kumuua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watuhumiwa Mauaji ya Daktari Isack na Milembe Suleiman, Afisa Ugavi GGM Wakamatwa, Mmoja Ajinyonga

    Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa watatu wa mauaji ya aliyekuwa mfanyakazi wa mgodi wa GGM Geita Milembe Selemani yaliyotokea Aprili 26,2023 katika mtaa wa Mwatulole mkoani Geita pamoja na watu watatu waliofanya mauji ya aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kerende Dk. Isack...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Virus wanaodaiwa kumuua Membe waliondoka na viongozi wengi miaka miwili nyuma. Madaktari wawezeshwe wafanye utafiti, tusipuuze

    Nimemsikiliza Daktari wa Familia ya Mzee Membe, ameeleza kitaalam kwamba Membe alikuwa na mafua ya kawaida kwa siku tatu na mwisho kupelekea kifo chake baada ya virus kushambullia mfumo wa damu. Hawa Virus naamini kama wameweza kufanya damu kuganda hadi kusababisha kifo watakuwa hatari sana na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mtoto adaiwa kumuua mama kisa Sh5,000 ya Vicoba

    Rombo. Kijana wa miaka 15 (jina linahifadhiwa), mkazi wa Kijiji cha Ngareni, Kata ya Ngoyoni, wilayani hapa, anashikiliwa na Jeshi la Polisi akidaiwa kumuua mama yake mdogo, Taudensia Massawe (62) kwa kumpasua kichwa akitumia jiwe wakati akikata majani ya ng'ombe. Tukio hilo linadaiwa kutokea...
  4. JamiiForums Tanzania Huyu mchumba alitaka kumuua baba yangu kisha animalizie na mimi

    Usije ukadhubutu kudate mwanamke toka Kilimanjaro au Arusha. Usidhubutu. Nlipata demu mmoja wa kipare kipindi hicho nataka kuoa. Alikuwa anafanya kazi bank. So mara nyingi nikienda ku deposit mkwanja namtumia yeye. Akawa anaona account yangu imenona. Aka fall in love nayo. Mtoto alikuwa white...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tabora: Utingo adaiwa kumuua dereva wake

    Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Benedicto Modest Mangi aliyekuwa dereva bajaji ya mizigo, Mkazi wa Mtaa wa Usule, Kata ya Mbugani Manispaa ya Tabora ameuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani kisha mwili wake kufukiwa kwenye shimo tukio linalohusishwa na wivu wa mapenzi linalodaiwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Baba adaiwa kumuua, kumzika mtoto wake wa miaka 5 porini

    GEITA: Mtoto Dickson Elias (5) mkazi wa Chikobe, Kata ya Butundwe, Wilaya ya Geita mwenye ulemavu wa viungo, ameuawa na baba yake mzazi kisha kuzikwa porini kwa madai ya kushindwa kuendelea kumlea baada ya mama mzazi wa mtoto huyo kurudi kwao. Kufuatia mauaji hayo, Jeshi la Polisi Mkoa wa...
  7. JamiiForums Tanzania Lijue Baraza la Sanhedrin lililotengeneza mashitaka ya kumuua Yesu

    LIJUE BARAZA LA SANHEDRIN LILILOTENGENEZA MASHITAKA YA KUMUUA YESU Wote waliokuwepo katika Baraza wakasimama, wakampeleka Yesu kwa Pilato. 2 Wakafungua mashtaka yao kwa kusema: “Tumemwona huyu mtu akipotosha taifa letu. Yeye anawaambia watu wasi lipe kodi kwa Kaisari na kujiita kuwa yeye ni...
  8. JamiiForums Tanzania Mbeya: Atuhumiwa kumuua mtoto wa kambo kwa kumpiga na kitu kizito kichwani kisha amtupa kwenye shimo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia ZAWADI SASTONI NZUNJE [30] Mkazi wa Igalako Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kambo aitwaye MESHAKI FAZILI MLAWA [12] Mkazi wa Kapyo kwa kumpiga kwa kitu kizito kichwani na kukimbia kusikojulikana. Kamanda wa Polisi...
  9. JamiiForums Tanzania DR-Congo: Wanajeshi 6 wafungwa jela maisha kwa kumuua Balozi wa Italia

    Hukumu imetolewa na Mahakama ya Kijeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) juu ya mauaji ya Balozi #LucaAttanasio mwaka wa 2021, licha ya ushahidi wa kesi kuendelea kuwa na utata. Hata hivyo, Mawakili wa Washtakiwa wametangaza kukata rufaa kupinga hukumu hiyo ambayo awali Waendesha...
  10. JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kumuua msichana wa kazi Dar, apandishwa kizimbani

    Zikiwa zimepita siku 53 tangu aliyekuwa msichana wa kazi za ndani Annet Kassim (20) kudaiwa kuuwawa na bosi wake, mfanyabiashara Diana Sabhai (44), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na shtaka la kumuua msaidizi wake. Februari 9 mwaka huu mwanamke huyo, mkazi...
  11. JamiiForums Tanzania Kundi la NRA lakiri kumuua mwana-propaganda wa Urusi, na kuendelea kuwasaka wote

    Hili kundi la Warusi wanaompinga Putin limeapa kuwasaka propagandist wa Putin mmoja baada ya mwingine.... The National Republican Army has claimed responsibility for arranging the murder of propagandist Vladlen Tatarsky. Quote from the National Republican Army: "On 2 April 2023, we organised...
  12. JamiiForums Tanzania Kati ya Polisi na Lissu ni nani wa kuwasaka waliotaka kumuua Lissu??

    Kwenye mambo ya kihalifu nchi nyingi zimelipa Jeshi la polisi wajibu wa kushughulika na uchunguzi pale uhalifu unapotokea. Kwa Tanzania Polisi kupitia kwa DCI ndiyo wamepewa kazi ya kupeleleza uhalifu unapotokea kupitia kitengo cha CID. Kwenye Jambo la Lissu ama kwa uzembe ama kwa kukusudia au...
  13. JamiiForums Tanzania Mahakama yamwachia huru aliyedaiwa kumuua Trafiki, Serikali imeshindwa kuthibitisha

    Mfanyabiashara Aman Elikana (38) aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya mauaji, ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake. Elikana alikuwa akituhumiwa kumuua askari Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, mwenye namba...
  14. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwalimu auawa na Mwalimu mwenzake shuleni

    GEITA. Kuna tukio la mauaji limetokea Mkoa wa Geita Wilaya ya Geita. Mwalimu Emmanuel Peter Chacha wa shule ya msingi Igaka iliyoko halmashauri ya Wilaya ya Geita ameuawa Leo March 15 Kwa kuchomwa kisu na mwalimu mwenzake. Marehemu alichomwa kisu wakati akielekea darasani kufundisha...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Houseboy' ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua bosi wake

    Arusha. Mfanyakazi wa ndani wa kiume (house boy), Ismail Sang'wa (28), amehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua kwa kumkata shingo na panga aliyekuwa mwajiri wake Emily Kisamo (52) Kisamo alikuwa Ofisa wa Intelijensia wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini (Tanapa). Hukumu hiyo...
  16. JamiiForums Tanzania Hakuna aliyetaka Kumuua Godbless Lema. Tuambiane Ukweli tu

    Godbless Lema anapenda kujipa ukubwa au umuhimu ambao hana. Lissu ilikuwa auawe ni kweli na sababu ni pale alipoanza kutoa siri za ndani kwa wageni. Halikuwa jambo sahihi hata hivyo. So siungi mkono kumuua. Lema hakukuwa na kusudio hilo hata wazo halikuwepo. Sema Lema anapenda sana ku trend na...
  17. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mume adaiwa kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja, mkazi wa Mero, wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi. Mwanamke huyo ambaye anatambulika kwa jina la Fausta Tesha (26) aliuawa kwa kukatwa...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Juma Raibu atishia kumtwanga risasi diwani mwezake

    Miezi michache baada ya kuvuliwa umeya kutokana na kashifa ya kudaiwa kuhudhulia sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa mmoja wa wanumme wanaodaiwa kuwa katika mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja, aliyekuwa meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameingia katika kashifa nyingine tena, akidaiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Makomando wa Marekani waingia Somalia na kumuua mkuu wa magaidi wa IS

    Mkuu wa magaidi ya Islamic state aliyekua amejificha kwenye pango Somalia, ameuawa na makomando wa Marekani, pia washirika wake kumi wamewahishwa huko peponi. Poleni wenzetu humu JF ambao hutetea hawa magaidi kisa dini. ======= US forces have killed an Islamic State leader, Bilal al-Sudani...
  20. JamiiForums Tanzania Ashikiliwa kwa tuhuma za kumbaka na kumtishia kumuua mtoto wake wa kuzaa mwenyewe

    Na Walter Mguluchuma -Katavi Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Agustino Mikese Mkazi wa Kijiji cha Isinde Kata ya Mtapenda Halmashauri ya Nsimbo Wilaya ya Mpanda anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa tuhuma za kumbaka na kumtishia kumuua mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 16...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…