kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Uza na kununua

    Tuuze na kununua hapa, sema unataka nini na bajeti yako ikoje pia wewe unayeuza toa taarifa za unachouza kwa ushahidi na useme wewe ni dalali au mmiliki wa unachouzwa. Tuuze kuanzia nafaka, mashamba, viwaja, vifaa mbalimbali, magri, nk. PIA kama unataka kujua mahali/duka utakapopata kitu fulani...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua thamani ya coin unayotaka kuinunua

    Kwa kawaida, watu wengi, hasa wale wanaoanza safari yao kwenye ulimwengu wa cryptocurrency, mara nyingi hupenda kuangalia bei ya coin. Wanafikiria, “Hii bei ni ndogo sana! Acha ninunue kabla haijapanda!” Lakini, rafiki, ngoja nikushike mkono na kukuonyesha siri kubwa ya soko hili kwani bei ya...
  3. JamiiForums Tanzania Nahitaji Kiwanja cha kununua

    habari wakuu naitaji kiwanja cha kununua maeneo ya kiluvya, kibamba, kimara, hata gobaau madale ndani ndani huko mashart ya kiwanja 1. kiwanja kiwe kinamilikiwa na mwenye kiwanja kihalali. 2. sqmt zianzie 400 3. budget iwe haizidi milion 5 4. gari liwe linafika hadi kwenye kiwanja 5.maji umeme...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kama michango ya kununua gari tu imemshinda Lissu kuitimiza. Sasa ni vipi atakusanya mamilioni ya pesa kwa ajili ya Uchaguzi na kujenga Chama?

    Ndugu zangu Watanzania, Kujenga chama siyo lelemama,siyo kazi nyepesi wala rahisi wala kazi ya Mzaha mzaha.kujenga chama na kuwafikia wanachama na kutafuta wanachama wapya na kueneza sera ,itikadi ,misimamo na ajenda za chama Ni kazi Ngumu sana. Ni kazi ya jasho na Damu,ni kazi ya kujitoa na...
  5. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Mojawapo ya faida ya maridhiano ni kununua jengo Mikocheni la Tsh Bilioni 1 na laki 6 taslimu

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo, Mbowe amesema kuwa mojawapo ya faida ya maridhiano ni chama hicho kununua jengo lao la Bilioni 1 na laki 6 ambalo liko Mikocheni. Mbowe amesema kuwa kupitia maridhiano na Rais Samia, CHADEMA waliweza kuanza kuchukua ruzuku ambazo ndizo zilitumika kununua jengo...
  6. JamiiForums Tanzania Kama hatulumchangia Lissu hela za kununua gari, kwa nini anaamini tutampa kura aqe Rais wa nchi?

    Mambo mengine ni kufanya tathmini tu ya kawaida, Lissu aliitisha mchango kwa nguvu kubwa sana, lakini alichopata ni cha kununua pikipiki ya SUN-LG. Anapata wapi nguvu ya kuamini tutampa kura?
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna "Unlimited Data" pasipo kununua kifaa cha ziada (WiFi)?? Au mimi ndio mshamba??....

    Good Afternoon Everyone. Eti wakuu, kwanini mtu akitaka kupata "Unlimited Data Access" ni mpaka anunue kifaa cha ziada kama vile Router?? Kwanini mpaka utumie WiFi?? Kwani kwa kutumia smartphones zetu hizi hizi pamoja na simcards za Vodacom, Tigo Yas, Airtel pamoja na Halotel hatuwezi kuwa na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ni baada ya muda gani naweza Kuuza vipande kwenye mfuko wa Liquid Fund baada ya kununua?

    Wakuu habari, ni muda gani naweza kuuza vipande kwenye mfuko wa UTT liquid Fund au mfuko wa Ukwasi, je naweza kuuza hata baada ya mwezi mmoja au miwili baada ya kununua ama ni mpaka meiezi mitatu au mwaka labda?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wale tuliokimbilia kununua viwanja Chato baada ya kuahidiwa mkoa je tuelekee utete kununua tena baada ya kuahidiwa kua mkoa?

    Wale hustlers Mnakumbuka baada ya tetesi Chato kua mkoa tulinunua viwanja vya beach bei Kali, Leo hii maeneo Yale yameshika hata wa kukupa milioni moja eneo la beach hayupo, Sasa na utete twende tukanunue au tupapotezee maana haya mambo huchanganya Sana Utete unakwenda kuzaa mkoa WA rufiji...
  10. JamiiForums Tanzania Unakuta mtu anamcheka mtu kwenda kwa mganga wa kienyeji ila yeye amepanga mstari kununua udongo

    "Ooh ukienda huko utapewa jini litakalokusumbua baadae" Anayesema hivyo ameambiwa atoe sadaka ya kujimaliza, anunue mafuta na maji na mchanga huku nabii wake akimuambia "usiogope, usiogope chochote" wakati yeye amezungukwa na mabaunsa na nje impaki gari ya milioni 250 inasumbiria kuondoka...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna usalama wa akaunti baada ya kununua bidhaa kwa kutumia MASTER card

    Nataka kufahamu km kuna usalama wa akaunti baada ya kununua BIDHAA kwa kutumia MASTER CARD za bank km NMB, CRDB nk kwenye mitandao km ALIEXPRESS, ALIBABA nk.
  12. JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniambia nimwandikie kurasa ishirini za sababu kwanini mpaka sasa nimeshindwa kununua gari

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mtafaruku ni Mkubwa. Huu mwaka naona unaisha vibaya Mno. Kama sitakuwa macho nyumba yangu inaweza kuvunjika. Sorry nianze kwa Salamu maana Leo mtanifaa Sana kwa ushauri Bora. Assalam alyekum kwa Waislam, Tumsifu Yesu Kristo kwa Waislam. Wapagani, salama...
  13. JamiiForums Tanzania Nahitaji gari dogo la kununua kwa bajeti isiyozidi milioni 6.6

    Nawasalimu nyote kupitia jina kuu lipitalo majina yote duniani na mbinguni. Kama kichwa cha Uzi kinavyo jieleza, nahitaji gari dogo lililotumika Kwa bajeti isiyozido ml. 6.6 Aina ya gari ninazopendelea ni Spacia, raum, runx/allex, probox/succeed, premo na ractis. Kama unayo, nitumie dm picha...
  14. JamiiForums Tanzania Bei ya kubadilisha dola leo ni Tsh 2418 kununua na Tsh 2442 kuuza. Je, hii ni dalili ya nini?

    Soma hapa:-
  15. JamiiForums Tanzania Influencer/brand ambassadors huwa wana ushawishi wa maana kwa watu kununua au kubadilisha bidhaa au huduma fulani?

    Mimi maji ninayopendelea kunywa tangu nafika Dar es Salaam ni maji brand ya Uhai, yalipokuja Hill water niliyapenda kwa sababu ya muonekano wa chupa yake na portability yake. Nimeona matangazo ya maji mengi lakini sijawahi kufikria kununua maji kwa sababu ya kushawishiwa na influencer...
  16. JamiiForums Tanzania Kununua mazao na kuweka ghalani

    Habari naomba mwenye uzoefu na biashara yaa kununua mazao na kuweka ghalani kisha kuuza baada ya msimu wa mavuno kuisha anishauri
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya biashara ya kuuza na kununua vitu used (furniture na electronics)

    Habari wadau wa JF kama mada inayojieleza hapo.. Natamani kuanza huu biashara kwa wenye uzoefu nayo nipeni ushauri nini vya kuzingatia
  18. JamiiForums Tanzania Umewahi kukejeliwa na ndugu jamaa na marafiki baada ya kununua ardhi maporini?

    Niliwahi kupokea kejeli miaka kadhaa nyuma baada ya kununua eneo maporini, niliwashirikisha baadhi ya ndugu na marafiki twendeni kuna viwanja vinauzwa na almashauri. Kejeli zao, nani akaishi mapori, huko wanaishi wanyama, mimi nikajilipua nikasema hii pesa yangu ngoja niiwekeze. Ni miaka nane...
  19. JamiiForums Tanzania kununua vipande UTT AMIS kwa airtel money najaribu ina goma!

    Naomba kujuzwa namna ya kuweka hela UTT kwa kutumia airtel money . Kila nikijaribu inataka niweke namba ya kampuny na mimi siijui
  20. JamiiForums Tanzania Vile nina mipango yangu ya kununua kiwanja alafu mtu ajipitishepitishe

    VILE NINA MIPANGO YANGU YA KUNUNUA KIWANJA ALAFU MTU AJIPITISHEPITISHE😜😜😜😜😜😜😜
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…