kuomba msamaha

  1. PostGE2025 Ninamuunga mkono Jimmy Mafufu kuwa hakuna sababu ya wasanii kuomba msamaha kwa yeyote kwa sababu hakuna walipokosea

    Yote niliyotaka kuandika tayari kayasema komredi Jimmy Mafufu. Msanii wa filamu Jimmy Mafufu ameibuka na kukanusha kuomba radhi, akisisitiza kuwa hawakufanya kosa lolote linalohitaji kuombwa msamaha. Amesema kuwa hata kama wananchi wataamua kutoendelea kununua kazi zao, bado wao wataendelea...
  2. Naamini serikali itakuja kuomba msamaha direct or indirect but najua hili swal linawaumiza

    Najua serikali hili swala linawamiza sana sema ndo hivo nani amfunge paka kengele? Aje hadharani atubu ni ngumu ila kuna mambo watafanya indirect mazuri na wananchi watasahau alafu maisha yatendelea naomba tumpe mama mda alafu tuone najua anaumia ndo mana Mapaka leo bdo hajaja Dar...
  3. SI KWELI PreGE2025 Askofu Gwajima ameandika barua kuomba msamaha kwa Rais na Watanzania

  4. Kenya:Hivi polisi wanafikiria kuomba msamaha ni jambo rahisi wakishatenda

    Sio Kenya tu hata Tanzania ni jambo rahisi kukanusha mpaka waziri leo wa fedha kusema yale magunia yaliyo wekwa watu yenye chapa ya tanzania kuwa yalitupwa baharini. Hivi unawezaje kujibu majibu rahisi kama hayo. Sasa Kenya baada ya kuona mada imekuwa ngumu polisi anaomba msamahaa yani kesi...
  5. Muasisi wa neno Ponjoro ajiandaa kuomba Msamaha

    Aliyekua anaita wenzie Ponjoro. Yupo katika hatua za kuomba rasmi msamaha. NB: Achekae mwishoni ndio hucheka zaidi (he who laughs last laughs best)
  6. Rais Ruto: Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa namna yoyote ile, Mtusamehe

    Rais William Ruto: "Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa njia yoyote ile, Mtusamehe... Kwa marafiki wetu nchini Uganda, ikiwa kuna jambo lolote baya Wakenya wamefanya, tusameheeni. Kwa watoto wetu, kama tumekosea kwa namna yoyote ile, tunaomba msamaha." == President William Ruto...
  7. Nihurumie Asuu wangu, iwapo nimekukosea

    Wanawake na vijana wa siku hizi, huwa mnaombaje msahaha kwa wapenzi / wenza wenu. Njooni mnipe mbinu zenu mpya za 2025. Sisi mabinti wa zamani, ukiona umekosea unatafuta kale kanight dress kako kepesi unakavaa halafu unafunga kitenge juu. Akirudi toka kazini anakuta umempikia chakula chake...
  8. Nguvu ya msamaha kama tiba ya kweli maishani mwako

    KUSAMEHE NA KUTOLIPA KISASI NI KWA AJILI YA FAIDA YAKO BINAFSI ❤️🌹🍎 Kusamehewa walio tukosea ni jambo gumu sana, ila ni la muhimu sana pia. Ktk hii dunia lazima utakutana na watu wabaya ktk maisha yako.Unaweza kuwatendea mema sana wanadamu,lakini wao watakufanyia mabaya au ubaya kama malipo...
  9. Usije kujaribu kumuomba msamaha mwanamke hata kama umekosea!

    Eti ni udhaifu 🤷🏾 Hivi ni kweli wanaume mnafikiri kwa namna hii au ni baadhi tu ya vijana wasiojielewa? Kama humuombi mkeo au mpenzi wako msamaha ukikosea, huwa unamalizaje migogoro kwenye mahusiano yako? Mwisho kabisa, Je, ni sahihi kwa huyo mwenza wako pia kutukukuomba msamaha akikosea, au...
  10. Msamaha: Huwa ni ngumu wewe kuomba msamaha? au huwa ni vigumu sana wewe kuombwa msamaha?

    Kuna tabia ya baadhi ya watu kuwa wagumu kuomba msamaha wakiwa wamekosea, Huwa ni ngumu kwako kuomba msamaha au huwa ni vigumu wewe kuombwa msamaha, kipi kinatokea mara kwa mara kwa upande wako?
  11. E

    RC Chalamila alikosea na alipaswa kuomba msamaha sio kujieleza

    Habari JF , leo katika pitapita zangu nimekutana na kauli iliyozua maswali mengi sana kutoka kwa RC Chalamila , kwa ataeshindwa kununua gloves akajifungulie nyumbani . Kimsingi inawezekana ni kauli sahihi katika mambo mengine ya afya lakini katika suala la uzazi ambalo lina faida kwa Serikali...
  12. S

    Mungu kama upo unapaswa kuniomba msamaha

    Habari wanajamiiforums? Leo nina kesi na Mungu, Kama yupo kweli anapaswa aniombe msamaha. Sijawahi kumkosea kwa chochote ila yeye amenikosea mara nyingi zaidi. Pia, Sikumuomba anilete duniani, ila yeye alinileta bila ridhaa yangu kisha aninyime kila ninachostahili. Mungu toka ulipo uje...
  13. LGE2024 Mwanza: Aliyepiga magoti kuomba msamaha kwa wapiga kura, ameibuka kidedea wa nafasi ya uenyekiti wa Mtaa wa Calfonia

    Fadhili Nassoro (CCM) ameibuka kidedea wa nafasi ya uenyekiti wa Mtaa wa Calfonia, Kata ya Nyegezi jijini Mwanza kwa kupata kura 1,649 kati ya kura zilizopigwa 2,198. Akitangaza matokea leo Jumatano Novemba 27, 2024 msimamizi wa uchaguzi, Christer Nyikizeha, amesema waliojiandikisha kupiga kura...
  14. O

    Haji Manara anahitaji kuomba msamaha, asema sababu ya kuondoka Simba ni Try Again na si Barbara wala Mo Dewji

    Baada ya kumsikiliza Haji Manara leo katika Radio ya Clouds, kaongea mengi lakini hakuna jipya ila kuna kitu kimenigusa. Leo kasema nitawaambia ukweli sababu kuu ya mimi kuondoka Simba ni Try again sio Barbra wala Mo. Je baada ya hii kauli haoni sababu ya kuwaomba msamaha rasmi Mo na Barbra...
  15. Hivi ungekuwa wewe ungefanya haya kweli? Hivi huu ndio utaratibu wa kuomba msamaha? Hao wanaoombwa msamaha hawajawahi wakosea waomba msamaha?

    Inaonekana kuwa kwenye Misa Takatifu huko kwenye Parokia ya Matosa, waume wamelazimishwa na Padri kuwaomba msamaha wake zao kwa namna ya 'udhalilishaji'. Nasema wamelazimishwa, kwani sidhani kama walikuwa radhi kufanya hivyo mbele ya watu. Na ni 'udhalilishaji' kwa sababu jambo limefanyika...
  16. Wakili Ogola asema “Kitendo cha Gachagua kuomba msamaha inaweza kutumika kama amekiri kosa”

    Wakili Steve Ogola amesema uamuzi wa Naibu Rais, Rigathi Gachagua kuomba msamaha kwa bosi wake, Rais William Ruto unaweza kuchukuliwa kuwa ni sehemu ya kuthibitisha ana makosa. Gachagua anatarajiwa kuhojiwa na Bunge kuhusu tuhuma mbalimbali ikiwemo utovu wa nidhamu, Rushwa, kukiuka katiba...
  17. Naona waarabu wameanza kuomba msamaha

    Mbona wanatoka na haya hadharani sasa badala ya Oct 6 mwaka jana? Mshtuko huu na kujitolea kwa Israel salama kulikuwa wapi wakati ilionekana kama Israel ndio ilikuwa karibu kuangamizwa mnamo Oktoba 7? Sina shaka na maneno yake au unyoofu wake, ninashangaa tu kwa nini anafadhaika zaidi kuhusu...
  18. L

    Tanzania iitake VOA kuomba Msamaha kwa habari yake ya Uzushi na Uongo

    Ndugu zangu Watanzania, Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya kizushi, uongo, fitina, uchonganishi na yenye kuichafua serikali pamoja na Rais wetu. Hii ni kwa kuwa...
  19. Serikali inapaswa kuomba msamaha vijana kwa kuwakosesha fursa ya kuajiriwa kwenye vikosi vya ulinzi na usalama kwa zaidi ya miaka 8 nchini

    Kupitia bunge leo kupiga kura ya kuadhimia kuondoa kipengele cha sharti mwajiliwa wa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama kupita jkt au jku, serikali inapaswa kuomba msamaha maana kigezo hiko kimekoseha maelfu ya vijana kupambania fursa ya kuajiriwa kwenye vyombo hivyo. Imagine mtu aliyemaliza...
  20. Je, nimekosea kuomba msamaha?

    Niliwahi kuwa kwenye mahusiano na binti fulani ambae alikuwa nami bega kwa bega. Kuna muda tulitengana lakini alikuwa ana tabia ya kunitafuta na kunisalimia, hata kama utapita mwezi au miezi miwili lakini lazima tu atanitafuta na kunisalimia na mimi namjibu vizuri kabisa. Ingawa alikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…