kulawiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    Dodoma: Issa atuhumiwa kubaka na kulawiti watoto watatu

    Mwanaume anayefahamika kwa jina la Issa Ramadhani (35), mkazi wa Mtaa wa Mnyakongo, Kata ya Nkuhungu, jijini Dodoma, anatuhumiwa kwa kumbaka na kuwalawiti watoto watatu wenye umri chini ya miaka mitatu, na kuwasababishia majeraha makubwa sehemu za siri. Tukio hilo linadaiwa kutokea mnamo Agosti...
  2. jamaikatz

    Ruangwa: Mwanaume ahukumiwa Kifungo cha Maisha kwa Kubaka na Kulawiti Mtoto wa Miaka Sita

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, imemhukumu Shabani Mohamed (27), mkazi wa Mchangani, kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia ya makosa mawili ya kumbaka na kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita. Hukumu hiyo imesomwa Juni 25, 2025 na Hakimu...
  3. Lord Denning

    Kuteka, Kuua, Kubaka na Kulawiti Kibiblia ni Dhambi. Kama Makanisa yanafungiwa wa kukemea dhambi basi Ukristo Umeshambuliwa na upo hatarini Tanzania

    Kwa mujibu wa Biblia Takatifu, Kuua, Kubaka, Kulawiti na kuonea watu ni dhambi. Kama nchi yetu imefikia hatua Makanisa yanafungiwa kwa kukemea dhambi kwa mujibu wa Biblia basi tukubaliane kuwa Ukristo unashambuliwa rasmi nchini Tanzania. Huu ni wakati Wakristo wa Tanzania wanapaswa kusimama...
  4. BigTall

    Anayetuhumiwa kulawiti Mtoto kwenye Vyoo vya Kanisa ashindwa kutoa Ushahidi, adai anaumwa, kesi yaahirishwa hadi Machi 3, 2025

    Mshtakiwa katika Kesi Namba CC.5866, Baraka Benedicto ambaye anashtakiwa kwa kosa la ulawiti, licha ya kufika Mahakamani, Februari 26, 2025 ameshindwa kutoa ushahidi wake kama ilivyopangwa kwa maelezo kuwa anaumwa. Kesi hiyo ambayo ina kipindi cha mwaka mzima tangu ilipoanza kusikilizwa...
  5. Just Pray

    Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi atiwa mbaroni akidaiwa kubaka watoto yatima watano kwa nyakati tofauti

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Oktoba 2024 mpaka Januari 2025 waishio kituoni hapo. Muhumiwa huyo alikuwa...
  6. Roving Journalist

    Kesi ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres anayetuhumiwa kulawiti Mwanafunzi yaahirishwa Mwezi mzima, Hakimu apata udhuru

    Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi-Africana anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake mwenye umri wa Miaka 11 imeshindwa kuendelea kutokana na Hakimu kupata hudhuru. Mara ya mwisho kesi...
  7. BigTall

    DOKEZO Responded Walimu wa Shule ya Green Acres (Dar) wanaotuhumiwa kulawiti na kuwadhalilisha Wanafunzi, wanalindwa na nani?

    Shule ya Msingi ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam kuna matukio ya ukatili yameripotiwa kutokea, naomba kutumia jukwaa hili kupaza sauti ili haki ipatikane. Tukio la kwanza ni la ulawiti na udhalilishaji wa kingono ambalo limefanywa na Mkuu wa Shule hiyo...
  8. BigTall

    Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi la Watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha hasa ya Vijana wenzetu. Yalianza mdogomdogo lakini kadiri siku zinavyozidi Kwenda mbele kumekuwa na taarifa za hapa na pale kuhusu fulani na fulani kupotea, binafsi nimeanza kupata hofu licha ya kuwa Jeshi...
  9. Blood of Jesus

    Kuhusu sakata la skendo ya kubaka na kulawiti

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Theopista Mallya amesema jalada la kesi ya vijana watano wanaotuhumiwa kutekeleza tukio la ubakaji na ulawiti wa binti anayedaiwa kuwa mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam limekamilika. Vijana hao wanaodaiwa kutumwa na afande, wanne kati ya sita...
  10. J

    Abdul kortini kwa mashtaka ya kubaka na kulawiti wanafunzi watano

    Mkazi wa Mtaa wa Kyamaizi, Kata ya Kahororo Manispaa ya Bukoba, Abdul Suleiman (30), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Bukoba akikabiliwa na kesi mbili za kuwabaka na kuwalawiti wanafunzi watano wa shule za msingi. Kesi hizo zenye jumla ya mashtaka saba, zimesomwa jana Jumatano Agosti 14...
  11. Accumen Mo

    The Chanzo: Makosa ya Kulawiti, Kubaka Yameongezeka Tanzania

    Makosa ya kubaka na kulawiti yameendelea kuongezeka Tanzania, ambapo kwa mwaka 2022 makosa ya kubaka 6,827 yaliripotiwa polisi, hata hivyo kwa mwaka 2023 makosa haya yameongezeka kufikia 8,691. Matukio ya kulawiti pia yameongezeka kutoka matukio 1,586 yalioripotiwa mwaka 2022 mpaka matukio...
  12. mwanamwana

    RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda

    Hapa nasikiliza video ya Binti Tumsiime anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Nawanda. Binti ameelezea kwa kina sakata zima la kulawitiwa, mpaka msukumo mzima wa kutaka kuzima kesi. Binti Tumsiime ameelezea kuwa baada ya kufanyiwa kitendo kile, aliripoti kituo cha...
  13. Lupweko

    Ramadhani Bakari Iddi ahukumiwa jela maisha kwa kulawiti mtoto

    Mahakama ya Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga imemuhukumu kwenda jela kifungo cha maisha Ramadhani Bakari Iddi (46) mkazi wa Kilapula kata ya Ngomeni Wilayani hapo kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 13. Akitoa hukumu hiyo leo hii Hakimu mkazi wa mahakama ya Wilaya hiyo Mh. Geofrey...
  14. Mtemi mpambalioto

    Serikali kupitia Bunge iongeze adhabu kwa walimu wanaobaka na kulawiti!

    Kumekuwa na wimbi la walimu kulawiti watoto na kubaka kitendo ambacho huwa kinaleta picha mbaya zaid kuliko hata wabakaji wa mtaani! Shuleni tunategemea malezi yawe yenye umakini. Na ya kimaadili! Shule iwe ya madrasa, sjui mafundisho makanisani, au shule za masomo ya elimu ya msingi...
  15. Bull Bucka

    Mkuranga, Pwani: Mwalimu afungwa kifungo cha maisha kwa kulawiti mwanafunzi

    Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, imemhukumu kifungo cha maisha jela, aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Msingi St Mathew iliyopo Kongowe, Livingston Kyarwenda (40), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka tisa. Kyarwenda, mkazi wa Mbagala Chamanzi anadaiwa...
  16. JanguKamaJangu

    Ruvuma: Kijana wa miaka 24 ahukumiwa jela maisha kwa kosa la kulawiti mtoto wa miaka mitano

    Mahakama ya Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Oktoba 25, 2023 imemuhukumu kifungo cha Maisha jela, Pius Stephano Mbunda (24) mkulima na mkazi wa Kijiji cha Tingi Wilaya ya Nyasa baada ya kupatikana na hatia kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume (5). Akisoma hukumu hiyo ya kesi ya Jinai Na 31 ya...
  17. BARD AI

    Kesi za Michael jackson Kulawiti Watoto zafufuliwa tena

    Wade Robson na James Safechuck, wamemshtumu Michael Jackson (MJ) kuwanyanyasa Kingono wakati wakiwa Watoto ambapo Kesi zimefufuliwa dhidi ya kampuni zinazomilikiwa na Nyota huyo, aliyefariki mwaka wa 2009. Majaji 3 kutoka Mahakama ya Rufaa ya California wamesema Mahakama ya Chini haikupaswa...
  18. Bushmamy

    Afisa wa benki ya NMB Arusha anaedaiwa kulawiti Yatima afikishwa mahakamani

    Afisa Mwandamizi wa Benki ya NMB Tawi la Clock Tower idara ya Mikopo Jijini Arusha, George Kifaruka {43} mkazi wa Kijenge kata ya Kimandolu Jijini Arusha amepandishwa kizimbani na kusomewa shitaka moja la kumlawiti Mwanafunzi wa sekondari aliyechini ya miaka 17. Akisomewa Mashitaka na Mwendesha...
  19. Zakaria Maseke

    Kosa la kulawiti mtoto chini ya miaka 18: Adhabu ni kifungo cha maisha gerezani

    Ukimlawiti (kumwingilia kinyume na maumbile) mtoto (wa kike au wa kiume) wa chini ya miaka 18, adhabu ni kifungo cha maisha jela (life imprisonment). Adhabu hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 154(2) cha sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code) Sura ya 16 (Cap. 16), kama ilivyofanyiwa marejeo...
  20. The Assassin

    Kahama: Mwalimu wa Madrasa amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kulawiti watoto 10

    Kahama Shinyanga mwalimu wa Madrasa amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kulawiti watoto wadogo wa kiume 10 aliokua anawafundisha kwenye msikiti.
Back
Top Bottom