kuomba

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqqaro achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge jimbo la Babati Vijijini kupitia CCM

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqqaro amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge jimbo la Babati vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi-CCM
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwita Waitara achukua fomu kuomba ridhaa CCM kuwania Ubunge Tarime Vijijini

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI), Mwita Waitara amechukua fomu kuomba Chama Cha Mapinduzi- CCM kimpitishe kuwania Ubunge Tarime Vijijini Mkoa wa Mara. Mwita Waitara 2015 alikuwa Mbunge wa Ukonga kupitia CHADEMA kabla ya kuhamia CCM na kutetea kiti chake...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Profesa Kitila Mkumbo achukua fomu kuomba ridhaa ya CCM kumteua kugombea Ubunge Ubungo

    Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo, amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kimteue ili aweze kugombea Ubunge katika Jimbo la Ubungo kupitia CCM.
  4. JamiiForums Tanzania Je, RITA wameshaanza kuhakiki vyeti vya kuzaliwa kwa wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?

    Habari wana jf, Husika na kichwa cha uzi naomba kujua kama RITA wameshaanza uhakiki wa vyeti kwa njia ya mtandao kwa vijana wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB? Pia naomba kujua kama bodi ya mikopo,HESLB kama tayari wameshatoa vigezo vitakavyotumika mwaka huu? Nawasilishà. #jEshi.
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Profesa Ndalichako achukua fomu kuomba ridhaa Ubunge jimbo la Kasulu Mjini

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako, leo Julai 14, 2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa chama chake ili kiweze kumteua, aweze kugombea Ubunge katika jimbo la Kasulu Mjini kupitia CCM. ==== Joyce Ndalichako alikuwa mhadiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia 2000...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Fred Lowassa achukua fomu ya kuomba ubunge Monduli kupitia CCM

    Fred Lowassa ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa achukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Monduli jijini Arusha. ====== Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Monduli, Langael Akyoo, leo Jumanne July 14,2020 amemkabidhi Fredrick Lowassa fomu ya kuomba ridhaa ya Chama...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Abbas Tarimba achukua fomu ya kuomba ubunge Kinondoni, Usaliti wa Mtulia wafika ukingoni

    ======= Abbas Tarimba ambaye alikuwa Diwani wa Kata ya Ananasif, amechukua fomu za kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge katika Jimbo la Kinondoni.
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM. Adskofu Gwajima pia amewahi kutunukiwa Shahada ya Uzamivu (Doctor of philosopy in Theology...PhD), ambayo ameisomea katika Chuo cha Omega Global University...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Frank Mwakajoka arejesha fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea Ubunge jimbo la Tunduma

    Habari kamili hii hapa Frank George Mwakajoka ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Tunduma kwa miaka mitano ( 2015 – 2020.) Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi Milanzi kuanzia mwaka 1981-1988.
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 John Mrema arejesha fomu ya kuomba Ubunge wa Jimbo la Segerea - CHADEMA

    Hakuna haja yoyote ya kumwelezea huyu mtu, anafahamika, kikubwa ni kutambulisha jimbo analolinyemelea , baaaasiiii == John Mrema ni Mkurugenzi wa mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi ndivyo Daniel Naftali alivyorejesha fomu ya kuomba Ubunge Kwela

    Daniel Naftali alikuwa Mgombea Ubunge Jimbo la KWELA kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 Daniel Naftali. Huyu kijana alinyang'anywa ubunge 2015 kwa mtutu wa bunduki. Kila mwananchi wa jimbo lake anafahamu kwamba alishinda kwa kishindo, bali ulifanyika uchakachuaji wa kishamba sana, wengi...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya Heche na Matiko kurejesha fomu za kuomba Ubunge, Tarime yafumuka kwa shangwe, mitaa yafurika wananchi

    Ushahidi huu hapa
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Namba 06: Aliyewahi kuwa Meya wa Jiji la Dar, Isaya Mwita amechukua fomu kuomba ridhaa kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Aliyewahi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar, Isaya Mwita amekuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya Urais Tanzania kupitia CHADEMA Isaya anayekuwa mgombea wa 6 kuchukua fomu hiyo Kaulimbiu yake ni "Mageuzi ya mfumo wa elimu, upanuaji na uongezaji wa ajira kwa vijana na...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Jesca Kishoa achukua fomu ya kuomba Ubunge jimbo la Iramba Magharibi - CHADEMA

    Wasifu Jesca David Kishoa ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020. Elimu Ruaha IringaDegree20102013Bachelor Degree Dr. Salmin Secondary SchoolCSEE20042007Secondary School Hijra...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Mstahiki Meya wa Ubungo Boniface Jackob achukua fomu ya kuomba ubunge wa Jimbo la Ubungo kwa Kishindo

    Maneno matupu hayavunji mfupa .
  16. JamiiForums Tanzania Habari ya ITV iliyowang'oa DED na DC Mvomero: Vyombo vya habari kutakiwa kuomba ruhusa kabla ya kurekodi na kutangaza habari

    Mvomero Morogoro: Wanafunzi wapatao 733 Wanakalia Viroba juani kutokan ana madarasa kuchakaa
  17. JamiiForums Tanzania TAKUKURU Singida yamfikisha Hakimu kizimbani kwa kuomba na kupokea Rushwa

  18. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe: Hatuendi kwenye uchaguzi kuomba kuwa Chama Kikuu cha Upinzani, tunatafuta dola

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mhe. Freeman Mbowe amesema, kuna baadhi ya vyama vya siasa na wanasiasa hasa wanaCCM wanasema tuachane na Urais tujiandae kwa Ubunge na Udiwani, Mbowe anasema stage ya kuwa chama kikuu cha Upinzani wameshaipita wanaingia kwenye uchaguzi mkuu...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Utaratibu wa uchukuaji fomu kwa Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani wa CHADEMA sasa hadharani

  20. JamiiForums Tanzania Tunaotaka kuomba Bachelor degree vyuo mbalimbali 2020/2021 tukutane basi

    Vijana wenzangu naona Siku zinakwenda mbio, form 6 ndo hao washaanza mitihani na kwa wale waliopo vyuo vya kati kumalizia diploma naona semester ndo hvyo tena inakatika mdogomdgo. Bila shaka next month(July) bodi ya mikopo wataanza kutoa announcement about uombaji wa mikopo mwaka huu. Hv...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…