kulazimisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sio kosa wala dhambi mtu kuwa CCM au CHAUMMA; Ni ushenzi na ukatili kulazimisha watu kuwa chama Kimoja.

    SIO KOSA WALA DHAMBI MTU KUWA CCM AU CHAUMMA; NI USHENZI NA UKATILI KULAZIMISHA WATU KUWA CHAMA KIMOJA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii tabia wako nayo wafuasi na wanachama wengi wa CHADEMA. Ni tabia mbaya sana ambayo ni kiashiria cha ukatili na ubinafsi. Muache hii tabia. Ni tabia...
  2. JamiiForums Tanzania ACT: JKT si chombo cha Muungano, si sawa kulazimisha Vijana wa Zanzibar wajiunge JKT, hiyo ni kupora mamlaka ya Zanizbar

    "JKT si chombo cha Muungano. Zanzibar ina idara maalumu yenye hadhi na majukumu yanayofanana na JKT; ambayo ni JKU. Kuwalazimisha vijana wa Zanzibar kujiunga JKT ni kupora mamlaka ya Zanzibar." Mwenezi wa ACT Wazalendo, Salim Bimani
  3. JamiiForums Tanzania Mtumishi anayetuhumia kulazimisha Wafiwa kununua majeneza kwake Hospitali ya Sekou Toure asimamishwa kazi

    Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure umepokea taarifa ya Mtumishi kitengo cha Mochwari anaeuza majeneza na kulazimisha wafiwa kununua kwake na tayari umeshachukua hatua za haraka za kumsimamisha kazi mtumishi huyo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma hizo. Aidha Tunawahimiza...
  4. JamiiForums Tanzania RC Mtanda: Uchunguzi unafanyika tuhuma za Mtumishi wa Sekou Toure kulazimisha watu wanunue majeneza kwake

    Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa wito kwa Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Sekou Toure kufanua uchunguzi juu ya tuhuma za Mtumishi wa Mochwari hospitalini hapo kudaiwa kutumia nafasi yake kujineemesha binafsi na kuwakwaza wenye uhitaji wanaofika kazini kwake, Mkuu wa Mkoa...
  5. JamiiForums Tanzania Ninatamani iwepo sheria ya kulazimisha watu kuitwa kwa majina yao ya asili ya makabila yao badala ya haya ya kizungu na kiarabu

    Katika mazuri machache aliyofanya dikteta Mobutu wa DRC (Zamani Zaire) ni kulazimisha wananchi wote kutumia majina asili ya makabila yao badala ya haya ya kigeni. Imesaidia sana kulinda utamaduni wao na inarahisisha kutambulika bila kujieleza sana. Tanzania tukiendelea hivi tutapoteza kabisa...
  6. JamiiForums Tanzania Nakuuliza swali mama Samia kulikuwa na ulazima gani wa kutaka kulazimisha kuwatawala watu wasiokutaka na kukupenda?

    Aman iwe watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kuna mwanamke mmoja hapa mjini posta huwa nampenda sana, kwa kifupi siyo level yangu kwa kweli ni mzuri sana na ni wa kishua kwa kifupi ana maisha Lakin ndugu zangu Kuna siku niliamua nimtongoze huyu dada akawa amenikataa, nikarudia tena...
  7. JamiiForums Tanzania Body language na facial expression zinaeleza wazi kwamba Lissu amekata tamaa, licha ya kujaribu kulazimisha furaha na ujasiri ambao ni wazi hana

    Inasikitisha sana kumuona amechoka phisically na kwakweli mentally ni kama yupo confused. Mbaya zaidi, mamluki na wafuasi wake ndio wanaonyesha kuchoka na kukata tamaa zaidi, licha ya kuhamasishwa kwa vitendo na mtuhumiwa wa uhaini mwenyewe eti waonyeshe furaha na ujasiri ambao wote hawana na...
  8. JamiiForums Tanzania Rais wa TLS Boniface Mwambukusi: Wametuumiza, Wakaua ndugu zetu na sasa Wanatugombeza na kulazimisha Maridhiano Waliyoyakataa Kabla ya Uharibifu wao!

    Wameteka, wamepoteza, wamejeruhi wameua na hawataki kukiri makosa yao waliyoyafanya kwa uwazi na mchana kweupe kwa kuwa walishatuona sisi sote ni kama mbuzi wao wa kafara.. Na sasa eti wanataka kulazimisha waongoze maridhiano ili tuongezeke na watengeneze mazingira ya kuja kuua wengine...
  9. JamiiForums Tanzania Si niliwaambia msioe? Take care, Vitoto vya 2000 vimeanza kulazimisha ndoa

    1. Ni singo maza ... 2. Kitoto kimezaliwa Dec/2000 kinataka ndoa ...!!! Uzi tayari. #YNWA #YANGA_BINGWA
  10. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kumbukizi - PM Mstaafu Majaliwa: Madaraka hayalazimishwi, ukilazimisha hautadumu

    === Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa alisema Tanzania iko mikononi mwa Mungu na ndiyo maana imeendelea kuwa nchi yenye amani na utulivu na kimbilio la mataifa yaliyopoteza tumaini. “Nchi hii imeshikwa na Mwenyezi Mungu na ni kwa sababu viongozi wa dini wanaendelea kuliombea...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuzoea kushinda kwa kulazimisha ushindi kuna hasara zake, na zaidi ushindi wa kishindo athari zake kwa mshindi huwa ni kuogopa vishindo

    Hakika ya ushindi wa namna hii ni kwamba, ushindi huo hauwezi kumwondolea mshindi huyo hofu ya kwamba naye anaweza kuondolewa kwa kishindo Hofu ya kulazimisha ushindi huwapokonya washindi bandia waliopo madarakani imani ya wapiga kura. Hivyo basi, washindi bandia hujitahidi kujijengea imani kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Hata wewe hapo unaweza anzisha itikadi mpya, ukapata wafuasi, ukalisongesha kwa kulazimisha watu wafatae itikadi yako na mwishoni ukajipaisha mbiguni

  13. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole asema kuna mtu alitumwa kupiga simu kulazimisha wanaomtaka awe Rais 2020, walishindwa. Ni nani huyo?

    Polepole anasema kwa uchaguzi 2020 kundi la mtandao lilikuwa na mgombea wao, walikuwa wanamtaka Shamsi Nyahoza. Wakati kamati kuu wote walisema hawana mgombea, siku ya jioni kuna mtu alikuwa anapiga simu, binti, alikuwa anapiga simu akitaka mgombea wa zanzibar aliyemtaka yeye na aliyemtuma...
  14. JamiiForums Tanzania Siwezi kulazimisha furaha ambayo sina,nahitaji faraja zenu Kaka na dada zangu

    Sina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni. Shikamooni. Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji mahusiano ya kimapenzi huko nimetoka,nahitaji ushauri, kubadilisha Mawazo kibiashara,na vingine vingi...
  15. JamiiForums Tanzania Ni muda wa TCRA kulazimisha (apple na google) waruhusu malipo nje ya app store (Marekani wameweza)

    Hatimae mahakama za marekani zimeamuru apple kutolazimisha wateja wake kufanya malipo kwa lazima kutumia mifumo yao ya in app payments ambayo wanakata 30% kwa kila mwamala, hivo basi kwa tanzania tuna njia zetu bora sana za malipo za mitandao ya simu, ni muda mwafaka sasa wa TCRA kufikiria hili...
  16. JamiiForums Tanzania Nabii Mtalemwa azungumzia madhara ya kulazimisha watumishi wanyamaze, na wasihoji

    Nabii Mtalemwa amesema madhara ya kunyamazisha watu wasihoji ni makubwa mno. Amesema "hali inakuwa mbaya zaidi pale wanapowaambia watumishi wa Mungu wasiongee kwa sababu hawataki kusikia mambo ya haki." Apostle amekumbushia hata zamani wafalme waliwabana manabii na kufanya kuwa wasipoongea ndio...
  17. JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri kuwa Tulia amemkimbia Sugu hadi kulazimisha kuundiwa jimbo

    Marehemu Samuel Sitta alilwahi kuita siasa za Tanzania za maji taka. Ni kweli. Ukiangalia majimbo mapya yaliyoanzishwa hivi karibuni, unagundua hili. Mfano, ' Tulia Akson rasmi, amemkimbia Joseph Mbilinyi aka Sugu. Ni aibu sina mfano. Hawa, hata ukiwapambanisha kwa usupu, Sugu ni msupu kuliko...
  18. JamiiForums Tanzania Ushindi wa makandokando kubebwa kulazimisha na ulaghai wala haunogi, Ninashauri Simba tuache janja janja tujenge timu

    Nitashangaa sana mwanasimba yeyote atakayefurahia hata pale itakapotokea timu imetwaa ubingwa wa Ligi. Siku zote ukiitazama Yanga inavyocheza una enjoy anaona mpira halisi na hata wakichukua ubingwa unaona wamestahili! Ila upande wa pili huko ukiangalia unaona kabisa ni ubingwa wa kulazimishia...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani kuilazimisha Iran iachane na nyuklia wakijua wao na Israel wanazo.Si ndio kulazimisha ujinga huko.

    Kisingizio kikubwa cha Marekani kutaka kuipiga Iran ni kwamba eti lazima iingie makubaliano mapya nayo katika muda uliowekwa na Marekani ili ipokee masharti mapya au ikishindwa ipigwe. Iran imesema hata wakitaka kufanya majadiliano mapya basi si kwa njia ya vitisho kama hivyo.Na kwamba wakipigwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kitendo cha CCM kulazimisha mkutano ufanyike stendi na kusimamisha shuhuli wakati viwanja vipo ni kukosa akili.

    Hawa ccm naona kwa sasa watu wamewachoka jana kahama waliamua kulazimisha mkutano wao na wasira ndani ya stendi ya shinyanga kahama ambayo inashuguli nyingi za watu. Mabasi yalilazimisha kupaki nje ya stendi ili kusubiri wateja wao. Sasa cha kujiuliza wakati kahama kuna kiwanja kikubwa ambacho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…