kuondoka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Athari Tatu za Kuondoka kwa Lewis Hamilton Kutoka Mercedes

    Mercedes Benz ilimpa Lewis dola milioni 100 kwa miaka miwili na akakataa offa yao. Mercedes Benz, ikagoma katukatu kumpa Sir Lewis Hamilton nafasi ya ubalozi. BONGE LA MISTAKE! Ferrari haikumpa dola milioni 100, lakini iliwekeza dola milioni 446 kwa Sir Lewis Hamilton na taasisi zake za...
  2. Wahalifu waliowatumbukiza Wazazi kwenye shimo la choo kisha kuondoka na mtoto wakamatwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limefanikiwa kumpata mtoto mwenye umri wa miezi sita aliyechukuliwa na watu wasiojulikana, baada ya kuvamia nyumba ya Melksedek Mrema na mkewe Joan Gabriel, ambao nao wakati wa tukio hilo walitupwa kwenye mashimo ya choo, kabla ya watuhumiwa kuondoka na mtoto huyo...
  3. Jeremiah Masanja: Mbowe "Atalazimishwa kuondoka CHADEMA". Lissu namfahamu tumesoma naye, Mbowe namfahamu tumecheza naye muzik Billcanas Club enzi hizo

    https://youtu.be/WhlUbdvI5CA?si=6EYlRBSl4ZN0QnT5 Akihojiwa na SAUT DIGITAL, Mwanasiasa na mwanachama mwaminifu wa CHADEMA, jirani yake Tundu Lissu huko wanakoishi kwa takribani miaka 21 Mzee Jeremiah Masanja ametoa maoni na mtazamo wake juu ya hali ya CHADEMA sasa na wagombea uenyekiti wawili...
  4. R

    Je, kuna kiwanda hapa kinatengeneza bati za aina ya "Standing seam" ? Picha.

    Kwa muonekano ni kama Msauzi. Tofauti zinaficha screws / misumari hivyo kuondoka kabisa uwezekano wa kuvuja. Njia mbali mbali za kupaua hizi bati ( Standing Seam ) hizi hapa.
  5. Haitatokea CCM kuondoka madarakani kwa sanduku la kura na karatasi. Never. Acha kujidanganya, CCM watatawala mpaka sisi vijana tuwe wazee

    Umri wangu huu nakaribia miaka 40, nina miaka 25 mbele kustaafu, kama sitaacha kazi basi nitastaafu CCM ikiwa bado madarakani. CCM kimekamata % kubwa ya Watanzania. Hata kura zihesabiwe kwa haki kabisa CCM bado wana miaka zaidi ya 20 ya uhai mbele. CCM ni kama kanisa la RC, wasabato wanavuna...
  6. Songoro: Hatujapokea barua ya Simba SC kutaka kuondoka KMC Complex

    Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Songoro Mnyonge amezungumza na kituo cha Redio, E Fm kufuatia taarifa za Simba kutaka kuhama katika Uwanja wa KMC Complex. Soma, Pia: Klabu ya Simba SC ipo mbioni kuhamishia mechi zake uwanja wa AZAM complex- Chamazi mara baada ya Yanga kuhamia KMC complex
  7. Kenya ni taifa la wakoloni, hawajawahi kuondoka

    Kenya ni taifa ambalo halijawahi kuupata Uhuru wake hata kidogo. Hata Mzee Jaramongi Odinga alipoandika kitabu chake cha "Not yet Uhuru" alimaanisha lakini walimpuuza. Wakenya ni wakimbizi kwenye taifa Leo, wanazalisha kwa manufaa ya wakoloni. Wakenya ni manamba kwenye nchi za wakoloni na...
  8. Ni mtu mjinga ndo anaweza kusema CCM itatawala milele , jibu ni wakati wa CCM ukifika kuondoka itaondoka kama MBOWE.

    Leo mgefikiria mtu Kama Mbowe kukataliwa na kila mtu . Hii ni weak up call kuwa katika kila kitu kuna majira yake . Hivyo ikifika wakati wa Ccm kuondoka wataondoka . Ni swala la muda tu.
  9. A

    Mbowe; Mchezaji mzuri asiyejua muda sahihi wa kuondoka jukwaani?

    UTANGULIZI Katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi mkuu, tumeshuhudia purukushani, vuta nikuvute ya ugombezi wa nafasi mbalimbali za kisiasa katika vyama, hasa vyama vya Upinzani. Zoezi hili, liliambatana na uchaguzi wa Serikali za mitaa, Vitongoji na Vijiji, pamoja na Wajumbe, ambapo CCM...
  10. L

    Baada ya Kumalizika Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA Lissu Atahama na kuondoka Zake

    Ndugu zangu Watanzania, Hifadhini sana huu uzi,shikeni sana haya maneno yangu,kaeni na hili andiko katika kumbukumbu zenu,kaeni na jiandaeni kwa jambo hilo na tambueni ya kuwa Baada ya uchaguzi wa CHADEMA kumalizika ngazi ya Taifa hapo Mapema Mwakani .mtashuhudia Lissu akihama na kuondoka...
  11. Marcus Rashford asema yupo tayari kuondoka Man United ili kupata changamoto mpya

    Mshambuliaji wa #ManchesterUnited, Marcus Rashford amesema yupo tayari kupata changamoto mpya nje ya klabu yake na kusisitiza kuwa hata ikitokea ameondoka hatajisikia vibaya. Amesema hayo wakati ambapo amepoteza nafasi katika kikosi cha kwanza chini ya Kocha Ruben Amorim, pia inadaiwa kuna...
  12. Boniface Jacob: Anayetaka kuondoka aende, CHADEMA haiwezi kufa

    " Kuna lugha ukianza kuongea tunajua huyu mbona sio mwenzetu, Chadema tunajuana". " Kuna wengine wanasema liwalo na liwe tupasue mtumbwi tugawane mbao " "Ukianza kuongea mambo yetu ya ndani kwa watu, sisi tunajua wewe sio mwenzetu, Chama hiki hakiwezi kufa kwa sababu ya mtu, anaetaka kuondoka...
  13. L

    Biden ahangaika kutimiza ahadi yake ya kufanya ziara barani Afrika kabla ya kuondoka madarakani

    Rais Joe Biden wa Marekani wiki hii alifanya ziara ya siku tatu nchini Angola, akihangaika kutimiza ahadi ya “kufanya ziara barani Afrika ndani ya muhula wake” kabla ya kuondoka madarakani muda mfupi baadaye, jambo ambalo linawafanya watu watilie shaka juu ya udhati wake. Katika kipindi cha...
  14. Simba SC kuondoka nchini Jumatano kwenda Algeria kwa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine

    Kikosi cha timu ya Simba SC kinatarajiwa kuondoka nchini Jumatano alfajiri (Disemba 4) kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Akizungumza kuhusu safari hiyo, Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally, amesema kuwa...
  15. Urusi yadondosha vipeperushi kwa wakazi wa Kiev, na kuwaonya kuondoka majumbani mwao la sivyo wakabiliane na mashambulizi ya anga

    Wanaukumbi. Urusi yawadondoshea vipeperushi wakazi wa Kiev, na kuwaonya waondoke majumbani mwao la sivyo wakabiliane na mashambulizi ya anga.. =============== ⚡️BREAKING Russia drops leaflets on residents of Kiev, warning them to leave their homes or face airstrikes...
  16. Kama amedhamiria kweli kuondoka mwache aende.

    Kama amedhamiria kweli kuondoka mwache aende. Wapo watu wengine kuondoka kwao ndio mwanzo wa maisha mengine mazuri zaidi nje ya huyo mtu aliyeondoka au uliyemuondoa Maana matokeo ya upendo wa kuhurumiwa kwasababu ulimng'ang'ania basi utakufanya kuwa mtumwa na utakuwa umechagua maisha...
  17. Kama Unaona Dalili hizi 7 katika Mahusiano yako anza Kufikiria Kuondoka

    Kama mahusiano yako yanakufanya ujisikie kuchoka na hauna raha,basi si wakati muafaka kwako kuendelea nayo Kama unajikuta kila unachofanya ni kwa ajili ya kuhakikisha mahusiano yako yanaendelea basi jua unapoteza namna ya kufanya mambo yako mengine,kwa maana nyingine umepoteza uhuru wa kufanya...
  18. U

    Furaha ya Simba ni Gamondi kuondoka Yanga

    Kocha Muargentina Miguel Gamond, a.k.a Mzee wa "FOR ME" amesababisha tatizo la kisaikolojia Kwa Mashabiki na Viongozi wa Simba , ambao wao wanaamini mafanikio ya club yao mchawi wao ni Miguel Gamond, Mzee wa For Me. Miguel Gamond anatengenezewa Zengwe na Simba ili afukuzwe , na tegemeo lao ni...
  19. Tetesi: Djigui Diara aomba kuondoka Yanga dirisha dogo, adai hana furaha Jangwani

    Yule mdaka mishale kipa mahiri kabisa barani Africa,Djigui Diara amemwandikia wakala wake akitaka kumtafutia timu haraka dirisha hili dogo. Lakini wanasheria wake pamoja na wakala waliguna maana gharama za kuvunja mkataba ni zaidi ya milioni 500. Diara anadai hana furaha jangwani sababu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…