kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Inawezekana 4G inamaliza bundle haraka sana kuliko 3G?

    Naomba kufahamu kama opt. ya 4G inapeleka bundle kwa kasi kuliko 3G.. Maana bundle halikai kabisa. Ahsante.
  2. JamiiForums Tanzania Rapa mwenye kasi kuliko wote duniani, Twista, amepotelea wapi?

    Eti wakuu huyu mwamba alipotelea wapi. Alivunja rekodi ya kuwa rapa mwenye kasi zaidi akifuatiwa na eminem. Licha ya kasi pia alitoa nyimbo kali nzuri. Kapotelea wapi?
  3. JamiiForums Tanzania Bora kuwa huru ukiendesha bodaboda Tanzania kuliko kuwa mfagia vyoo wa Canada

    Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao. Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu.
  4. JamiiForums Tanzania Kwa wale mliwahi kucheat, hivi kuna fedheha kushinda hii?

    Kwa mwanamke Unamsaliti mumeo unaenda kwa mchepuko, hapo kichwani unawaza kwamba leo naenda kupewa show ya kukata na shoka. Kufika kwenye mechi jamaa mchepuko anapiga tako tatu, halafu anamwaga wazungu nje haooo. mapaja yote yamelowa mbegu... halafu anakuambia 'thank you baby kwa kuja' kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania Suala la ushoga msinyamaze, ila mtesi wenu ana nguvu kuliko mnavyofikiri, mipango ipo hivi...

    Wakuu salam, Hoja za Ushoga na kuhalalisha ndoa za jinsia moja ni jambo sensitive sana hasa kwenye jamii zetu za Africa. Tusichoelewa ni kwamba watea wetu wana nguvu sana na ni moja ya ajenda kubwa sana kwenye mikutano ya wakubwa huko duniani. Jambo hili la ushoga sio jipya hapa duniani ni...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je, Naibu Spika Zungu ana busara na uzalendo kuliko Dkt. Tulia?

    Naona kwa wapenda maendeleo hawa wabunge ambao hawana mvuto wala kupedwa kisiasa ndiyo wanakuwa tatizo. Zungu mfano hana tatizo lolote na mabadiliko ya katiba wala nchi kwasababu ana mvuto na kuelewa siasa. Dr Tulia hajawahi kushinda chochote wala kupedwa na ndiyo maana anahangaika. Ni wakati...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Tuache kudanganyana, Ajira zina afadhali zaidi kuliko kujiajiri, watu wengi waliojiajiri ndio wapo kwenye utumwa

    Najua kwa haraka haraka mtafikiria kunijibu kwamba "Mwajiri hawezi fikia mafanikio ya Mo ai Bakhresa" ....vuta pumzi tulia!! Hao kina Mo watoe akilini mwako maana wapo kundi tofauti kabisa ni wafanyabiashara waliofikia mafanikio ya biashara zao kujiendesha hata wakiwa wamelala. Mtu mwenye ajira...
  8. JamiiForums Tanzania Mh. Nape anatetea makampuni ya simu kuliko wananchi kwanini?

    📌 Kuna sakata la bando.. kampuni za simu zinaweka limit jambo ambalo ni wizi kiukweli. 📌 hela ni yako na matumizi wanakupangia... kwanini kuna expire ya bando kama sio wizi mtupu. Bando linaishaje wakati ujatumia mbona vocha haishi mara tu unapoinunua? Na vocha expire yake ni mwaka.
  9. JamiiForums Tanzania TMA yatabiri mvua za wastani lakini yatoa angalizo mvua kubwa ya vipindi vifupi katika msimu wa Machi-Mei 2023

    Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Ladislaus Chang’a ametangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za masika zinazoanza Machi mpaka Mei, 2023 ambazo zinatarajiwa kuwa za wastani huku baadhi ya mikoa kuwa wastani na juu ya wastani. MWENENDO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2022...
  10. N

    JamiiForums Tanzania John Cheyo: Hakuna chama cha upinzani ambacho ni kikubwa kuliko vyama vingine

    Mwenyekiti wa Chama cha UDP anasema hakuna chama cha upinzani ambacho ni kikubwa kuliko vingine. "Tunaona kuna chama tawala na kuna chama kinajiita sisi kikubwa!, hakuna chama cha upinzani kikubwa kuliko vingine, namshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kutaka mchakato wa Katiba mpya uwe...
  11. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Yanga, Je Huyu nabii wa Taifa apuuzwe?

    Kuna jamaa nimemuona kwenye Whatsapp anajiita nabii wa taifa, Anasema ili Yanga na Simba zishinde inabidi Watoe kwake sadaka ya Milioni 20 kuombea ushindi. Sasa kushinda kwa Yanga, najiuliza nani Muongo kati ya nabii na Mungu/Muungu wake? Ifike wakati watu wa Mungu washughulike na mambo ya...
  12. JamiiForums Tanzania Sababu kwanini Bora malaya wa bar ni wasafi kuliko videmu vya kitaa

    Kwanini Nina imani Na mademu ma barmaid 1.ni wasafi wanaoga Na kupendeza kutokana Na nature ya kazi zao lazima wawe smart wanukie vizuri wajinyoe hawataki fedheha maana baadhi ya Wateja huwa wana tabia ya kukejeli public mfano fulani ananuka k.. 2.wanajali kinga maana wanajua wanatoka Na watu...
  13. JamiiForums Tanzania Utafiti waonesha Wanaume Wengi Wasio na Kisomo Wanamiliki Nyumba Kuliko Waliohitimu

    Utafiti wa KNBS umeonesha kua asilimia 46.7 ya wanaume ambao wana nyumba hawana ELIMU rasmi, ikilinganishwa na asilimia 32.2 ambao wamepita shule ya upili..... Kulingana na utafiti huo Hilo linatokana na kwamba wasomi wengi huishia mijini kusaka ajira na kuishi nyumba za kupanga huku wenzao...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Japokua wanandoa wamebanwa lakini nikiri wazi watoto wa kwenye ndoa za kikristo wanafaidi mno malezi kuliko ndoa za kiislam

    Bila shaka ndoa za kiislam wanandoa huwa wanafaidi sana linapokuja suala la kuongeza mke, kuoa ama kuolewa upya kwa urahisi, talaka, n.k. na haya mambo ndio penye udhaifu wa ndoa za kikristo, hata talaka tu inaweza chukua miaka, wanandoa wengi hubanana humo humo. Ila linapokuja suala la watoto...
  15. JamiiForums Tanzania Uzeeni mwanaume ana uhitaji wa ndoa zaidi kuliko mwanamke. Chukua hatua

    Wanaume tunapozeeka tunarudi kuwa watoto, Wanaume husema "men age like a wine" wakiamini kua kadri wanavyokua ndivyo wanakuwa na mvuto zaidi kwa kuwa wanajijenga kiuchumi, ila ukweli ni kuwa kadri mwanaume anavyokua ndio anakuwa na uhitaji wa ndoa zaidi( kuwa na mwanamke atakayemjali.) Huwa...
  16. JamiiForums Tanzania Utafiti waonyesha wanaume wenye vipara wanawavutia sana wanawake kuliko wenye nywele

    Kuna vitu vingi humvutia mtu inapokuja swala la kumchagua mpenzi, siwezi taja sifa zote, kila mtu anasifa zake na vigezo vyake, ila ngoja tuongelee mvuto wa kipekee unaopatikana kwa wanaume wenye vipara. Nikiongelea vipara naongelea wale walio na vipara asili, achilia mbali wale wanaopenda...
  17. JamiiForums Tanzania Tamasha la "Single Mothers" lina agenda ya kuharibu ndoa zaidi kuliko kujenga. Lizuiliwe!

    Katika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini? Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke anaonekana zaidi kuliko mwanaume?

    Malaya, ni mwanamke, anafanya na nani huo umalaya? Mwanaume, sasa kwanini hatajwi? Usiache mwanamke mchawi aishi. Heeee, yaani wachawi ni wanawake tu, wachawi wananaume kwanini wanapewa haki ya kuishi? Bongo ukitaja ujambazi mkubwa kabisa, utaambiwa ni ule wa Sarah Simbaulanga. Mabenki na...
  19. JamiiForums Tanzania Je, Watu waliokufa wana nguvu kuliko walio hai?

    Kwa kifupi tuanze kujadili dhana ya kifo ninayoiamini "Kifo ni kuondoka taratibu kutoka Sasa Hadi zamani. Yani kutoka kuto kuwepo na kuwepo(kuzaliwa) kutoka kuwepo na kutokuwepo Tena(kufa). Madondoo ya miongozo ninayoiamini -Kufa ni namna nyingine ya kuishi ya binadamu - Mtu hafi akapotea (MTU...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wanauelewa mkubwa wa mambo kuliko wanaume kiufupi mi nawaita akili kubwa

    Wanawake ila sio wote maana wanawake wengine akili zao wanazijuaga wenyewe mimi na uanaume wangu wote nikili tu vitu vingi vya tech nimeelekezwa na mwanamke wangu huyu mfano jambo dogo tu ilikua mwaka 2015 nimenunua simu mpya sasa nataka niingie play store nipakue vitu ninavyo vitaka niseme...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…