kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Umeme uliokuwa unapelekwa mikoa ya kaskazini utapelekwa wapi baada ya kununua mwingine kutoka ETHIOPIA?

    Mkulima analima mahindi. Baada ya kuvuna, anapata uvivu wa kupeleka mashineni yasagwe na kupata unga wa kula kwa kuona kwamba ni gharama kuyaosha na kuyaanika juani na baadae kuyasaga. Anaamua kuyauza na kisha kwenda dukani kwa mangi kununua sembe. Nauliza, umeme uliokuwa unapelekwa mikoa ya...
  2. P

    Rais nakushauri tu achana na hii biashara ya kununua umeme Ethiopia

    Tunashuhudia unyanyasaji mwingi katika hizi za kutegemea huduma kutoka nchi zingine hususani pale ambapo mausiano ya kidiplomasia yanapozorota. Lakini pia Tanzania kwa sasa tunazalisha umeme zaidi ya maitaji yetu sasa mtu unapata ukakasi wa kuanza kununua kitu unachokizalisha. Kwa vyovyote...
  3. S

    Uchambuzi wa Kiufundi naunga mkono nchi yetu kununua umeme kutoka inje nchi kuliko kusafilisha hadi kaskazini

    Nayazungumza haya nikiwa kama fundi mzoefu katika sekita ya umeme! Nimeona mijadala watu wakilalamika kwanini nchi inataka kununua umeme kutoka inje kwa mikoa ya kaskazini wakati ina umeme wa kutosha? Ni kweli nchi ina umeme wa kutosha lakini haina maana kwasababu umeme upo wa kutosha basi...
  4. Nawapongeza BOT kwa kuanza kununua dhahabu.

    Nimesikia kuwa benki kuu ya Tanxania imeanza utaratibu wa kununua na kuhifadhi dhahabu. Walianza mwaka jana na mpaka sasa wamenunua tani 2.6 kwa bilioni 570. Lengo lao ni kununua tani sita kila mwaka. Wanataka Tanzania iwe miongoni mwa nchi kumi za Afrika zenye akiba kubwa ya dhahabu. Kongole kwao.
  5. Kanuni mbili za kwenda sokoni kununua bidhaa

    Kuna watu wakienda sokoni wanajikuta wananunua bidhaa nyingine (nyingi) ambazo hawakupanga kununua, hayo ni matumizi mabaya ya pesa. Zifuatazo ni kanuni kuu mbili za kwenda kununua bidhaa sokoni. (1). IFAHAMU VIZURI BIDHAA UNAYOKWENDA KUNUNUA SOKONI: Usiende sokoni kichwa kichwa, utapigwa...
  6. O

    Wakuu hivi viti vya kuzunguka havina kesi yoyote nataka kununua ila nahofu

    Nikiviangalia sijui muundo wake lakini kwa chini naona Kuna chuma kimepita Sasa hakiwezi kutoka za mbao na kuleta balaa , embu tuambie, je muundo wako ukoje
  7. Wakaanga kitimoto huwa wanagharimika kununua mafuta ya kukaaingia au inajikaanga yenyewe?

    Hii nyama huwa ina mafuta sana. Hivi wakaanga kitimoto cha biashara huwa wana uhitaji wa kununua mafuta ya kukaangia au mafuta ya kitimoto chenyewe yanatosha kukaangia?
  8. Tabia ya kwenda kwenye maduka karibu na nyumbani kwako kununua tuvitu kama nyanya, Kitunguu inatia aibu sana

    Nimejikuta napata ubaridi baada ya kurejea maskani kwangu I mean home safari za dukani zimenisikitisha sana. Wadau inawezekana tunatofautiana utaratibu wa kibajeti. Napenda kununua Michele, Mahindi,maharagwe, sukari, mavitunguu nk nk Sometimes nikiwa nyumbani say weekend ndefu, nalala kama...
  9. Ipi rahisi, nafuu na salama zaidi kati ya kununua gari showrooms na kuagiza kutoka ng'ambo?

    Hebu mshauri mTanzania huyu anaekusudia kununua usafiri wake wa gari dogo sasa hivi. Ipi njia rahisi kwake kununua gari kwa urahisi, kwa unafuu wa fedha na muda na kwa usalama zaidi kati ya kuagiza kutoka ng'ambo na kwenda kuchagua tu sehemu mbalimbali yanapuuzwa magari nchini? Kwa niaba ya...
  10. Kwahiyo ndo hamtaki kununua Pc yangu wakuu? Price 280k mshindwe nyie sasa.

    Pc bei kigonga kabisa 280k. Hp Pro book. Proccessor Intel-Pentium (7th Generation) Ram 8gb, Hdd 500gb, battery 4hrs uhakika. Price 28k maongezi yapo 0628116693
  11. Kwanini Congo haiwapigii kelele Waarabu na Wachina waache kununua madini kutoka Rwanda?

    Wateja wakubwa wa bidhaa zote za Rwanda kuanzia madini, kahawa hadi chai kwa nje ya Waafrika ni Waarabu wa UAE na China. Katika kelele zote za Congo kutaka watu wasitishe kununua bidhaa za Rwanda wanazipigia nchi za Ulaya na Marekani! Huu mbona kama ni mkanganyiko! Kwa nini Congo isiwabane UAE...
  12. Ukiwa na mapesa unaweza kununua kila kitu, isipokuwa mambo haya

    Ukiwa na Mapesa HUWEZI... 1️⃣ Kununua Wokovu – Wokovu wa Mungu haupatikani kwa fedha bali kwa imani katika Kristo Yesu. (Waefeso 2:8-9) 2️⃣ Kununua Amani ya Moyoni – Amani ya kweli inatoka kwa Mungu. (Yohana 14:27) 3️⃣ Kununua Upendo wa Kweli – Upendo wa dhati haupatikani kwa pesa. (1...
  13. N

    Kundi la Wawekezaji wakiongozwa na Elon Musk wametoa ofa dola bilioni 97 kununua OpenAi

    Elon Musk pamoja na wawekezaji wengine wametoa ofa ya kununua OpenAi kwa dola bilioni 97 na ushee. OpenAi ilianzishwa mwaka 2015 kama nonprofit na Sam Altman, Elon Musk na wengine. Lakini Elon Musk alijiondoa baadae na kuwa adui wa Altman. Altman ndio CEO wa OpenAi kwa sasa. ============ CEO...
  14. CHADEMA sijui mnafeli wapi? Mnashindwa Nini kununua vifaa vya wajawazito na kuwagawia akina mama bure

    CHADEMA mnafeli padogo sana katika harakati zenu za kisiasa mnadhani kwamba mkiikaba serikali ndio mtafanikiwa serikali Inanguvu sana hamuna uwezo wa kushindana nayo Hivi nyinyi ni wanasiasa gani ambao hamjui kiboko ya serikali ni wananchi tena ni wale wananchi wa Hali ya chini na katika hao...
  15. Ni kweli kununua usafiri kwa mtu (used) kunaweza kuwa na mikosi ya kupata ajali?

    Habarini Waungwana, kutokana na changamoto ya usafir, ivi Karibuni nilimshirikisha rafiki yangu kua nataka nijichange ninunue Pikipk used, TVS (angalau namba D). Yeye alishauri Bora ninunue MPYA. Aliniambia Used sio Nzuri, zinaweza kua ma mabaa ama mikosi, Hujui kwanini ameiuza huenda imegonga...
  16. Mkutano wa Nishati; Tuutumie kwa kuneemesha Wananchi tuna Uwezo wa Kuwauzia Umeme Afrika nzima wala hatuna Sababu ya Kununua Gesi kutoka Nje

    Uwezo tunao ingawa sina uhakika kama tuna Nia.., Nilishasema kitambo kwa Kutumia Tanesco tuna uwezo wa kufanya mwananchi akatumia Umeme kwa bei ndogo (mfano kupikia kwa gharama ya chini ya Tshs 100 mpaka 0/=) na kuuza ziada kwa nchi nyingine...
  17. Nimeenda kununua hizi Mali ,nikaingia nazo kwenye dalala aisee Nikasikia wanaanza kusali🤣🤣😂😅😆

    Nimeenda kununua hizi Mali ,nikaingia nazo kwenye dalala aisee Nikasikia wanaanza kusali🤣🤣😂😅😆 Kisha wakamwambia konda anishushe,eti Mimi sio mtu WA kawaida Jamani weusi wenzangu acheni ushamba WA vitu vya mzungu Ungo KWA ajili ya kupepetea mchele Tunguli KWA ajili ya kunywea maji Chungu...
  18. M

    Bilioni 11 kununua taa tu?

    Great thinkers na wataalamu wa taa hii gharama ni Sahihi au watu wanakusanya za uchaguzi?
  19. D

    Kwa mahitaji ya nyumba au apartment za kupanga au kununua kwa Dar es salaam na Arusha

    KAMA UKO DAR AU ARUSHA UNAUHITAJI WA NYUMBA AU APARTMENT YA KUPANGA AU KUNUNUA TUPIGIE 0772959929
  20. U

    Marekani haijaanza leo kutamani kununua kisiwa cha Greenland, mwaka 1946 Marekani ilitoa dolla millioni 100 kwa Denmark ili kununua kisiwa hicho

    Wadau hamjamboni nyote? Mchakato uliongozwa na Waziri wa mambo ya nje James Byrnes. Marekani ilitoa ofa ya dola million 100 million Kwa Serikali ya Denmark ili kuinunua Greenland. Pia Marekani imewahi kutaka kukinunua kisiwa cha Greenland mara kadhaa katika miaka ya 1867, 1910, 1946, 2019 na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…