Naandika hii kuhusiana na ubishi kati ya Chadema na Msajili
Iko hivi,
Kwa mfano akidi ni watu kumi. Wapo saba,watatu hawapo.
1 Wanasema,"Kama watatu hawapo,ni halali kwetu kundelea na mkutano."
Wanaendelea na mkutano
Hiyo ni kosa inaitwa fabricated aims. Kusema " nadhani tunaweza tu kundelea"...