Kuna jamaa alikua ana milion 5 zake akakimbilia kununua kiwanja mwaka jana halafu hela ya kujenga hana Sasa hivi anateseka
Hivi Hawa watu wana akili timamu acheni ujinga fanyeni biashara ardhi ni hasara
Kwa mtu unaejitafuta huyu jamaa sa sa hivi kachoka njaa imemjaa hela zake katupa ardhini
Miaka ya 2005-2008 nilikuwa napita sana barabara ya Goba-Makongo Juu hadi Chuo. Kipindi hicho lile daraja la Goba kwenda Makongo Juu halijajengwa.
Plus ujana ulikuwa bado mwingi nikapuuzia tu eneo hilo.
Itoshe tu kusema yalikuwa mapori, viwanja hata kuanzia 1mln kushuka chini ulikuwa unapata...
Miaka ya sasa ardhi imekua ni yenye kupanda thamani kutokana na miji kutanuka/kukua na kuongezeka shughuli za uzalishaji na makazi na kupelekea migogoro ya ardhi, utapeli na uharibifu wa mazingira
JE Unapo taka kununua ARDHI hua unaepuka makosa gani👇👇👇?
Habari,
Kati ya maeneo haya ni wapi kuna unafafu wa kununua ardhi (shamba) Mluo, mbozi, mbeya, tunduma na Makuyuni ni kwa lengo la shughuli za kilimo cha umwagiliaji au Highlands yenye vipindi virefu vya mvua. Na bei kwa bei nafuu around 200k to 700k kwa hekari pawe panapitika kwa gari...
Unapokuwa unatafuta kununua kiwanja, ni muhimu kuzingatia mambo kadhaa kama vile eneo na ukubwa wa kiwanja, hali ya kisheria ya umiliki, na hati za umiliki. Pia, hakikisha unafanya uchunguzi wa kina kuhusu eneo hilo ili kuepuka udanganyifu na utapeli.
Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapokuwa...
Niliwahi kupokea kejeli miaka kadhaa nyuma baada ya kununua eneo maporini, niliwashirikisha baadhi ya ndugu na marafiki twendeni kuna viwanja vinauzwa na almashauri.
Kejeli zao, nani akaishi mapori, huko wanaishi wanyama, mimi nikajilipua nikasema hii pesa yangu ngoja niiwekeze.
Ni miaka nane...
Ardhi ya urithi ni ardhi ambayo inamilikiwa na mtu kupitia kurithi kutoka kwa wazazi, ndugu, au jamaa kwa njia ya urithi wa kiasili au kisheria. Hii ina maana kwamba umiliki wa ardhi unapita kutoka kizazi kimoja hadi kingine bila kuhitaji ununuzi wa kibiashara.
Mara nyingi, ardhi ya urithi...
📖MHADHARA WA 16:
Baada ya kununua kiwanja......
Ukibahatika tena kupata vihela kidogo ni bora kuanza kujenga CHUMBA + SEBULE + CHOO. Kama hela zako ni za msimu au hela za kulenga kwa manati usijenge nyumba kubwa, kwasababu inaweza kukutesa kwenye harakati za kuimaliza. Wabongo wana msemo wao...
Nimekutana na hii taarifa ya Mfanyabiashara na Mwekezaji Max Maxwell ambaye ni raia wa nchi lakini kilichonishangaza zaidi ni kusema amenunua ardhi nchini Tanzania kwaajili ya kufanya uwekezaji. Max ameandika;
"Leo ni ndoto ya kutimia ambayo ilianza mwaka wa 2010 na maono kwenye bodi yangu...
Mamlaka ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imewakabidhi Raia wanne wa kigeni vibali na kadi za utambulisho wa kuishi Zanzibar na Tanzania kwa ujumla baada ya baadhi ya kanuni za uhamiaji kuruhusu Wageni walionunua nyumba Zanzibar zenye thamani ya dola laki moja za Kimarekani ( zaidi ya milioni 250 )...
Yani mimi na kufanya yote nchi hii ila suala la kununua ardhi ni muoga sana. Ukiona malalamiko kesi za ardhi ni nyingi kuliko nyingine.
Kuna jamaa alinunua ardhi kwa ajili ya sheli kumbe wana mirathi wengine walikuwa hawajapata stahiki, ilibidi kuongeza pesa tena ili kukamilisha manunuzi.
Kwako Mwananchi,
Nchini kwetu kumekua na migogoro mingi au usumbufu mwingi wa masuala ya ARDHI, Moja ya sababu inayochangia migogoro mingi ya ardhi Nchini ni kununua eneo la Ardhi kimazoea au kiholela. Mfano ( A) Imezoelekea kununua eneo la Ardhi kwa kushirikisha Serikali ya mtaa...
Metaverse ni ulimwengu wa 3D wa kidigitali ambao umetengenezwa kwa mifano ya vitu vyote vilivyopo kwenye dunia tunayoishi kwa sasa.
kupitia Metaverse watu wataweza kukutana,kushiriki michezo,kufanya kazi,kujenga miundombinu mipya na kufanya biashara mbalimbali
October 2021, Kampuni ya Facebook...
Nchi inafunguliwa
Hivi mnafahamu unaweza kutoka Kenya, Rwanda, India, Afghanstan yaani siku unaingia Tanzania ukafika, ukatafuta dalali, ukanunua kiwanja, ukajenga kama ni nyumba ya kuishi, ya kupangisha au hata hotel na usiulizwe na yoyote tena usifuate utaratibu wowote ule tena ukioa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.