Mbunge wetu kutoka Jimbo la Kyerwa, Innocent Bilakwate,amekuwa bungeni Kwa mihula miwili, Vipindi vyote hajawahi kuchangia hoja au mawazo yoyote bungeni,
Mbunge wetu hajawahi kutuliza swali la msingi wala la nyongeza bungeni,
Tukimuuliza vipi mbona bungeni hatukusikii na bunge liko live...