kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Airbnb ni salama zaidi kwa wanaochepuka kuliko guest house

    Wataalam wa minyanduo, wale wanaopenda kunyandua spring chicken, tule tutoto tubichiiii, wale wanaochapa wake wa watu, na wale wote wanaoona usalama wao ni mdogo wakati wa majamboz, Airbnb ndio mpango mzima. Ingia zako tu mtandaoni, tafuta nyumba ya uwezo wako nenda kale maisha.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Morocco kwenda Ulaya (Uhispania na Ureno) ni karibu kuliko Zanzibari na Dar (umbali wa fukwe ni 14km)

    Hili taifa la Morocco wana kila sababu kujiita ni watu wa Ulaya! Umbali kutoka fukwe za Morocco na Uhispania iliyoko bara la ulaya ni 14km tu! Umbali huu unaruhusu muingiliano rahisi sana kama ilivyo Pemba na Unguja! Koo nyingi za uhispania wameoleana na Wamorocco kama ilivyo kwetu bara na...
  3. JamiiForums Tanzania Kuchunga ulimi ni bora zaidi kwako kuliko mazungumzo ya kipuuzi

    Alhamdulillah Ijumaa ishaingia na si vibaya kukumbushana mawili matatu. Hakika Ulimi ni kiungo kidogo lakini hakika madhara yake ni makubwa mno katika Maisha yetu hapa duniani na kesho Akhera. Watu wengi huenda hatutambui kuwa hakika halitoki Neno lolote kinywani kwetu isipokuwa linaandikwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Watu Maskini huongozwa na Maoni ya Watu zaidi kuliko Sheria ndio maana wanazidi kuwa Fukara

    Na, Robert Heriel Moja ya dalili ya MTU Maskini na mjinga ni suala la kuongozwa na Maoni na mitazamo ya Watu wengine zaidi kuliko kuongozwa na Sheria na Kanuni. MTU Maskini na mjinga Kabla hajafanya lolote hufikiria kuwa Watu watasemaje na kumuonaje, au watamchukuliaje. Unajua umaskini na...
  5. JamiiForums Tanzania Mlete haraka kuliko afungwe atatusaidia kwenye mambo yetu

    Mambo yetu ili yanyooke mtoeni jamaa nje alafu moja kwa moja aje nyumba mithili ya meli ! Pale wanapoingia kwa code maalumu na hawaitani majina wanaitana chifu pili ukienda ijumaa aga kabisa nyumbani wenda ukarudi jumatatu maana simu zinaachwa reception 🤕 Itatupunguzia haya Kitaifa tutatulia...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2023 kuendelea uwe wa madiliko, tutoe ushauri, maoni na maelekezo kuliko kulaumu, kushambulia na kushambuliana

    Salaam great thinkers. Vurugu zimekuwa nyingi mno kwenye jukwaa au majukwaa.Minyukano mawe mkononi kulaumiana we unajua we hujui kitu maneno makali makali we mpumbavu tu hujui kitu mi ndo najua we hujatembea duniani ngumi mkononi mateke. Kifupi ni vurugu tupu majukwaani mwisho wa siku...
  7. JamiiForums Tanzania Duniani kote usafiri wa reli ndiyo rahisi kuliko wote. SGR tulitegemea kuwa kiama cha usafiri wa mabasi na malori, imeshindikana

    Duniani kote usafiri wa reli ndiyo usafiri wa bei rahisi sana kuliko usafiri mwingine wowote. Malengo makuu ya kuboresha usafiri huu kwa kiwango cha SGR yalikuwa: ~Trip moja ya treni ya mizigo ingaliweza kusafirisha mzigo wa sawa na semi-trailers za malori 500 kwa mara moja, kwa spidi ya 120...
  8. JamiiForums Tanzania Chips zina nguvu kuliko ugali

    Imezoeleka kudhani kuwa ugali ni chakula chenye nguvu sana. Lakini ukweli ni kuwa ugali ni moja ya chakula dhaifu sana duniani. Nguvu ya chakula hupimwa kwa calories. Sasa, 100g za chips zina kilo calories(Kcal) 350. Wakati grams 100 za ugali zina kilocalories 210. Lakini hapa pia inategemea...
  9. JamiiForums Tanzania Maisha ya jamii ya JamiiForums yako poa sana kuliko jamii ya Twitter, Facebook na Insta

    JamiiForums ni jamii moja maridhawa mno, ambamo watu watakuonyesha tabia zao halisi zaidi ukilinganisha na jamii nyingine za mtandaoni. Kwasababu wengi wanatumia majina kificho na picha kificho hapa JamiiForums imekuwa ni rahisi kuonywa kwa kupewa makavu laivu, tabia zako na mambo yako ya hovyo...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Matajiri wa siku hizi hawawezi kuishi na watu wengi majumbani mwao kuliko wale wa enzi za zamani?

    Miaka ya nyuma, hata urudi katika vitabu vitakatifu, watu matajiri waliishi na watu wengi nyumbani na wote walinyooshwa na kutii sheria za nyumbani. Mfano Nabii Ibrahim alikuwa Bilionea aliyeishi na mamia ya watu kwenye familia yake. Alikuwa hadi anajeshi la watu 300 ambao ni sehemu ya familia...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kama mwanaume: Jitahidi mazingira yako ya nyumbani yawe bora kuliko mazingira ya nyumbani kwa mke wako

    Kuna hili suala la watu kusema hata ukioa mwanamke ambaye kwao wana uwezo kukuzidi sio tatizo. Huko ni kujidanganya. Inakuwa sio tatizo labda mwaka wa kwanza wa ndoa yenu, wakati wa honeymoon period. Ndani ya moyo wake, mkeo ambae ataishi na wewe katika mazingira duni kuliko ya nyumbani kwao...
  12. JamiiForums Tanzania Michelle Obama: Ndoa haina usawa wa 50/50, lazima mmoja akubali kujitoa

    Huyu ni mke wa Rais Mstaafu Barrack Obama! Huyu ni mwanamke mweusi aliyewahi kushika nafasi kubwa zaidi kisiasa hapa duniani, THE FIRST LADY OF USA. Lakini, pia ni msomi ambaye alibahatika kusoma vyuo vikubwa duniani kama Harvard University na Princeton. Ukimsikiliza kwenye mahojiano yake...
  13. JamiiForums Tanzania Kuibwa kwa silaha ofisi za TAKUKURU Handeni Maswali ni mengi kuliko majibu

    Habari za mapumziko wana jamvi Mapema wiki hii palitokea wizi wa silaha za moto kwenye ofisi za PCCB Huko Handeni Tanga. Kama kawaida jambo limepita na hakuna kilichotokea. kwa mujibu wa gazeti la mwananchi silaha zilizoibwa ni mbili na zenye risasi ndani. hatujui zimeenda wapi na zinaenda...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Baraza la Ulaya naye atapika nyongo: "EU inateseka zaidi na mzozo wa Ukraine kuliko USA"

    Baada ya Rais wa France, Emmanuel Macron kutapika nyongo kuwa ; Rais wa Ufaransa: "Muundo wa usalama wa Ulaya lazima utoe 'guarantee' kwa usalama wa Urusi" Naye Rais wa Baraza la Ulaya amefunguka na kuishambulia Washington. Soma: Washington daima inatanguliza masilahi yake ya kiuchumi...
  15. JamiiForums Tanzania Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa

    Baada ya kutafakari na kuangalia mambo yanavyoenda, nimegundua Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa. Hussein Bashe ni Waziri wa Kilimo sioni Watu wa Kilimo Wanamlalamikia. Sasa hivi anapima udongo anajenga maghala sababu anaamini Wakulima...
  16. JamiiForums Tanzania Wajerumani walifikiria zaidi kuhusu masuala ya LGBT kuliko kandanda

    Washindi mara nne wa Kombe la Dunia walitoka katika hatua ya makundi nchini Qatar Kuondolewa mapema kwa Ujerumani kutoka kwenye Kombe la Dunia la FIFA nchini Qatar ni "kufeli sana" kwa taifa hilo, kulingana na kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Urusi Valery Gazzaev. Alishutumu wachezaji wa...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kumbe Doctor of Letters (honorary) Ina hadhi kubwa kuliko PhD?!

    Nimesikia kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Dare salaam kuwa Udaktari wa heshima ndio una hadhi kuliko Udaktari wa kusoma na utafiti wa falsafa (PhD). Embu mwenye uelewa atupe tuition kidogo.
  18. JamiiForums Tanzania UDSM ina upekee gani wa kumtunuku mtu Udaktari wa Heshima kuliko vyuo vingine?

    Kama swali linavyojieleza. Natamani kujua kama kuna vigezo vinavyoidhinisha au vinavyofikiwa kwa chuo kikuu iwe hapa Tanzania au Duniani kote katika kumtunuku mtu udaktari wa heshima. Nauliza hivyo kwasababu kwa hapa Tanzania kila mara utasikia UDSM imemtunuku mtu fulani udaktari wa heshima na...
  19. JamiiForums Tanzania Ule uwanja wa makontena wa Qatar unaweza kufika nchini mapema kuliko tulivyodhani

    Mama kashamaliza hilo suala, Waqatar wamesema haina shida na walikuwa hawana mpango wa kuendelea kubaki nao. Maamuzi ya awali yanaonesha uwanja huo utafungwa Mwanza. Waziri wa michezo juzi alikuwa maeneo ya usagara kuangalia eneo utakapofungwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…