Faisal Karim Kundi (Urdu: فیصل کریم کنڈی) is a Pakistani politician who served as the 17th Deputy Speaker of the National Assembly of Pakistan from 2008 to 2013.
Faisal Karim Kundi hails from a known political family of Khyber Pakhtunkhwa. He started his political career in 2003 and served PPP as Divisional Coordinator D.I.Khan Division.
Born in 1975 in Dera Ismail Khan and graduated from UK. He had an intrinsic inclination towards politics and was groomed by Late Benazir Bhutto during her stay in London. He contested election from NA-24 on PPP ticket in General Election of February 2008 and was elected as the 17th Deputy Speaker of the National Assembly of Pakistan on Wednesday March 19, 2008. He secured 246 votes out of 318 polled.
He has the honour of being the youngest (33 years old) Deputy Speaker from amongst so far elected Deputy Speakers.
Katika jamii, watu wenye aina ya damu ya AB+ mara nyingi huchukuliwa kuwa na tabia za kipekee sana. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kibaolojia damu ya AB ni nadra (inapatikana kwa takriban 3% hadi 5% tu ya watu duniani), na pia inachanganya sifa za kundi A na kundi B.
Ingawa mambo ya...
1. Alipata wapi internet na kwa muda gani?
Ili kufanya research ya kina, kusoma hukumu, sheria, nyaraka na maamuzi mbalimbali, internet au chanzo kingine cha taarifa kingehitajika. Ikiwa alikuwa chini ya ulinzi, ni muhimu kujua alipataje na lini fursa hiyo.
2. Alipata muda gani wa kufanya...
Hii bongo 30 imefanya watu kuwaona hawa jamaa vizuri, wengi wao wamechoka, wengine wana maalaama uso, wengine nyuso zao zimejaa ulevi wa matapu tapu
Wengi wao waliishia katika uraibu maana ustaa wao uliwaongezea aibu mitaani
Ndugu zangu,
Tumepokea taarifa nzito kutoka Kijiji cha Chikomo, ambapo mtu mmoja ameripotiwa kupoteza maisha, watu wanane wako katika hali mbaya kiafya, huku nyumba saba zikiripotiwa kuteketea kwa moto.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopo, hali katika Kijiji cha Chikomo ni ya wasiwasi baada ya...
Anonymous
Thread
katika
kuhusu
kundi
kutoka
mauaji
mjadala
tunduru
vita
wafugaji
wakulima
wilaya
Miongoni mwa watu ambao ni adui kwa taifa hili kwa sasa ni baadhi ya viongozi wa dini ya kiislamu.
Mimi ni muislamu pia ila nasikitishwa na tamaa au njaa ya baadhi ya viongozi wa kiislamu kuunga mkono yale yote ambayo yapo kinyume na matakwa ya wananchi wengi badala yake wana bariki maovu yote...
Nyie wanaCCM msiokubaliana na yanayoendelea nchini, uoga wenu ndiyo kitanzi cha tsifa hili. Ni lazima mpandishe joto la kisiasa nchini ili muafaka wa kitaifa upatikane.
Tokeni kwenye mashimo yenu ya woga na hofu, mje mtoke hadharani mseme, mkemee, mshauri na mtoe misimamo. La sivyo atanyakuliwa...
Wanadamu wamegawanyika katika makundi manne kisaikolojia yaliyo katika mafungu mawiliyaani Introverts na Extroverts.
Makundi haya haya manne ya tabia (tempraments) yana asili yake katika falsafa ya Ugiriki ya Kale, hasa kupitia kwa tabibu Hippocrates na baadaye Galen. Yanaeleza jinsi watu...
Kundi la madikiteita waliowahi kutokea duniani....
As first lady of the Philippines, Imelda Marcos shared power in a "conjugal dictatorship" with her husband, Ferdinand Marcos, marked by severe human rights abuses, martial law, and the theft of an estimated $10 billion. While Ferdinand oversaw...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Emmanuel Nchimbi, "amegoma kujiuzulu," kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi.
Taarifa mikononi mwa gazeti hilo zinasema, Dk. Nchimbi amekuwa akikabiliwa na shinikizo la kumtaka kujiuzulu wadhifa wake, kufuatia kuibuka kwa madai ya kutoelewana na bosi...
Mapogo ni mojawapo ya hadithi maarufu na za kusisimua zaidi kuwahi kutokea katika ulimwengu wa simba. Walitawala kwa nguvu, ujanja na ushirikiano wa kipekee, lakini mwisho wao ulionyesha kuwa hata watawala wakubwa hawaishi milele.
Mwanzo wa Mapogo (2006)
Mapogo walitokea katika eneo la Sabi...
Ni vigumu sana mtu yeyote kunishawishi kwamba Riz One aliteuliwa kuwa waziri katika ofisi ya raisi mwenye kusimamia Usalama wa Taifa kwa ajili ya usalama wa taifa. Ninaamini kwa dhati kabisa kwamba Riz One kawekwa katika nafasi hii kwa kazi maalum, na kazi hiyo kwa kiasi kikubwa si ya maslahi ya...
Huu ndiyo ukweli uliopo
Chawa mpoo!!
2030 au kabla ya hapo, wauwaji wote hamtajitetea, Kila aliyeshiriki kufanya mauwaji au kuhusika kwa namna yoyote Ile, hatakaa salama!
TANZANIA yenye matumaini na Amani, ipo yaja
DPP kuwa serious japo kidogo
Huyu gaidi Mwaipopo anayemiliki kikundi cha msituni kama mbwa mwitu mnamchekea na kumkumbatia
Lectures, vijana wa chuo na viongozi wa Chadema ndo magaidi
TAARIFA YA KURUDIWA KWA WRITTEN PRACTICAL ASSESSMENT (WPA)
ILIYOFANYWA NA KUNDI LA 42 NA KUNDI LA 40 WALIOFANYA MARUDIO
(SUPPLIMENTARY) TAREHE 18-26 JUNI, 2026
Taarifa inatolewa kwa wanafunzi wa Kundi la 42 na watahiniwa wa Kundi la 40 waliofanya mitihani ya marudio (supplementary) kuwa; katika...
Za jioni wadau...
Nimekuwa ni kipractice meditation for a while now.
Imenisaidia pakubwa ila kuna Sehem nataka kufikia spiritually ila nakosa focus and concentration nikifanya peke yangu.
Nataka kujua ni wapi kuna temple, au Kuna ma Buddha... Achana na yogist
Hasa kwa Dar
Nataka wale...