Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika.
Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.
Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.
Hii itaimarisha muungano wetu.
Tanzania na Uganda Zasisitiza Utekelezaji kwa Vitendo katika Kukuza Ushirikiano wa Uwili
Tanzania na Uganda zimethibitisha tena dhamira yao ya kuimarisha ushirikiano wa uwili, kuharakisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya pamoja, na kuibua maeneo mapya ya ushrikiano
Akifungua kikao cha...
Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania (PAMOJA) unaotarajiwa kuzinduliwa rasmi Machi 08, 2026 mkoani Geita na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima utaimarisha fursa za kiuchumi kwa wanawake wa vijijini na kuboresha upatikanaji wa huduma kwa...
Ninaweza kusaidia biashara yako kupata wateja kwa ajili ya bidhaa au huduma zako kupitia lead generation na B2B sales/outreach. Nitakutafutia wateja wa uhakika wanaoweza kuwa na uhitaji halisi wa kile unachouza, badala ya kupoteza muda kwa watu wasio na interest.
Kwa wanaotaka kuanza, kuna...
Hapa nitaongelea vipengele viwili na vinahusiana sana, kwa hiyo naomba usome hadi mwisho
I. Suala la Uhaba wa Ajira
II. Ukuaji wa Lugha ya Kiswahili
I. UHABA WA AJIRA
Tanzania ina uhaba wa ajira kwa sababu ya uhaba wa makampuni na wawekezaji. Sio tu wawekezaji wa nje, hata wa ndani pia ni...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linapenda kutoa ufafanuzi juu ya picha mjengoe zinazoonekana katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikieleza kuwa, kuna vijana wawili wametekwa Jijini Arusha.
Taarifa sahihi ni kwamba, kwa nyakati tofauti tuliwakamata na tunaendelea kuwahoji vijana hao ambao ni...
Wakati Shirika la Habari la China, CGTN (China Global Television Network), linaendelea kuonesha umahiri wake katika kukuza utamaduni, sanaa, na fikra za kitaifa kupitia filamu kama “The Legend of the Monkey King” na “Nezha”, Shirika la Utangazaji la Taifa Tanzania (TBC) linaendelea kutumia...
Kuna kampuni chache duniani ambazo zimeacha alama ya kudumu kwenye historia ya biashara kama Coca-Cola. Ilichotengeneza siyo tu kinywaji, bali ni urithi wa kibiashara unaoendelea kufundisha wajasiriamali karne moja baadaye.
Lakini siri yao haipo kwenye ladha pekee. Siri ipo kwenye strategy.
1...
Tumeshuhudia uchaguzi ndani ya chama tawala nchini ukitamatika hivi karibuni.
Uchaguzi ambao umewaacha/ kuwaengua waliokuwa wabunge katika majimbo mbalimbali.
Licha ya rafu katika chaguzi hizo; baadhi ya waliokua wagombea wameingia katika vyama vya upinzani kwenda kupeperusha bendera kupitia...
1. Pata Wateja Wapya
Usisubiri bahati. Fanya biashara yako ivutie watu wapya kila wakati kwa kutumia:
Matangazo yanayolenga moja kwa moja wateja wenye uwezo wa kununua
Mitandao ya kijamii, SMS, whatsapp au simu
Kuonyesha tofauti ya bidhaa zako kwa njia ya elimu na thamani
Mteja mpya = Fursa...
Nakumbuka nilikuwa nauza mtumba, mtaji wangu ulikuwa 50k nikiyumba unapungua kidogo nikiwa vizuri unaongezeka kidogo. Kimsingi faida yangu ilikuwa kati ya 6,000 hadi 12,000.
Basi bwana nikampata bonge la mdada chibonge mrefu na mweusi.
Kufupisha stori Baada ya wiki tu mtaji ulikata.
Kuna...
Mfugaji unatamani kuona mifugo yako ikiwa na afya njema, imara, yenye nguvu na yenye uzalishaji wa Hali ya juu Huku ukitumia gharama nafuu ya chakula ama ulishaji?
mifugo plus tumekuletea PROMASS EXTRA
PROMASS EXTRA ni protein asilia iliyo Bora zaidi inayo tokana na mazao ya wanyama hasa wa...
Kila mfanyabiashara ana ndoto ya kuona mauzo yakifumuka hadi target aliyoweka — iwe ni kuuza bidhaa 100 kwa wiki au kufikisha milioni 10 kwa mwezi. Lakini ukweli ni kwamba wengi hushindwa sio kwa sababu hawana bidhaa nzuri, bali kwa sababu hawana mfumo wa mauzo unaofanya kazi kila siku.
Katika...
Wakuu Nahitaji mafuta mazuri ya nywele ambayo yanaweza kukuza walau ndani ya miezi sita nywele niweze kubana,,.Kwa anayefahamu , anayeuza, au aliyewahi kuyatumia naombeni mnitajie majina na hata picha ikiwezekana,. Au kama uko nayo niambie unapatikana wapi ili ikiwezekana unisafirishie,
Wiki...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametangaza nia yake ya kustaafu kutoka kwenye siasa baada ya kumaliza muhula wake wa sasa, akitaja sababu binafsi ikiwemo umri wake na kutaka kujali afya yake.
Akiwa na umri wa miaka 68, Dkt. Mpango alisema anahitaji "kupumzika" na kutoa nafasi...
Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imetoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna Nchini ya Tanzania inavyokuza na kulinda Haki za Kiraia, Kisiasa, Kiuchumi, Kiutamaduni na Kijamii.
Hayo yamewekwa bayana na Mwenyekiti wa Kamisheni...
Sasa Hivi SAJENTI anaomba kukutanishwa Na PATENI, Hata kama walikuwa na kutoelewana ila kwa namna moja ama nyingine Media zinachochea ugomvi wa hawa madogo.
Hawana experience ya kuhojiwa kila watakachoulizwa hata kma ni chonganishi wanajibu bila kufikiria swali lina maanisha nini.
Habari mimi ni mwanafunzi wa chuo procurement and supply Natafuta kazi ya marketing au sales naamini nitafanya vizuri, hii yote niweze kumudu Ada na Familia yangu shukran 🙏.
Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.