulivu wa nchi za magharib zilitokana na iman zinazofanana kama Ukiristo, kua na adui mmoja kama ugaidi (islam), au kipindi cha uadui na Soviet Union. Hili lilifanya propaganda za utawala kuaminika na umma wote na wananchi wote kua na agenda moja. Kutokana na muingiliano wa kijamii (...
  16. DuaZaMama

    Rais wa CHAD kuongoza kwa kipindi kisichokuwa na ukomo

    Bunge la Chad limepitisha marekebisho ya katiba yatakayomruhusu Rais kuongeza muda wa kukaa madarakani kutoka miaka 5 hadi 7 bila kikomo cha mihula, hatua iliyopigiwa kura na wabunge 171 na sasa inasubiri kuidhinishwa na Seneti. Kwa mujibu wa taarifa ya Radio France Internationale (RFI)...
  17. U

    Netanyau kuongoza kikao cha Baraza la Usalama la mawaziri kesho alhmasi Jerusalem ili kuidhinisha mpango wa kuitawala kijeshi Gaza

    Prime Minister Benjamin Netanyahu will convene his security cabinet at 6 p.m. Thursday at his office in Jerusalem, according to the Prime Minister’s Office, where it is expected to approve fresh plans for the continuation of the war in Gaza. During a three-hour security discussion among a...
  18. vnn

    GE2025 Hivi kweli Babu Tale ni wa kuongoza Kura za maoni?

    Ni kama vile wananchi hawako serious na maisha yao! Mimi nitoe Rai tu kwa waliopo kwenye mifumo pigeni kadri mnavyoweza msionee huruma wajinga wasiojitambua Ujinga ni laana
  19. R

    GE2025 CCM: Kuongoza Kura za Maoni haimaanishi umeteuliwa

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ubungo kimehitimisha zoezi la kura za maoni kwa ajili ya kuwapata wagombea wa nafasi ya Ubunge katika majimbo ya Ubungo na Kibamba, huku Prof. Kitila Alexander Mkumbo na Anjellah Kairuki wakiibuka vinara wa kinyang’anyiro hicho Akizungumza na waandishi wa...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    GE2025 Sina tatizo na Samia kuongoza, tatizo langu ni Sheria na taratibu zifuatwe kwa Haki

    Hamjambo! Sisi wengine hatunaga shida na mtu kuongoza au chama Fulani kuongoza. Ili mradi ni mtanzania na yupo chama cha Watanzania sisi hatuna shida na hilo. Shida yetu(Mimi na Watibeli) wapigania na wapenda Haki ni kuona Sheria, haki na katiba vikikanyagwa. Hapo ndio shida yetu ilipo...
Back
Top Bottom