Ee, nimempatia simu aandike namba yake, akaishia kushtuka shtuka tu, mara ang'ate vidole, mara aangalie chini kushoto. Nikamwambia acha kanjanja, chora namba kwa simu hapo. Mara ooh, mi siwezi, mara ooh huna nia nzuri na mimi, mara oh ya kazi gani
Nikamwambia kama hutaki nipatie simu yangu...