Watu 34 waliohusika kumrushia mawe Rais Hichilema wa Zambia wakati akihutubia huko Chingola wamefikishwa mahakamani kwa kosa la ugaidi. Imeripotiwa na Rise Fm ya Zambia. GenZ muwe mnatuliza mizuka na kuacha kutaka kushindana na dola.
34 PEOPLE ACCUSED OF RIOTING IN CHIWEMPALA CHARGED WITH...
Tumsifu Yesu Kristu,
Mimi ni Mkristu wa madhehebu ya Kikatoliki,nasema hivi kwa namna yoyote Ile Sintainua mkono wangu Kumpiga muislam na wala sikubaliani na Mkristu yoyote Kumpiga muislam.
Hata nikiona Mkristu anampiga Muislam nitafanya Kila niwezalo kumzuia asimpige.
Toka nikiwa mtoto...
Hili swala la askari wa barabarani kumpiga faini dereva haliko sawa kwani anakuwa amemhukumu dereva wakati yawezekana mahakamani angeshinda kesi.
Ni vyema sasa mtu afikishwe mahakamani aitwe ajitete kwanza ndipo mahakama itoe adhabu kinyume na hapo ni wizi serikali inafanya kwani makosa mengi...
Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three.
Ni kweli Polisi Tanzania mpo je ya. Sheria. Kwenye hili mumejua kutuumiza. Polisi unapiga Marungu mtoto mdogo wa kike kama unapiga kibaka?
Hivi kweli hili jeshi la Polisi la Tanzania ndo lile tunajua au kuna kitu kipo nyuma...
Uvae uniform ya kijeshi hata inayofanana kwa mbali, upite sehemu yao hata kwa bahati mbaya, u overtake gari yao, n.k. wao huona ndio nafasi ya kuweza kuonea raia na kujichukulia sheria mkononi
watakufuata bila kutaka kujua sababu yoyote, watakuchangia kukupa kipigo kikali, kukurukisha kichura...
Mkiambiwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ni habari nyingine kwa Taarifa za Ndani na sina Mpinzani hapa JamiiForums muwe mnakubali tu na hata kunipigia Saluti Kudadadeki. Haya upesi sana huyu Mchezaji wetu mpya na Fundi wa Kufunga Magoli Jonathan Sowah aitwe na aonywe kuwa Simba SC hatutaki Ndodi za...
Wasalaam
We ukota binti humjui katokea wapi unaweka ndani au unaendeshwa na nyege unaoa utaumia wengi mapilot wa fighter jet za kichawi, walisha misukule (makuruti katika uchawi) na wengine ni makomandooo wameanza toka wakiwa na miaka 6.
Sasa wewe endelea kuokota okota lakini Jua upo na kwenda...
Makamu Mwenyekiti wa Maridhiano na Amani Tanzania kupitia Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Mohammed Abdallah Mawinda amesema "Kwa kazi anayoifanya Rais Samia, jukumu letu ni kumuombea dua ili aone tupo pamoja naye, sio kumpiga vita, kumpinga au kuzodoa"
"Urais kazi ndugu...
Wanaukumbi.
Hii si Syria, Iraq, au Yemen... hii ni Los Angeles chini ya utawala wa Marekani yenyewe.
Uharibifu, machafuko na machafuko waliyopanda ulimwenguni yalianza kuwaangamiza kutoka ndani.
================
This is not Syria, Iraq, or Yemen... this is Los Angeles under the rule of...
Huu utaratibu wa kumkamata mtu bila kosa lolote kumpiga na kumtupa maporini Jeshi la polisi ndio sheria zetu zinasama hivi ?. Hii ni kwa mara ya kwanza nchi kushuhudia unyanyasaji mkubwa wa binadamu kwenye utawala wa samia.
Huu ni uthibitisho tosha kuwa nchi haina utawala wa sheria, jeshi la...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, akimbusu mke wake Mariamu, wakiagana naye kabla ya kuingia bungeni kuwasilisha hotuba ya taarifa ya makadirio, mapato na matumizi ya wizara hiyo, jijini Dodoma, leo Mei 16, 2025.
Alipotupiwa kiatu, George Bush alicheka tu japo dent was done. Je kwanini watu wanafikia hatua hii? Je, wahusika wanajifunza nini?
Je nini kifanyike?
Je, kwanini watawala wanajiachia na kujisahau? Ungekuwa wewe uliyetupa kiatu, ungejiteteaje?
Je, tunajifunza nini kama watanzania?
Kwanini...
Ni ajabu na kweli. Mji umetaharuki! Tukio hili limewashtua wengi: Mwanamke mmoja amefumaniwa “live” akifanya uzinzi. Wenyeji wamemkamata, wanadai sheria yao inawaruhusu kumpiga kwa mawe hadi afe.
Mambo yamebadilika ghafla! Mwalimu mmoja anayeheshimika sana mjini hapa, kutokana na hekima yake...
Polisi kiuhalisia kazi ya kubwa ni "ku - mantain law and legal orders" ambayo imewekwa ktk lugha rahisi ya "kulinda usalama wa raia na mali zao..."
Katika ku - maintain law and orders, moja ya jukumu lao la kwanza kabisa ni kuzuia uhalifu usitokee kwa kudhibiti visababishi....
Ikitokea kuna...
China bhana kila kitu kinawezekana!! Umeshawahi kuwaza siku utembee umbali mrefu kwenda kumtafutia mteja aliyetukana bidhaa zako na kumpiga.
Kuna jamaa mmoja ambaye ni muuzaji wa bidhaa mbalimbali kupitia online Aliweza kutembea umbali wa kilomita 850km ili kumfuata mteja ambaye alitoa maneno...
Kama kichwa kinavyojieleza. Ikatokea nchi zote duniani kuanzia bara la Ulaya, Afrika, Asia yote tukaungana kumpiga mmarekani. Si tutamshinda asubuhi mapema? La sivyo ataendelea kuisumbua hii sayari kwa miaka mingi ijayo.
NB: Sijapenda mchina anachofanyiwa na mmarekani. 😎
Huyo kwenye picha ni Emmanuel Mbele aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Sunderland na baadaye kuitwa klabu ya Simba kwenye miaka 1960s hadi 1970s.
Huyu bwana mkubwa aliwahi kumpiga mwamuzi mwaka 1968 wakati Sunderland akipokea kipigo kutoka kwa Yanga magoli 5-0. Jitu moja lina matege yake na mbavu...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limewakamata watuhumiwa watatu kwa tuhuma za kumuua Mwanafunzi wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Kagwa iliyopo Manispaa ya Sumbawanga aitwaye Novatus Adelhard Mgeni, miaka 15.
Waliokamatwa ni pamoja na Mkuu wa Shule ya Sekondari ST. Kagwa ambaye ni Zacharia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.