kuongezeka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kuruhusu wachina kuuza bidhaa kutoka China kunaweza kusababisha matumizi ya dolla kuongezeka (Import itakuwa kubwa)

    Kuruhusu Wachina au makampuni ya kigeni kuuza bidhaa kutoka nchini mwao moja kwa moja katika soko la Tanzania, kunaweza kuwa na athari kadhaa kiuchumi mojawapo ikiwa ni kuongezeka kwa matumizi ya dola za Kimarekani (USD). Hii hutokana na mambo haya: 1. Kuongezeka kwa uagizaji (imports); Bidhaa...
  2. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa Tumbili na Ngedere hapa Dar hasa Mbezi beach mpaka Ununio

    Mamlaka zinazohusika hasa Maliasili. AFYA . Kuna ongezeko kubwa la tumbili na ngedere maeneo ya Mbezibeach Nssf flats kwenye bonde la mto ndumbwi. Maeneo ya Bahari beach Kondo mpaka Tegeta masaiti. Boko mpaka mbweni ngedere na tumbili wamezaliana sana na kuleta tishio la magonjwa na usalama wa...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Visa vya pedophiles vinazidi kuongezeka kwa kasi hapa bongo. Kama mzazi hivi ndivyo unavyoweza fanya angalau kulinda mabint ako wadogo dhidi ya pedos

    Cha kwanza usikubali mtoto wako mdogo awekwe katika mazingira kama ya hii video hapa chini. Hauwezi kuamini idadi ya comments chafu nilizoziona nilipotoa hii video. pili, haijalishi udogo wa mtoto ila usimu expose na kuchezea simu yako na kufahamu mienendo ya social media. Siku izi watoto...
  4. Setfree

    JamiiForums Tanzania Furaha yako itarejea au kuongezeka, ukifanya mambo haya 15

    Watu wengi wamepoteza furaha maishani mwao kwa sababu mbalimbali za kimaisha. Kama na wewe huna furaha, furaha yako inaweza kurejea ukifanya mambo yafuatayo: Kuna aliyekukosea? Usimchukie, msamehe – Chuki huiba furaha, lakini msamaha huleta amani. Kuna jambo limeishaharibika? Acha kulalamika –...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Wanaume wasaidieni wanawake kiuchumi

    Spika Wa Bunge La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dk Tulia Ackson amesema licha ya kuwepo kwa Juhudi mbalimbali za kuwainua Wanawake Katika Nyanja Mbalimbali Ikiwemo Uchumi na uongozi lakini bado kundi la Wanaume wana wajibu wa kuendelea kuwasaidia Wanawake ili...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kupanuka kwa kundi la BRICS na kuongezeka kwa pato lake la jumla kunaweza kuleta changamoto kwa mataifa ya Magharibi

    Kundi la nchi za BRICS linaendelea kupanuka, na likiwa sasa limeongeza nchi washirika mwezi Januari mwaka huu wa 2025, baada ya kuingiza wanachama wapya mwaka jana. Sasa kundi hili lina takriban ya nusu ya idadi ya watu duniani na zaidi ya 41% ya Pato la Taifa (GDP), ambapo limekuwa nguvu ya...
  7. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jinsi Ifakara ilivyotekwa na kukithiri magenge ya uhalifu na matapeli wa mtandaoni maarufu kama halo-haloo

    Habari wanajamvi, Wilaya ya Kilombero eneo la Ifakara limekumbwa na wimbi la MATAPELI WA MTANDAONI maarufu kama halohaloo. Tumejaribu kila njia kuripoti katika vyombo vya usalama lakini hakuna hatua zozote zinachukuliwa dhidi ya MATAPELI Hawa.. Cha kusikitisha polisi wilaya ya Kilombero haswa...
  8. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania 'Wanasaikolojia' uchwara wazidi kuongezeka redioni/mitandaoni

    Kila mtu sasa hivi ni mwanasaikolojia anaelezea mapenzi na afya ya akili. Ukimuangalia huyo mwanasaikolojia unabaki kushangaa huyu mbona yeye tayari ana stress. Baadhi ya 'wanasaikolojia' wa mchongo. 1. Lilian Mwashambwa, 2. Mc pilipili, 3. Shishi, 4. Bhoke EATV, 5. Diva thebawse, 6. Mauk, 7...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti UVCCM Mwanza: Hakuna siku nchi hii tutamaliza shida zote maana kila siku tunazidi kuongezeka

    Wakuu, Naona UVCCM wanaendelea kutoa boko huko kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Unaendaje on stage kusema kuwa CCM haiwezi kumaliza matatizo yote? Mbona Serikali nyingine zimeweza? Maji na huduma za afya ndio mnaita matatizo yasiyoisha? Soma pia: Mwanza: Wanafunzi na baadhi ya...
  10. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania U.s federal reserve walipunguza interest rate september ambapo kutapelekea kuongezeka kwa dollar cha ajabu sifa anapewa mafuru

    Kwenye msiba wa mafuru alisikika samia akimsifia mafuru alsaidia kupungua kwa uhaba wa dollar swali kivip kwa sababu anaye-control supply ya dollar ni u.s federal reserve sasa mafuru anahusikaje Hii ni habari ya september The US Fed on Wednesday cut the benchmark federal funds rate by half a...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ongezeko kubwa la watu wa Mara kuhamia jiji la Mwanza, Wenyeji wa jiji kwanini wamepoa kwenye fursa?

    Watu wa Mara = Wajita, Wajaluo, Wakuria, Wazanaki, n.k. Ni kwanini wahamiaji wengi wa fursa ni wa mkoa wa Mara kuzidi mkoa wa karibu wa Shinyanga, na Kagera ? Ni kipi kinawapa Hamasa watu Mara kuondoka mkoa wao kuja Mwanza ? Ni kwanini wenyeji wa Mwanza wana uwakilishi mdogo kwenye fursa za...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dunstan Kitandula: Barafu inapungua mlima Kilimanjaro kutokana na kuongezeka kwa joto la Dunia

    Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa misitu imezindua kampeni ya kupanda miti zaidi ya Bilioni moja katika mikoa ya kaskazini ili kunusuru barafu ya Mlima Kilimanjaro. Kampeni hii ya upandaji miti inakwenda sambamba na utekelezaji wa mikakati ya kupanda zaidi ya miti milioni 8 kwa...
  13. I

    JamiiForums Tanzania The Chanzo: Kesi za Ubakaji na Ulawiti Zazidi Kuongezeka Tanzania. Mjini Magharibi, Morogoro, Arusha yaongoza orodha kwa kesi nyingi zilizoripotiwa

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Takwimu za Uhalifu na Matukio ya Trafiki, kesi za ubakaji na ulawiti zimeendelea kuongezeka nchini Tanzania. Mwaka 2022, kulikuwa na matukio 6,827 yaliyoripotiwa ya ubakaji, lakini idadi hii iliongezeka hadi 8,691 mwaka 2023. Mjini Magharibi inatajwa kuwa na matukio...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania JF POLL: (Nini sababu ya kuongezeka kwa Atheists na Non-Believers miongoni mwa vijana hapa Tanzania). Majibu ya poll ni baada ya masaa 24

    Andika namba kwenye comments. Namba ambayo itatoa ufafanuzi halisi ya majibu ya swali lililoandikwa kwenye kichwa cha uzi huu. 1: Kuongezeka upotoshaji katika dini 2: Kuongezeka kwa hali ngumu ya maisha ikiandamana na matumaini finyu au lah kabisa. 3: Maswali yasiyojibika vizuri na majibu...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Wafanyabiashara wakiskia tu tetesi za kuongezeka mishahara hapohapo tamaa inawashika wanapandisha bei bidhaa .

    Wamekaa kuvizia vizia siri za kawaida zivuje za ongezeko la maokoto.tuwe na Imani uwezo wa serikali utakapoongezeka basi hata kada za afya na elimu nanyi mtanufaika ishu kwa sasa ni wingi wenu ndo unaoleta wasiwasi tukisema tufanye kitu huko tutafeli V8 Tulizonunua zinahitaji wese. Liwe tu...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wivu unachochea kuongezeka hisia za mapenzi na nguvu za kijinsia

    Licha ya kuwa wivu una hasara nyingi, lakini pia miongoni mwa faida za wivu ni kuchochea hisia, hamasa, nguvu na hamu zaidi ya kimapenzi.. Fikra, mawazo, nguvu, akili na uwezo wote wa muhusika huhamia kwenye mapenzi.. Kule kujiamini na ubinafsi anaokuwa nao muhusika dhidi ya anae mzengeazengea...
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka matukio ya ulawiti Tanzania kunaashiria nini!?

    Kwa Sasa imekuwa ni kawaida kusikika matukio ya watu/watoto wadogo kulawitiwa. Najiuliza kama ni matukio yameongezeka ama utoaji taarifa ndiyo umekuwa mkubwa hivi Sasa!!?? Lakini pia Kuna jambo linaashiriwa Kwa kuongezeka Kwa matukio hayo. Jee ni malezi mabaya au ni Imani za kishirikina ndizo...
  18. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Dahlia Majid: Kufanyike Uchunguzi huru kuongezeka mauaji yanayohusisha Polisi

    Chama cha ACT-Wazalendo kimetaka uchunguzi wa Kamati ya Kibunge juu ya vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu vinavyofanywa na Jeshi la Polisi na magereza. Kimetaja vitendo vya utekaji, uteswaji wa watuhumiwa na ushirika wa Jeshi la Polisi kwenye matukio ya mauaji ya rai vimerudi kwa kasi...
  19. Msukusu

    JamiiForums Tanzania Viboko Mashuleni Kukomeshwa, Je Imechangia Kwa Maadili Kuporomoka Au Maadili Mema Kuongezeka?

    Wakubwa habari zenu mimi ni kijana wa 30+ na hivi karibuni natarajia kupata mtoto wa pili, majaliwa ya mwenyezi mungu. Haya tujikite kwenye mada hapo juu, kwa jamii ninayo ishi nimeshuhudia vitendo viovu na maadili mabaya hasa kwa wadogo zetu, wengine watoto ambao unao uwezo wa kumzaa...
  20. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Nini mtazamo wako kuhusu kuongezeka kwa kasi kwa wachekeshaji Tanzania?

    Bila shaka utakubaliana nami kwamba, kwa kipindi Cha hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la comedians Tanzania ukilinganisha na miaka ya nyuma kidogo, zamani comedian wengi walikuwa agego, yaani wenye umri mkubwa kidogo japo hata Vijana wachache walikuwemo. Lakini ni tofauti kabisa na...
Back
Top Bottom