Hata ukienda na fundi ni ngumu kukagua matatizo yote.
Gari inaweza kukazwa vizuri unapoenda kuinunua na ukaitesti ukajisifu umevuta chuma ila kuna matatizo hutaweza kuyaona kwa muda huo, utayajua baadae
Gari kunywa sana mafuta
Enhine kumaliza oili haraka kila miezi mitatu unabadili
Gari...
Habari zenu,
Naomba msaada kwa mtu anayefahamu jinsi ya kuagiza gari nje, gari ndogo aina ya Ist, nimeulizia kwa makampuni ninayoyafahamu naona bei hazipishani na yard japo wanasema bei imepanda(17-18m)
Briefly, rafkiangu anataka kuagiza gari (mwenyewe)aina hiyo kupunguza gharama, bila...
Wakuu poleni na majukumu. Hapa nilipo najiona muda sio mrefu kuanzia saivi hadi miaka mitano ijayo nitaanza kumiliki fedha zingi yaani vibunda vya kutosha.
Naombeni ushauri gari gani la kuanza nalo kutafuta uzoefu wa road kati ya CROWN ATHLETES au SUBARU FORESTER XT.
Miaka kumi iliyopita nilikuwa na Mjonmba wangu akifanya Biashara zake Chanika huku anaishi Mbezi ya Kimara. Alikuwa na fedha kiasi fulani na familia yake ikiishi vizuri tu.
Kwa wakati ule alikuwa nauwezo wa kumiliki gari hata ndogo. Siku niliyomtembelea nyumbani kwake niliona shurba na kashi...
Uwe mkoani halafu uige watu wa kwenye majiji ununue mazda cx5. Range Rover, Ford, Volks-Wagen na gari nyingezo nje ya Toyota, jiandae maumivu !!
Wenzako ukiwaona wapo mikoani na wana push hizo brand mara nyingi huwa zinaenda kufanyiwa matengenezo na service Dsm na kwa mbali kidogo Mwanza na...
Wadau habari zenu..
Mimi ni mdada sijawahi kumiliki gari, ndo nataka kununua gari yangu ya kwanza
Nataka ninunue toyota IST old model.
Naombeni ushauri wenu.. ipi ni njia bora kuagiza nje au ninunue showroom za hapa bongo.
Na je, IST ya mwaka gani ndio bora zaidi. Na kampuni gani ni nzuri...
Kununua gari ya Range Rover ya milioni 150 kwa mshahara wa laki tano (500,000 TZS) kwa mwezi ni jambo gumu sana bila vyanzo vya ziada vya kipato, kwa sababu gharama hiyo ni kubwa mno ukilinganisha na kipato chako cha sasa. Lakini kuna njia kadhaa ambazo unaweza kutumia kama unadhamiria kweli...
Habari wakuu.
Mkuu uliyejipata ni Bora ununue hiki kiwanja ili badae uuze Bei ya juu kuliko Kununua Gari lingine alafu badae uje uuze Bei ya kutuma.
Gari kila baada ya Muda linashuka Bei na likipata ajali ndio kabisa.
Lakini kiwanja kila baada ya Muda kinapanda Bei.
Hivyo basi nakupa hiki...
Gari ni hitaji la msingi sana asikwambie mtu.
Wenye akili za kikoloni watakwambia anza na nyumba.
Hatusemi nyumba sio muhimu bt ukweli utabaki kuwa ni wachache sana wenye uwezo wa kujenga nyumba bora kwa ajili y makazi kwa mkupuo.
Milion 6 unapata gari ya mkononi iliokuwa kwenye hali nzuri...
MTU anakuja kutafuta ushauri ili asiumizwe huko Uswahilini anakoenda kutafuta Gari ya kuendana na kipato chake, watu watamjibu kwa kejeli, dharau, matusi na kila aina ya uchafu.
Jamani kabla huja comment hiyo negative comment yako, jitafakarini, je ni lazima niandike kukebehi? Je kama sina...
Madalali wa magari nchini Tanzania kila siku wamekuwa wakiharibu biashara ya magari ya mkononi kwa kukosa elimu ya biashara.
Uaminifu, ukweli na uwazi ni msingi MKUBWA sana kwenye ukuaji wa biashara yoyote ndio maana kwa kulijua hilo, wenzetu wa nje hawarudishi nyuma kilometa ambazo zinasoma...
Hebu mshauri mTanzania huyu anaekusudia kununua usafiri wake wa gari dogo sasa hivi. Ipi njia rahisi kwake kununua gari kwa urahisi, kwa unafuu wa fedha na muda na kwa usalama zaidi kati ya kuagiza kutoka ng'ambo na kwenda kuchagua tu sehemu mbalimbali yanapuuzwa magari nchini?
Kwa niaba ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kujenga chama siyo lelemama,siyo kazi nyepesi wala rahisi wala kazi ya Mzaha mzaha.kujenga chama na kuwafikia wanachama na kutafuta wanachama wapya na kueneza sera ,itikadi ,misimamo na ajenda za chama Ni kazi Ngumu sana.
Ni kazi ya jasho na Damu,ni kazi ya kujitoa na...
Mambo mengine ni kufanya tathmini tu ya kawaida, Lissu aliitisha mchango kwa nguvu kubwa sana, lakini alichopata ni cha kununua pikipiki ya SUN-LG.
Anapata wapi nguvu ya kuamini tutampa kura?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mtafaruku ni Mkubwa. Huu mwaka naona unaisha vibaya Mno. Kama sitakuwa macho nyumba yangu inaweza kuvunjika.
Sorry nianze kwa Salamu maana Leo mtanifaa Sana kwa ushauri Bora.
Assalam alyekum kwa Waislam,
Tumsifu Yesu Kristo kwa Waislam.
Wapagani, salama...
Habarini wana jukwaa.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza.
Nimejichanga changa, mungu kasaidia nimepata kitu kidogo, nimeamua ninunue usafiri kurahisisha shughuli zangu.
Natamani nipate gari kama Spacio au Raum ila sina uzoefu kabisa na magari.
Hivyo nimekuja kwenu kuomba ushauri wa ni vitu...
Wakuu,
Mimi sikuwa mzuri wa somo la hisabati wakati nasoma, pengine mnaweza mkaja na calculator tuje tupige hesabu.
Wakati naperuzi huko mitandaoni nimekutana na clip hii ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Ifakara, Zahara Michuzi
Katika hali isiyoezeleka Mkurugenzi huyu amekataa...
Wakuu,
Kwa mtu ambae anataka kununua gari mtandaoni kutoka Japan na pia anataka ku-save pesa kidogo, leo kuna kitu kidogo sana nimeona tushirikishane.
Sio kitu cha ufundi, ila ni patience. Ukiwa unafanya survey ya gari, ukishachagua model unayotaka, nashauri usikimbilie kulipia hapo hapo. Jipe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.