kulala

Kulala (plural: Kulals, also known as Moolya) is a caste of India.
The Kulala community is found primarily in the Kasaragod district of Kerala state in India, where they have several exogamous gotras, including Banjan, Banjera, Salian and Upian. They speak the Tulu, Kannada and Malayalam languages. Another Kulala community exists in Andhra Pradesh, where they speak the Telugu language and are also known as Kummara and variants of that name, such as Kumbara and Kummari.The traditional occupation of Kulala people is making pottery, although in the present day their occupations also include government service and wage-labour. Despite this, they held the respect of other communities and their product was an essential item.

They belongs to other backward class.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Hujapitia msoto wa kweli kama hujawahi kuishi nyumba ambayo unajua hawakutaki nyumbani kwao ila tu hauna namna nyingine

    Kama umeishi kwenu au ulikuwa na kwenu penye familia yenu hadi ukaondoka kwenda kuanza maisha yako shukuru sana, watu wengi sana huwa mnachukulia poa kuwa na kwenu lakini ni utajiri mkubwa sana. kuishi nje ya kwenu "YATAKA MOYO" ni bahati kwenda sehemu isiyo kwenu na ukaishi vizuri. Unakaa...
  2. JamiiForums Tanzania Uume kulala baada ya bao la kwanza

    Ni kawaida kwa wanaume wengi kushuhudia uume “kulala” au kulegea mara tu baada ya kumaliza tendo la kwanza la ngono (kufika kileleni / kumwaga shahawa). Hali hii husababishwa na mabadiliko ya kimwili na homoni baada ya kufika kileleni (kumwaga shahawa). Lakini kwa wanaume wengine, inaweza kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Orodha ya Watu Hatari Wanaoweza Kulala na Mkeo

    1. Mchungaji wake 2. Tajiri 3. Mwalimu wa mazoezi 4. Rafiki yake wa kiume 5. Daktari wa familia Tujitahidi kuwaepusha wake zetu na watu hao jamani. https://youtu.be/mukEPwaGAOo
  4. JamiiForums Tanzania Fanya hivi kama mwanaume akikupotezea baada ya kulala naye!

    Fanya hivi kama mwanaume akikupotezea baada ya kulala naye! Umekutana na mwanaume, amekutongoza kwa muda mrefu, au hata hakutumia muda mrefu lakini mwanzo hukuwa unamuelewa. Ulikuja kumuelewa na sasa mmeingia kwenye mahusiano, ukakubali kulala naye. Kabla ya kulala naye, alikua mtu wa kukupigia...
  5. JamiiForums Tanzania Kama unaogopa kulala nyumba zenye uchawi au ushirikina, dawa hii hapa

    Shetani na mapepo ni viumbe wasioonekana kwa macho. Hao ndio wanaosababisha vitisho, hofu, nywele kusisimka, unasikia maneno au sauti bila kuona mtu anayeongea, kukandamizwa kifua, kunyolewa nywele, kujikuta umelala nje ya nyumba na kitanda chako nk nk. Ukilala katika nyumba zenye uchawi au...
  6. JamiiForums Tanzania Nimeamua kutembea na kulala nazo pesa kitandani

    Hii ni baada ya jana kupigwa sh 60000 chumbani huku wife akidai hajui , Leo nineingiza 30000 saloon naona majibu yaanza kujibiwa, tuwe Makin na wake zetu, na Leo asubui nimetoa msimamo mzito hakuna chai asubui labda mtoto tu lengo ikiwa kufidia loss iliyotokea
  7. JamiiForums Tanzania Ramani ya vyumba 3 vya kulala

    Raman ya vyumba 3 vya kulala Ina vitu vifuatavyo Chumba 1 master Chumba 1 hakina choo Chumba 1 hakina choo Seble Dinning Jiko Store Public toilet Inachukua mita 13 kwa mita 12 Sasa njoo whatsapp 0743 257 669 ili nikupe raman hii kwa bei simple sawa na bure raman imekamilika kila idara ina hadhi...
  8. JamiiForums Tanzania Jengo lenye vyumba 19 vya kulala linauzwa, lipo Mwanza Buswelu, bei ni million 900 maongezi yapo

    KARIBU UJIPATIE JENGO AMBALO UTAWEZA KULITUMIA KWA MATUMIZI MBALIMBALI LIPO BUSWELU-MWANZA LINA JUMLA YA VYUMBA 19 VYA KULALA PAMOJA NAMAHITAJI MENGINE YA NDANI UKUBWA WA KIWANJA NI 4,900SQM BEI NI MILLION 900,MAONGEZI YAPO DOCUMENTS NI TITLE DEED 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  9. JamiiForums Tanzania Ni fani gani ukiwa nayo huwezi kulala njaa, popote duniani?

    Harakati za kuvuka boda zinaendelea Nikiwa kama up coming graduate, baada ya masomo siwezi kukaa bongo land Bora nikasafishe mitaro UK au Sweden huko kama vipi niwe mlinzi Dubai kuliko kuangaika bongo Kwa wale wataalamu na diasopora ni fani ipi nikiwa nayo nchi yoyote hata kama sijui Lugha...
  10. JamiiForums Tanzania Unamnunulia demu gari ila anaenda kulala na mwana aliemsaidia kuziba pancha road. Hivi hakika ni kipi warembo wetu hawa wanachokitaka haswa?

    Wanatia huruma ya kuhudumiwa, lakini katika upokeaji wao hawaji na appreciation ilio genuine, appreciation yoa inatoka mdomoni lakini haionganishi doti akilini mwao kuwa wanapaswa wakupe heshima kuu sio tu ukiwepo hata usipokuwepo kwa kuwa umemfanyia kitu kama vile baba yake angekuwa na uwezo...
  11. JamiiForums Tanzania Apartment mpya inauzwa Kariakoo, Bei ni TSh. 280 milioni

    Apartment mpya inauzwa Kariakoo Vyumba vitatu ya kulala Kimoja master Ina Furniture Ipo ghorofa ya Nane Jengo lina Lifti Jengo ni jipya Bei TSh. 280m Call/WhatsApp +255758 844 717
  12. JamiiForums Tanzania Ramani hii ya vyumba 2 vya kulala

    Yes karibu hii ya vyumba 2 vya kulala 1 master Plain room seble Jiko Dinning public toilet nichek 0743 257 669 Au nichek whatsapp wa.me//255743257669
  13. JamiiForums Tanzania ACT ANAKULA CCM ANATAKA KULALA CHADEMA, MKATAENI

    COMEDY ZA NDUGU ZANGU ACT. Kwanza moja ya maombi makubwa ya ACT ni Chadema asishiriki uchaguzi, hii itampa nafasi ya kuwa chama kikuu cha upinzani na Zitto kuwa KB automatically. Hivyo Chadema wajue kabisa ACT wanalao kwenye hili. Pili, Chadema kwenye movement yao ya NO REFORM NO ELECTION...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mvua ndio uchawi wa simba, mwarabu atakuwa anateleza tu na kulala. Ili Simba avuke lazima apate magoli mapema

    Mvua inanyesha dar Simba wanafurahia
  15. JamiiForums Tanzania Je ushawahi kulala lock up? Ilikuwaje mpaka ukalala?

    Habari, Je ulishawahi kulala lock up au selo? Ulikuaje mpaka ukalala? Karibuni wajumbe ili tuelimike
  16. R

    JamiiForums Tanzania Epuka mazoea ya kulala na aina hii ya wanawake, kitu kizito kitakuja kukupiga bila kutarajia

    Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
  17. JamiiForums Tanzania Tuombeeni mpaka muda huu hatujaweza kulala hali ni mbaya

    Nimekuja Tanga nilifanikiwa kupata room Hotel flani ya nyota 3. Nilipata pia Company ya binti mmoja tumekuja naye kwenye semina elekezi moja. Shida nini sasa? KWa huruma tu nlimshauri kuwa haina haja ya yeye kulipia Hotel wakati mimi nipo na nina uwezo wa kulipia.atunze pesa zake nitatumia...
  18. JamiiForums Tanzania Aina hii ya maisha mpaka lini kuchelewa kulala na kuwahi kuamka

    Mbinguni tutafika tukiwa hoi wakuu sio mchezo fikiria tu lifestyle ya kuchelewa kulala na kuwahi kuamka mwili haupati fursa ya kupumzika ipasavyo unalala saa 7 usiku afu saa 10 alfajiri unapaswa uwe tayari umeamka. AIna hii ya maisha lazima upate changomoto ya afya ya akili ukiongeza na ugumu...
  19. JamiiForums Tanzania ZIJUE BAADHI YA SABABU ZINAZOKWAMISHA WATU KUPAKA USINGIZI MAPEMA NYAKATI ZA USIKU. HUCHELEWA SANA KULALA

    Kuna sababu kadhaa zinazoweza kuwafanya watu wakose usingizi nyakati za usiku. Baadhi ya sababu hizo ni kama zifuatazo: * Msongo wa mawazo na wasiwasi: * Mawazo mengi na wasiwasi kuhusu maisha, kazi, au mahusiano yanaweza kuingilia kati na uwezo wa mtu kulala. * Matatizo ya kiafya: *...
  20. JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inauzwa mil 20 chanika inavyumba 3 vya kulala

    NYUMBA INAUZWA CHANIKA MWISHO MIL 22 ( INAUZWA MIL22) CONTACT: 0743 257 669 Nichek whatsapp direct View James Construction and real estate company's Catalog on WhatsApp UKUBWA WA ENEO SQM 400 BEI TSHG MIL 22,000,000/= NYUMBA INA VYUMBA VITATU 3 MASTER BEDROOM PUBLIC TOILET JIKO NA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…